The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,097
Dah, sasa kama barabara imefungwa kuingia reception ndio nisahau kabisa. Nilikuwa nategemea siku moja nitapata chance ya kwenda kuwatembelea kama mlipa kodi wao.
Nachojiuliza kwanini hawakufikiria kujenga underground facility ya nguvu badala ya kale ka-ghorofa? Au ndio tunapenda sana kukaa maghorofani? Next construction ya Ikulu nadhani itakuwa ya ghorofa pia kwa mtindo huu!
Jina lako limenifurahisha yaani chupi ya mbwaJengo langu,nitafute nikupangishe
Lile jengo la stesheni lilikuwa linatisha. Wakati mwingine ilikuwa inawezekana kusikia jamaa wanalia (piga mayowe) wakati walipokuwa wanabinywa sehemu nyeti. Mwishoni wa miaka ya 70 na mwanzoni wa 80 kila nikipita pale mwili ulikuwa unasismka kwa uwoga flani hivi!Mbona hamuulizi lile jengo la stesheni:A S 39:
Lile jengo la stesheni lilikuwa linatisha. Wakati mwingine ilikuwa inawezekana kusikia jamaa wanalia (piga mayowe) wakati walipokuwa wanabinywa sehemu nyeti. Mwishoni wa miaka ya 70 na mwanzoni wa 80 kila nikipita pale mwili ulikuwa unasismka kwa uwoga flani hivi!
Ahaaaaaa unataka kusema pale ni concentration camp kama ya NAZI!?
Aisee naogopa kukujibu!!!
Ahaaaaaa unataka kusema pale ni concentration camp kama ya NAZI!?
Hahahaha wakulu mnanichekesha sana na majibu hapo juu.
Ukweli ni kwamba jengo lile limejengwa kwa mfano wa zile ndege za kipelelezi zisizo na rubani....
Ingawa ramani yake ni ya kipekee lakini limekosa touchez za Tanzania building code (kama ipo)
Full western na full delicate looking na ninadhani likipata kasheshe kama zile za nine eleven litasambaratika lote kwani yale mabox mfumo wa mabati yaliyowekwa kunakshi jengo si lolote... Haya kisa cha kulifunika na bati badala ya kuwa na material exceptional ya roofing huoni kama ni kukosa ubunifu??Sasa kwa nini unasema limekosa hizo touches, au ndio kuonyesha kwamba unajua misamiati ya uhandisi majengo.
Shikamoo!... Mwishoni wa miaka ya 70 na mwanzoni wa 80 kila nikipita pale mwili ulikuwa unasismka kwa uwoga flani hivi!
Marhaba!Shikamoo!