Unajua mashabiki wa Utopolo wanapenda kushabikia mambo ya kiutopolo kama kujaza uwanja.
Sasa Simba Leo tumefunga huo mjadala Kwa kujaza uwanja kabla ya saa nane mchana. Kudadadeki.
Sasa hatutaki kujadili tena mada kama hizo tena.
Tujadili Nani bingwa, Nani ana magoli mengi, nani anacheza mpira wa burudani/biryani.
Mada ya kujaza uwanja tumeifunga Ieo rasmi.
Sasa tujadili mafanikio uwanjani na kwenye uongozi.
Utooooo