masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,866
- 15,060
Ha ha ha !Mkuu hilo neno Mecca unatafuta ugomvi na watu hapo hebu jaribu ku-edit topic yako aise
Ha ha ha !
Basi nitaita CHADEMA's Vatican!
Nimekaa hapo siku tau, na ikifika jioni mji wote ni harufu ya nyama choma. Kama una dozi usiende huko utalazimika kupata kilaji kwa hiyo aroma.Very friendly people there.asee umenikumbusha long sana nilikula sana mbuzi hapo tulikuwa tunawanunua kule mnadani