Pundit
JF-Expert Member
- Feb 4, 2007
- 3,733
- 123
Alright, unadai Jaji Ramadhani "ni dimwit."
Lakini, ndugu Pundit, umetuambia kwamba unaweza kutumia illustration za kwenye novel za ng'ambo kum lambast Kamanda wa Polisi Tanzania kwa sababu hata Jaji Ramadhani nae alitumia illustration za mashairi ya ng'ambo kwenye kesi ya Uhaini Zanzibar. Illustration ambazo unakubali haziku make sense.
Sasa kama Jaji "ni dimwit," na wewe una justify ulichofanya kwa vile "dimwit" amekifanya, na wewe tukuiteje ?
twisting,
Mimi nilikuwa naongelea kitu ambacho kinakubalika kufanyika katika process ya ku dispense justice Tanzania, nikaonyesha kwamba kucite mifano ya nchi nyingine si kosa kwa sababu hata Jaji Ramadhani ambaye ndiye Jaji Mkuu anafanya hivyo.Hiyo haimaanishi nilikuwa nasema Jaji Ramadhani ana akili sana au ana quote vizuri sana, nilikuwa naongelea kukubalikwa kwa concept niliyoitumia sikuwa naongelea intellectual integrity ya that dim bulb that goes by the name of Augustino Ramadhani.
If you fail to see the distinction between the process and the incident, the formula and the occurrence, the pattern and the passage, you will give people reason to lump you with the good judge, and not in the favorable sense either.