Mji mzito huu part 2

huyu analewa na sifa za kijinga anazopewa mtandaoni kwa story zake za kuunga unga.
 
Mimi ananichekesha anavyotishia watu wakimchallenge kwenye hekaya zake. Anakuwa mkali na matusi juu
Kitendo cha kuwa mkali na matusi juu ni ishara tosha kwamba anapoishi hakuna amani ya moyo hivyo akutanapo na response iliyo kinyume na ujinga wake stress zinaongezeka mara dufu.
 

Babuu wee hat Kama Jirani yako usijifanye ndo unamjua Sana, wewe unajua familia yake, Mimi najua wanaofanya nao huo uchafu so usibishe mkuu, Kukaa nae Karib haimaanishi Et ndo unajua mambo yake yote sawa dada ? Tulia tukupashe habar za jiran yako
 
Babuu wee hat Kama Jirani yako usijifanye ndo unamjua Sana, wewe unajua familia yake, Mimi najua wanaofanya nao huo uchafu so usibishe mkuu, Kukaa nae Karib haimaanishi Et ndo unajua mambo yake yote sawa dada ? Tulia tukupashe habar za jiran yako
Itakuwa ashakupakua sio buree sio kwa kumuandama huku kama kakupakua then hajakulipa!!.wewe unalala naye ndio maana unajua,ukisikia Neno 'NASIKIA' huwa linamaanisha nini?? Usilete story za kusikia zitakuponza.
 
Wewe huwa nakuona mtu wa heshima sana sikutegemea komenti kama hii kutoka kwako
Kwa hiyo hukutegemea kuwa mimi ninapinga ushoga au unamaanisha nini? Nilimwambia warumi afukue wote wanaopakuliwa na sisi tuko nyuma yake tukimpa support. I told him to go go go forward. That is my stand and it will not force someone to respect or not respecting me.,
 
Una ushahidi uhakika gani kuwa haya si majungu tu? Mna ushahidi kuwa wanapakuliwa? After all kila mtu ana m****u wake akiutumia anavyopenda watu wengine inawakera nini? Huko si kuingilia faragha ya mtu?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…