Mjali mama kijacho wako

Kuna mama kijacho mmoja anadai ana mimba yangu,sasa mimi bado sina uhakika kama yangu au ndio kubambikiwa hapa nasubiri mtoto azaliwe mana wengine damu zetu kali.

Though huduma ndogo ndogo natoa.
 
Raha za mimba bwana, hakuna kuambiwa "nipo period"! Na kidude kina moto hatari.
 
Namba 9 ni UPUMBAVUU
 
Acha nipumzike sasa

perseveration

the act of saying or doing something repeatedly when there is no longer any reason to do so:

What is perseveration?

Perseveration is when someone β€œgets stuck” on a topic or an idea.People who perseverate often say the same thing or behave in the same way over and over again

Yule demu juzi alieleta uzi kuwa anakupenda alisimangwa hadi akakimbia uzi wake, wadau wanasema ni wewe ulifungua I'd yenye jina la kike ukawa unajibless maupendo , hivi uliona ule uzi?
 
Yule demu juzi alieleta uzi kuwa anakupenda alisimangwa hadi akakimbia uzi wake, wadau wanasema ni wewe ulifungua I'd yenye jina la kike ukawa unajibless maupendo , hivi uliona ule uzi?

Niliuona Mkuu

Mtu hajawahi kupendwa hata na Mamaake ndio mwanamke mwingine ampende? Hiyo haiingii akilini
 
Kuna mama kijacho mmoja anadai ana mimba yangu,sasa mimi bado sina uhakika kama yangu au ndio kubambikiwa hapa nasubiri mtoto azaliwe mana wengine damu zetu kali.

Though huduma ndogo ndogo natoa.

Za namna hiyo Fanya kama unavyofanya usijipe ukapten
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…