Mjadala wa kujaza uwanja ufungwe rasmi

wajibisha

Member
May 16, 2021
90
215
Unajua mashabiki wa Utopolo wanapenda kushabikia mambo ya kiutopolo kama kujaza uwanja.

Sasa Simba Leo tumefunga huo mjadala Kwa kujaza uwanja kabla ya saa nane mchana. Kudadadeki.

Sasa hatutaki kujadili tena mada kama hizo tena.

Tujadili Nani bingwa, Nani ana magoli mengi, nani anacheza mpira wa burudani/biryani.

Mada ya kujaza uwanja tumeifunga Ieo rasmi.

Sasa tujadili mafanikio uwanjani na kwenye uongozi.

Utooooo
 
Wapuuzi dawa yao kuwapuuziaView attachment 1944911View attachment 1944913View attachment 1944912
IMG_20210919_155208.jpg
 
Unajua mashabiki wa Utopolo wanapenda kushabikia mambo ya kiutopolo kama kujaza uwanja.

Sasa Simba Leo tumefunga huo mjadala Kwa kujaza uwanja kabla ya saa nane mchana. Kudadadeki.

Sasa hatutaki kujadili tena mada kama hizo tena.

Tujadili Nani bingwa, Nani ana magoli mengi, nani anacheza mpira wa burudani/biryani.

Mada ya kujaza uwanja tumeifunga Ieo rasmi.

Sasa tujadili mafanikio uwanjani na kwenye uongozi.

Utooooo

Kabisa,walikuwa wanatokwa mishipa ya shingo kwa kombe lao la “kuujaza uwanja” .Leo Simba kawaonyesha kuwa yeye ni mkubwa kuliko wao.
 
Unajua mashabiki wa Utopolo wanapenda kushabikia mambo ya kiutopolo kama kujaza uwanja.

Sasa Simba Leo tumefunga huo mjadala Kwa kujaza uwanja kabla ya saa nane mchana. Kudadadeki.

Sasa hatutaki kujadili tena mada kama hizo tena.

Tujadili Nani bingwa, Nani ana magoli mengi, nani anacheza mpira wa burudani/biryani.

Mada ya kujaza uwanja tumeifunga Ieo rasmi.

Sasa tujadili mafanikio uwanjani na kwenye uongozi.

Utooooo
Kolokolochocho unateseka ukiwa wapi mkia
 
MBUMBUMBU MKACHAMBE NAONA MNAWASHWA.
 
Tufunge mjadala sasa
IMG-20210919-WA0010.jpg
 
Unajua mashabiki wa Utopolo wanapenda kushabikia mambo ya kiutopolo kama kujaza uwanja.

Sasa Simba Leo tumefunga huo mjadala Kwa kujaza uwanja kabla ya saa nane mchana. Kudadadeki.

Sasa hatutaki kujadili tena mada kama hizo tena.

Tujadili Nani bingwa, Nani ana magoli mengi, nani anacheza mpira wa burudani/biryani.

Mada ya kujaza uwanja tumeifunga Ieo rasmi.

Sasa tujadili mafanikio uwanjani na kwenye uongozi.

Utooooo
Una matatizo wewe sio bure unataka kusema unashindana na nani kuujaza uwanja, Yanga ilishatoka uko kwenye mambo madogo kama ayo ya kujaza uwanja labda mjadiliane na azam au namungo uko sio yanga, yanga inaweka rekodi zake na inazivunja yenyewe mnashindana na kivuli chenu kujaza uwanja sio yanga mzee, Pesa mliyowapa clouds na kina mwinjaku kuwapgia debe ni bora mngemlipaga manara mshahara wake maana imejionyesha dhahiri shairi kuna bugati mmoja tu Tanzania akiunguruma mnajikusanya kama kumi kujaribu kumfunika lakini wapi Sana sana ni kutumia nguvu kubwa kuwalipa watu tunajua tutazirudisha kwa kujaza matangazo kwenye jezi burr🤣🤣🤣🤣🤣
 
Simba day... ni Sikukuu ya soka duniani

Achana na hapo dimbani huku mtaani ni laana!!!

Yaani full shangwe....waungwana wanaiomba serikari Simba day iwe Sikukuu ya kitaifa
 
13 Reactions
Reply
Back
Top Bottom