Mjane atimuliwa ndani ya nyumba

Mjane atimuliwa ndani ya nyumba

bwana 'nyumba kubwa ' acha kudharau sheria,zipo vizuri tu,huyo mjane mnayemuita mke ,ameolewa ama alikuwa anakaa na rafikia ake wa kiume?
Hivi msilete pumba hapa eti kimada alafu agawiwe ama aridhi mali za mume wake!
Je ,ni dini gani,maana kwa sisi waislamu sheria ipo wazi?
Kama kaolewa na cheti kipk basi haki yake ipo ila kama ni kimada atangulie mufindi kuchuma chai.

Kama marehemu hakumuona kimada nyie ni nani mumuone kimada?
Sheria ya kuitwa mke baada ya miezi sita chini ya paa moja unaijua?
na kwanza mmemkuta!
yani mnaanzaje kunitoa kwenye nyumba yangu?
mbn hamkumtoa akiwa na huyo kakaenu?
upuuzi ni huu unaoandika hapa !
wewe na ukoo wenu wote ni maskini wa kutupwa!
mnaacha kumlilia ndugu yenu mnalilia nyumba?yani ndo mnajilipa au nini?
------!
utajijua kama sio ndugu ila wacha yakupate maana unatetea upuuzi!
 
Hapo dawa yake ni msaada tu wa kisheria lakini chonde chonde wasije wakamroga tu
 
Sheria za Tz ni za hovyo sana...huwezi zijua mpaka uende mahakamani...

Kuzaa inaweza ikawa serious issue depending wamefunga ndoa ya aina gani...ndoa za kimila kwa mila nyingi ni za hovyo kabisa...bora mmalizane kimjini mjini...

Ndoa ya kikristo
 
Hapo uwe hata mia huna. Utabaki kilo mbili aisee.
 
Kuna watu wana roho mbaya na ukizubaa wanakumaliza ili wao waishi kwa uhuru. Ila huyo mwanamke asimame imara atetee haki yake mbona kitu simple sana ila pia kinataka moyo
 
bwana 'nyumba kubwa ' acha kudharau sheria,zipo vizuri tu,huyo mjane mnayemuita mke ,ameolewa ama alikuwa anakaa na rafikia ake wa kiume?
Hivi msilete pumba hapa eti kimada alafu agawiwe ama aridhi mali za mume wake!
Je ,ni dini gani,maana kwa sisi waislamu sheria ipo wazi?
Kama kaolewa na cheti kipk basi haki yake ipo ila kama ni kimada atangulie mufindi kuchuma chai.

Marehemu akiwa hai walimwita mke... tena kwa heshima zote. Leo kafiwa wanamwita Kimada! Ubinadamu kazi. Huyo mjane ana haki zote na ataendelea kuitwa mke kama mwanzo... sio kisa kigorofa basi wanamuona takataka. Loooh nao wamempata mnyonge wao ... wangempata anayejitambua na haki zake wangeomba poo!
 
Too bad! kwani ndoa yao si ilikuwa ya kihalali mama anatakiwa akomae kusaka haki yake kwani yeye alipenda kutokuzaa! yaani ubinadamu umeisha sasa hivi watu wengi wana mioyo ya jiwe sio nyama tena!
 
Laiti wangekua wanajua kufiwa na mume kunavyouma jamani usikie Kwa mwenzio tu.tena cku 4 jeraha bado bichi kabisaa nimeumia mnooo! Hiyo nyumba kaicha aliyeijenga itakua hao ndugu wanaacha Kumlilia ndugu yako wanagombea nyumba jamani!sheria ichukue mkondo hapo.pole Kwa mjane na wajane wote Mungu awape subira,imani na uvumilivu.
 
Sana kufiwa na mume ni maumvu makubwa sana yaan..
Sema wewe Babynice
 
Last edited by a moderator:
Ndugu wa mume wengine ni laana kabisa, kwanini wasije wakati wa uhai wa huyo Bwana, waje wakati kafa. Naona hili suala Serikali kupitia Taasisi zake linawasaidia sana wajane! Nina imani atasaidiwa
 
Yaani kuondokewa tu na mwenza maumivu yake hayasemeki,halafu watu wanakuja kukupokonya mali ulizochuma na mwenzio!!!
Ubinaadamu kazi sana!!!
 
Huyu mheshimiwa nimemuelewe...nadhani ana refer kwenye sheria ya Kihislamu...mimi nawaambia humu mtatoa povu lakini Tz sheria za ndoa ni nyingi sana...I wish wangekuwa wanaandika nyuma ya cheti cha ndoa what to expect in case mna divorce au mmoja anakufa...

Ila wakati wa ndoa watu wanakuwa wanafikiri vitu vizuri tu hawawazi mbali...

Ukipata shida kama hivi ndio unajilaumu...ningejua....

Kuna jirani yangu alikufa (mke alianza kufa kwanza) lakini mtoto pekee alomuacha ambaye ni product yake kabisa na 'mkewe' alinyimwa urithi kwa kuwa alizaliwa kabla baba na mama hawajafunga ndoa. Na hapo si kwamba hwakuwa na ndoa; ila ndoa ilifuata baada ya kuzaa...

Huyu anaitwa 'mwana haramu' hawezi kurithi kwa baba muislamu...

Na ndugu na jamaa kwa kuwa ni imani moja wameona powa...mali wana squander ndugu wa mume sasa...

Marehemu akiwa hai walimwita mke... tena kwa heshima zote. Leo kafiwa wanamwita Kimada! Ubinadamu kazi. Huyo mjane ana haki zote na ataendelea kuitwa mke kama mwanzo... sio kisa kigorofa basi wanamuona takataka. Loooh nao wamempata mnyonge wao ... wangempata anayejitambua na haki zake wangeomba poo!
 
Afute machozi na awe jasiri kufuatilia haki zake.....hapa ndo hao wakina mama Ananilea Nkya na wanaharakat wingine wanapotakiwa kuonekana.
 
Back
Top Bottom