Ralphryder
JF-Expert Member
- Nov 16, 2011
- 5,599
- 1,798
Habari wakuu,
Tarehe 25/06/2013 nilimtembelea Rafiki yangu mmoja ambaye ni mwanajeshi
Huko mkoa (kapuni) jina la kambi (kapuni). Jamaa aliniambia mambo mengi
kuhusu Arusha, hasa kwenye harakati za chadema. anasema yeye alikuwa
mkoa wa Arusha kabla hajahamishiwa Kigoma, alikuwa kikosi no(kapuni).
aliniambaia kwamba chadema wakifanya maandamano au mikutano walikuwa
wanapewa sale za asikari polisi kuja kudeal na chadema, ili ionekane
kwamba ni polisi wanaotuliza ghasia kumbe ni wanajesshi wa JWTZ. Jamaa
akasema hili suala lilikuwa linawauma sana, kuna siku pale arusha
zilitokea fujo kati ya ccm na chadema wakaambiwa waende kuwadhibiti
chadema, jamaa wakaenda na uniform za polisi, badala ya kuwapiga chadema
wakawapiga ccm, vunjavunja. baada ya fujo kumalizika ikaonekana watu
walioumia sana na kuvunjika ni wa ccm. Serikali ikaamua kuwahamisha wote
na kuwapeleka pembeni mwa nchi (mipakani huko). akaniambia kwa sasa
serikali inachukua wanajeshi wa Morgoro kuja kutuliza fujo Arusha,wakiwa
wamevaa gwanda la polisi.
Hii ni hatari sana kutumia Jeshi kuwakandamiza
wananchi.
unaofanya ni upotoshaji mkubwa..., ni kweli ilishawahi tokea wanajeshi kuvishwa nguo za polisi na kupelekwa pemba, ila hili la arusha hizo ni story za kwenye kahawa
Kama walipeleka pemba watashindwaje kupelekwa Arusha mkuu-mbona stori inakuwa inageuka lakini ni vilevile!!unaofanya ni upotoshaji mkubwa..., ni kweli ilishawahi tokea wanajeshi kuvishwa nguo za polisi na kupelekwa pemba, ila hili la arusha hizo ni story za kwenye kahawa
ushaHabari wakuu,
Tarehe 25/06/2013 nilimtembelea Rafiki yangu mmoja ambaye ni mwanajeshi Huko mkoa (kapuni) jina la kambi (kapuni). Jamaa aliniambia mambo mengi kuhusu Arusha, hasa kwenye harakati za chadema. anasema yeye alikuwa mkoa wa Arusha kabla hajahamishiwa Kigoma, alikuwa kikosi no(kapuni). aliniambaia kwamba chadema wakifanya maandamano au mikutano walikuwa wanapewa sale za asikari polisi kuja kudeal na chadema, ili ionekane kwamba ni polisi wanaotuliza ghasia kumbe ni wanajesshi wa JWTZ. Jamaa akasema hili suala lilikuwa linawauma sana, kuna siku pale arusha zilitokea fujo kati ya ccm na chadema wakaambiwa waende kuwadhibiti chadema, jamaa wakaenda na uniform za polisi, badala ya kuwapiga chadema wakawapiga ccm, vunjavunja. baada ya fujo kumalizika ikaonekana watu walioumia sana na kuvunjika ni wa ccm. Serikali ikaamua kuwahamisha wote na kuwapeleka pembeni mwa nchi (mipakani huko). akaniambia kwa sasa serikali inachukua wanajeshi wa Morgoro kuja kutuliza fujo Arusha,wakiwa wamevaa gwanda la polisi.
Hii ni hatari sana kutumia Jeshi kuwakandamiza wananchi.
Kama iliwezekana Pemba, kwanini unafikiri haiwezekani kwamba hayo yamefanyika Arusha? Mbona hata Mbeya baada ya mgomo wa siku mbili mfulilulizo, wanajeshi kibao walivishwa nguo za polisi na kwenda kuwadhibiti vijana?unaofanya ni upotoshaji mkubwa..., ni kweli ilishawahi tokea wanajeshi kuvishwa nguo za polisi na kupelekwa pemba, ila hili la arusha hizo ni story za kwenye kahawa
Kwani wewe ulikuwa hujui,ccm wote ni Wapumbavu
Porojo hizi, wadanganyeni watoto wa chekechea.
Just the beginning! please keep talking
Mleta uzi huu kwanza inaonekana unamatatizo na kiswahili, angali maneno niliyoweka nyekundu. Pili, habari uliyoileta sidhani kama ina ukweli wowote ila kwa vile binadamu anapenda kushabikia habari kama hizi ndo maana unaona wengi wanakubaliana na weweHabari wakuu,