Mjali mama kijacho wako

Happy Sunday brother. Nzuri hii.
 
Good!!
Mi wife hana mimba but kila wk end nikifua nguo zangu namfulia na zake!

Binafsi napenda kufuaga mwenyewe, au nitakuwa nimerogwa mkuu!!!
 
Good!!
Mi wife hana mimba but kila wk end nikifua nguo zangu namfulia na zake!

Binafsi napenda kufuaga mwenyewe, au nitakuwa nimerogwa mkuu!!!

Sio tatizo MKUU.

Tatizo linaanzia pale ambapo mwanamke hakuheshimu na anafanya mambo yasiyoeleweka lakini wewe upo Kimya huna power yoyote
 
Vipi kama ni mama kijacho wangu ila ni wa mtaa wa nyuma nafanyaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…