Mnyalukolo mwehu bwana Kilistofa Mwalukosi anazidi kuumbuka
are u mm2 wa waraka wa siri?Magezeti ya CCM kwa ujinga wao na ukanjanja wao waimeifanya habari ya Msigwa kuwa leading story huku wakiwa hawaja hangaisha akili zao kumhoji mke wa Marehemu Mwangosi.
Walipo muuwa muwe wake hawakuipa fursa familia kuhoji kama marehemu alishapatiwa vifaa vyake vya kazi vilivyopotelea mbele ya Poli-ccm wao wamekimbilia uzushi na uzandiki. Poor ccm.
unadandia treni kwa mbele?Ondoa ujinga wako hapa.....mbeba mabox ndio alianzisha.na inasemekana alichangisha zaidi ya milion moja nyingine kaweka kapuni.
Ondoa ujinga wako hapa.....mbeba mabox ndio alianzisha.na inasemekana alichangisha zaidi ya milion moja nyingine kaweka kapuni.