Mjadala wa escrow kila kona

Mjadala wa escrow kila kona

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
360,301
Reaction score
829,347
1417166893531.jpg
 
Macho yote bungeni kila jinsia kila rika na kila aina ya wananchi
 
Leo mchana watu kibao walikuwa wanatembea mtaani wamevaa headphones. Wako busy kusikiliza Bunge.
 
Hadi hatua ya mwisho tujue kusuka au kunyoa
 
Wananchi wana mwamko wa ajabu na hili jambo
 
sasa ndo mbunge wako uone anashabikia na anawatetea wapuuzi majambazi hao inatia hasira hadi karaha
 
Hawa ghasia nimemdharau mwanzo mwisho
 
Ukipanda dala dala sauti ya juu zaidi, leo na jana nimepanda zaidi ya tatu, kwenye vituo vya boda boda wanafungulia pia, watembea kwa miguu usiseme ....majumbani nako zile redio za mkulima zilizo saulikaga sasa zimerudi kwenye chati ....

Wametukatia umeme lkn redio one kwanzia asubuhi awaja tuangusha. Mpaka saivi umeme aujarudi bt stl tumooo...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom