Mjadala wa Katibu mkuu mpya CHADEMA wateka nchi

Mjadala wa Katibu mkuu mpya CHADEMA wateka nchi

mjadala umetekaje nchi, mim sijausikia kabisa asee, saiv nasikia mambo ya bei elekezi ya sukari, Magufuli kumtembelea Seif, hayo mengine ya Katibu ndio nimeyasikia kwako asee, ivi CHADEMA kumbe bado wapo? dah hii serikali itawapa shida sana kupata kiki

Mkuu mbona unajichanganya?

Hujausikia wakati uko kwenye hii thread ukiujadili?

Hata akili ya chekechea inatosha kutambua mjadala wa Katibu mkuu Chadema ndiyo umeteka nchi kwa sasa
 
Safari hii Magufuli atajitumbua mwenyewe...
Mkuu kumbuka ukitumbua majipu bila kuva gloves yanahamia kwako ukizingatia kwenye kile chama cha machafuko hakuna ambae siyo jipu sasa sipati jipu likiota juu ya jipu lingine
 
naamini mzee wa gia za angani atatuletea mtu makini. CHADEMA oyee!
 
Mkuu Kimbunga habari za siku nyingi sana Sheikh. Usiyempenda kaja...Mnyika amepata ridhaa ya wananchi kwa miaka mingine Mitano...this time around I hope hutakuwa unampigia ramli ya kutorudi bungeni.

Anyway, tuyaache hayo yameshapita. Molemo sio Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema kwahiyo humtendei haki kwa kujaribu kumpa majukumu yasiyo yake.
Lakini kwakuwa Mbowe ni Jemedari tunaamini kuwa atatuletea Katibu Mkuu ambaye ni Jemedari kama yeye.

Kamanda Mwita Maranya upo kaka? Nilidhani ulikumbwa na kimbunga cha Dr. Slaa ukatokomea naye. Safi sana tulikumiss humu.

Duh yaani watu wa Ubungo tuna shida kubwa sana. Ubungo wanaipenda CHADEMA lakini CHADEMA hawawatendei haki watu wa Ubungo. Mnyika kakimbilia Kibamba sasa kaja huyu jamaa yetu, yeye na mahakama mara kavaana na DC na wote wamekutana!

Afadhali wakati wa Mnyika. Afadhali Diwani wa Ubungo Bwana Jacob. Tupo kwenye miaka mingine 5 ya mateso!!
 
Naomba asitokee kaskazini ili hawa Lumumba wafe zaidi na majungu yao. Ila kukiwa hakuna option achaguliwe kutoka sehemu yoyote ilimradi awe strong.
 
Kamanda Mwita Maranya upo kaka? Nilidhani ulikumbwa na kimbunga cha Dr. Slaa ukatokomea naye. Safi sana tulikumiss humu.

Duh yaani watu wa Ubungo tuna shida kubwa sana. Ubungo wanaipenda CHADEMA lakini CHADEMA hawawatendei haki watu wa Ubungo. Mnyika kakimbilia Kibamba sasa kaja huyu jamaa yetu, yeye na mahakama mara kavaana na DC na wote wamekutana!! Afadhali wakati wa Mnyika. Afadhali Diwani wa Ubungo Bwana Jacob. Tupo kwenye miaka mingine 5 ya mateso!!
Dhambi mbaya kuliko zote ni woga
 
Pia sababu nyingine ni kutokana na mazingira aliyoacha Katibu mkuu wa zamani Wilbroad Slaa ya kususia uongozi baada ya kukosa fursa ya kugombea Urais
Slaa hakutoka Chadema kwa sababu ya kususia kutowekwa kugombea urais bali kutokana na Lowasa kuwekwa kuwa mgombea wa Chadema wakati yeye binafsi na Chadema kwa ujumla walikuwa wakipiga kelele kwamba Lowasa ni fisadi.

Hivyo haikuingia akilini kwa mtu mwenye msimamo kubadilika haraka haraka na kuanza kumwona Lowasa kuwa safi ati tu kwa kuingia Chadema.
 
Slaa hakutoka Chadema kwa sababu ya kususia kutowekwa kugombea urais bali kutokana na Lowasa kuwekwa kuwa mgombea wa Chadema wakati yeye binafsi na Chadema kwa ujumla walikuwa wakipiga kelele kwamba Lowasa ni fisadi. Hivyo haikuingia akilini kwa mtu mwenye msimamo kubadilika haraka haraka na kuanza kumwona Lowasa kuwa safi ati tu kwa kuingia Chadema.
Uchu wa Madaraka na kupenda kulikopitiliza
 
Kamanda Mwita Maranya upo kaka? Nilidhani ulikumbwa na kimbunga cha Dr. Slaa ukatokomea naye. Safi sana tulikumiss humu.

Duh yaani watu wa Ubungo tuna shida kubwa sana. Ubungo wanaipenda CHADEMA lakini CHADEMA hawawatendei haki watu wa Ubungo. Mnyika kakimbilia Kibamba sasa kaja huyu jamaa yetu, yeye na mahakama mara kavaana na DC na wote wamekutana!! Afadhali wakati wa Mnyika. Afadhali Diwani wa Ubungo Bwana Jacob. Tupo kwenye miaka mingine 5 ya mateso!!

Kimbunga acha kulialia unajidhalilisha bure.Mbona hamkumchagua Masaburi?
 
Back
Top Bottom