Mbeba Maono
Senior Member
- Jun 24, 2008
- 108
- 7
bwana mdogo sio hivyo, watu waseme wasiseme, jaji hawezi akawasikilia, yeye atahukumu kulingana na sheria inavyosema kulingana na ushahidi utakaotolewe mahakamani. hiyo ya kusema wakili wake atasema kuwa mteja wake ameanza kuhukumiwa na kamanda, itasaidia tu kutokumchafulia mshikaji jina, ila haina effect yoyote, ndo maana kuna kukata rufaa mkuu, jaji akileta za kuleta, kama una uhakika kuwa alikwa biased na minong'ono ya wananchi au ya kamanda, you will appeal to the higher court. so haina connection kabisa, hiyo huwa inakuwa ni defensive mechanism ya mawakili tu, lakini haina effect kwa majaji.
to tell you, wanasheria na majaji wanazo ethics zao, wameenda shule, na wamefundishwa kuwa, mtu hana kosa hadi ithibitike kuwa ana kosa kwa ushahidi unaojitosheleza ambao hauna mashaka. tatizo ni pale kila mtu anapojifanya anajua sheria kwasababu alisoma kesi moja au hata kumi kwenye gazeti, waulize wanasheria wamesoma kesi ngapi, kama sio laki nane na uchafu...hahaha.