Kuna tangazo naliona hapa itv ya kuwa kutakuwa na mjadala kuhusu dowans jumanne saa 3:00 usiku. Binafsi ningependa kujua sura ya sakata hili kipindi hiki.
928 × 575 - Katuni husema vingi! Tazama hii. Kazi ya mchora katuni, ...
bwaya.blogspot.com
Hawa wamiliki wa Dowans wa KUKODI wala hatudanganyiki!! Lowassa na Rostam Azizi, kaundeni mpango mwingine; huu hapa tayari umeanguka kwa pua.
Na mkijaribu kubisha basi TUTAPOROMOSHA USHAHIDI KAMA MVUA HAPA kuliko hata ya Wikileaks mpaka mshangae wenyewe. Naona bora mkasimamishe hii sinema ya huyo Msaudia aliyeletwa nchini na Ridhiwani Kikwete tayari na makabrasha yote bandia, kabla hamjapata kuabika zaidi!!!!
Pindi mtakapomaliza uongo mzima basi mtuambie ili ndio mmanze kuumbuka rasmi mbele ya kandamnasi mnaofikiri hatuko-deep.
Siyo kawaida ya Itv kuwa na kipindi cha mjadala jumanne, nadhani mzee Mengi anauchungu sana anavyoona mafisadi wenzie wanapotaka kula zawalipa kodi wa nji hii kirahisi rahisi namna hii.
Kuna tangazo naliona hapa itv ya kuwa kutakuwa na mjadala kuhusu dowans jumanne saa 3:00 usiku. Binafsi ningependa kujua sura ya sakata hili kipindi hiki.
Siyo kawaida ya Itv kuwa na kipindi cha mjadala jumanne, nadhani mzee Mengi anauchungu sana anavyoona mafisadi wenzie wanapotaka kula zawalipa kodi wa nji hii kirahisi rahisi namna hii.
Lazima tujadili kwa sana tu kuwaonyesha mafisihadi kuwa watanganyika hatudanganyiki kibwegebwege sasa. Huyo mmanga si aliikana dowans siku za nyma? Leo katokea wapi?