Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,493
- 12,461
Daah R.I.PWanazengo ngoja na Mimi Leo ni jaribu kuwapa umbea wa code sijui ntaweza mbea Mimi🤣🤣 , haya twende Sasa
Yule boss mfupi mwenye kumiliki redio flani hivi inayokuja kwa kasi, inasemekana yupo kwenye mahusiano yasiyofaa na mtangazaji wa kiume wa radio nyingine , ambapo mtangazaji huyo pia anamiliki duka la nguo.
Juzi kati maeneo ya bahari beach usiku kuliibuka na timbwili zito kati ya wawili wao, ambapo chanzo cha ugomvi huo ni wivu wa kimapenzi, Boss huyo anatarajia kuoa hivi karibuni, ambapo mtangazaji huyo anapinga vikali na hataki kusikia habar za ndoa Kwan anataka kuendelea ku enjoy penzi na pesa za kibosile huyo ambaye kimuonekano ni mfupi na mpole asiye na makuu.
Mashemeji fekero( mastaa Wa kubwa watatu wa kiume, mmoja msanii wa bongo fleva, Ana dread, mtangazaji wa radio , mwingine mwanasiasa) wa mahusiano hayo yasiyofaa walikua na shughuli nzito usiku huo kuwagombelezea wapenzi Hao , na kufanikisha kuwatuliza wawili Hao.
Mtangazaji huyo wa kiume anasifika sana kwa kusafir nchi mbali mbali duniani kwa pesa za mpenzi wake huyo wa siri ambaye inasemekana wapo wote mwaka wa tatu na nusu sasa, mmh mji mzito huu
Ila malkia wa mashauzi sijui atakua anamjua mke mwenzie mmh , mambo mengi mda mchache, Ila ata akijua atafanyaje? Chezeya nguvu ya pesa weye
Sasa hivi ntakua nawaletea ubuyu hot kwa code tu 🤣🤣
Sent from my iPhone using JamiiForums
Wanazengo ngoja na Mimi Leo ni jaribu kuwapa umbea wa code sijui ntaweza mbea Mimi[emoji1787][emoji1787] , haya twende Sasa
Yule boss mfupi mwenye kumiliki redio flani hivi inayokuja kwa kasi, inasemekana yupo kwenye mahusiano yasiyofaa na mtangazaji wa kiume wa radio nyingine , ambapo mtangazaji huyo pia anamiliki duka la nguo.
Juzi kati maeneo ya bahari beach usiku kuliibuka na timbwili zito kati ya wawili wao, ambapo chanzo cha ugomvi huo ni wivu wa kimapenzi, Boss huyo anatarajia kuoa hivi karibuni, ambapo mtangazaji huyo anapinga vikali na hataki kusikia habar za ndoa Kwan anataka kuendelea ku enjoy penzi na pesa za kibosile huyo ambaye kimuonekano ni mfupi na mpole asiye na makuu.
Mashemeji fekero( mastaa Wa kubwa watatu wa kiume, mmoja msanii wa bongo fleva, Ana dread, mtangazaji wa radio , mwingine mwanasiasa) wa mahusiano hayo yasiyofaa walikua na shughuli nzito usiku huo kuwagombelezea wapenzi Hao , na kufanikisha kuwatuliza wawili Hao.
Mtangazaji huyo wa kiume anasifika sana kwa kusafir nchi mbali mbali duniani kwa pesa za mpenzi wake huyo wa siri ambaye inasemekana wapo wote mwaka wa tatu na nusu sasa, mmh mji mzito huu
Ila malkia wa mashauzi sijui atakua anamjua mke mwenzie mmh , mambo mengi mda mchache, Ila ata akijua atafanyaje? Chezeya nguvu ya pesa weye
Sasa hivi ntakua nawaletea ubuyu hot kwa code tu [emoji1787][emoji1787]
Sent from my iPhone using JamiiForums
Daah kwamba huyu mwamba ni mke mwenzie mtu 🙄 kweli mji mzito
Mbona siku nyingi.Daah kwamba huyu mwamba ni mke mwenzie mtu 🙄 kweli mji mzito
Dah kuna picha niliona kwenye msiba wa jasiri muongoza njia huyu mke mwenzie kistuli analia hadi kamlalalia bebe ake kifuani nkajisemea tobaaaaa....Mbona siku nyingi.
Na hakuna kitu kistuli atafanya.
Tyt umeona?Dah kuna picha niliona kwenye msiba wa jasiri muongoza njia huyu mke mwenzie kistuli analia hadi kamlalalia bebe ake kifuani nkajisemea tobaaaaa....
Hata hapo walivokaa mmmh!!!
Shouger nimeiona, na kimgusano flani hivi cha kuamshana vinyweleo, mji haubebeki huu....utakaa kutamani ya watu oooh jamani ningekua kama flani kumbe ukipewa yake utakufa, sijui kistuli anajiskiajeTyt umeona?
mmmmShouger nimeiona, na kimgusano flani hivi cha kuamshana vinyweleo, mji haubebeki huu....utakaa kutamani ya watu oooh jamani ningekua kama flani kumbe ukipewa yake utakufa, sijui kistuli anajiskiaje
Daaah kwamba warumi hatunaye tena ama kuna code sijakuelewa mkuu?Rest well warumi natamani ungekuja kutujibu daah sikuwahi kuwa member humu ila nilikusoma sana.
Unyapinyapi tunauweza tzWanazengo ngoja na Mimi Leo ni jaribu kuwapa umbea wa code sijui ntaweza mbea Mimi[emoji1787][emoji1787] , haya twende Sasa
Yule boss mfupi mwenye kumiliki redio flani hivi inayokuja kwa kasi, inasemekana yupo kwenye mahusiano yasiyofaa na mtangazaji wa kiume wa radio nyingine , ambapo mtangazaji huyo pia anamiliki duka la nguo.
Juzi kati maeneo ya bahari beach usiku kuliibuka na timbwili zito kati ya wawili wao, ambapo chanzo cha ugomvi huo ni wivu wa kimapenzi, Boss huyo anatarajia kuoa hivi karibuni, ambapo mtangazaji huyo anapinga vikali na hataki kusikia habar za ndoa Kwan anataka kuendelea ku enjoy penzi na pesa za kibosile huyo ambaye kimuonekano ni mfupi na mpole asiye na makuu.
Mashemeji fekero( mastaa Wa kubwa watatu wa kiume, mmoja msanii wa bongo fleva, Ana dread, mtangazaji wa radio , mwingine mwanasiasa) wa mahusiano hayo yasiyofaa walikua na shughuli nzito usiku huo kuwagombelezea wapenzi Hao , na kufanikisha kuwatuliza wawili Hao.
Mtangazaji huyo wa kiume anasifika sana kwa kusafir nchi mbali mbali duniani kwa pesa za mpenzi wake huyo wa siri ambaye inasemekana wapo wote mwaka wa tatu na nusu sasa, mmh mji mzito huu
Ila malkia wa mashauzi sijui atakua anamjua mke mwenzie mmh , mambo mengi mda mchache, Ila ata akijua atafanyaje? Chezeya nguvu ya pesa weye
Sasa hivi ntakua nawaletea ubuyu hot kwa code tu [emoji1787][emoji1787]
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hebu weka picha hata sielewi kitu hapaShouger nimeiona, na kimgusano flani hivi cha kuamshana vinyweleo, mji haubebeki huu....utakaa kutamani ya watu oooh jamani ningekua kama flani kumbe ukipewa yake utakufa, sijui kistuli anajiskiaje
Huu uzi sikuwahi uelewa sasa nimeelwa