mkuu Molemo salama lakini? Nilidhani unatupatia za ndani kumbe maneno matupu!Ni ukweli uliodhahiri kwamba kwa sasa mjadala ulioteka kila kona ya nchi ni jina la Katibu mkuu mpya CHADEMA.
Kwa mujibu wa Katiba ya chama Mwenyekiti ndiye mwenye mamlaka ya kupendekeza jina la Katibu mkuu na hatimaye kupigiwa kura na Baraza Kuu.
Jumamosi ya wiki hii nchi inatarajiwa kutikisika kwa tukio linalosubiriwa na mamilioni ya wafuasi wa Chadema kote nchini ambapo kutokea jijini Mwanza moshi mweupe utaonekana pale Freeman Mbowe atakapoibua jina la Katibu Mkuu.
Shauku ni kubwa kutokana na ukweli kwamba Chadema ndicho chama kikuu cha upinzani nchini kikiwa na mashabiki kila kona ya nchi.
Pia sababu nyingine ni kutokana na mazingira aliyoacha Katibu mkuu wa zamani Wilbroad Slaa ya kususia uongozi baada ya kukosa fursa ya kugombea Urais.Ususiaji ambao unadaiwa ulisababishwa na mkewe Josephine Mushumbusi.
Pia chama hicho kinajaza nafasi hiyo huku kikiwa na hazina kubwa ya wanachama maarufu wakiwemo mawaziri wakuu wawili wastaafu Edward Lowassa na Fredrick Sumaye.
Yote kwa yote Freeman Mbowe ndiye anatarajiwa kutegua kitendawili hiki huku wafuasi wake wakimpa jina la utani..' mzee wa kubadili gear angani..''
Tusuburi tuone...
Nipo mkuu @Kimbunga.Tumsubiri Mwenyekiti kikatiba ndiye anapaswa kutangaza jina na siyo Molemo atangazemkuu Molemo salama lakini? Nilidhani unatupatia za ndani kumbe maneno matupu! Au hiyo hazina ndio itatoa mmoja wao kuvivaa viatu ya Padre Dr. Slaa? Kila la kheri, hata ukiawa wewe nadhani una uzoefu mkubwa na ni hazina ya CDM hivyo unaweza pewa!
Kawapiga ngumi za pua wapo hoi ibn taabaniKila la kheri mahasimu wetu chadema.......
Tunawashauri mje na mtu potential manake ngosha keshawapoteza sana.....
hakika watanzania wanasubiri kwa hamu...CHADEMA kinaenda kutoa mwelekeo Mpya wa nchi!
Jangili alibembelezwa tuuu hakutaka.... Ila now kasusa coz kampuni zake zimepigwa pini.... Madeni ya kyama pia yanaumiza kichwa....Nakuamin sana brother mbowe... Huwez kutuangusha tunaitaj mtu makini.... Sio wale Chama fulani kina katibu mkuu jangili
Hali ni mbayaa....! Wacha tuuuKawapiga ngumi za pua wapo hoi ibn taabani
We kumbe kiazi namna hii? Huyo ngosha kampiga nani za pua?Kawapiga ngumi za pua wapo hoi ibn taabani
Ndo imetoka ICU, ajali ya October 25 2015 ilikuwa mbaya sanaHivi chadema bado iko?
mkuu Molemo salama lakini? Nilidhani unatupatia za ndani kumbe maneno matupu! Au hiyo hazina ndio itatoa mmoja wao kuvivaa viatu ya Padre Dr. Slaa? Kila la kheri, hata ukiawa wewe nadhani una uzoefu mkubwa na ni hazina ya CDM hivyo unaweza pewa!