Mjadala wa escrow kila kona

Mjadala wa escrow kila kona

Ukipanda dala dala sauti ya juu zaidi, leo na jana nimepanda zaidi ya tatu, kwenye vituo vya boda boda wanafungulia pia, watembea kwa miguu usiseme ....majumbani nako zile redio za mkulima zilizo saulikaga sasa zimerudi kwenye chati ....

Wametukatia umeme lkn redio one kwanzia asubuhi awaja tuangusha. Mpaka saivi umeme aujarudi bt stl tumooo...

Kwa mara ya kwanza Taifa limekuwa kitu kimoja, hakuna viduku hakuna ndombolo masikio yote bungeni visim! vya mchina vilivyokuwa vinadhauriwa mno leo ndio dili
 
Madai yake ana machungu na chama chake. Sio wewe umemtoa akilini si umesikia ata wenzake wamemzomea .....

Kamuangusha mno rais ndugu jamaa na familia yake huwezi kuamini kama kwa nafasi yake angeweza kuongea utumbo ule na yule mwenzake mwenye jina gumu na baya asumpa mtama sijui huko
 
Bunge limeahirishwa ila haijajulikana mpaka lini
 
Na watoto watakaozaliwa mbeya waitwe mwaescrow,tanga shescrow,kagera rutaescrow etc
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom