Mjadala wa Dowans ITV wasitishwa

Nchii hii ina hazina kubwa ...binafsi siamini kama tunaweza kuwa na mchora katuni wa kiwango cha juu kama hiki! Kwa hakika ina portray a big picture on where we are currently standing! Mungu wangu, sijui sasa tukitoka fisi tunaenda wapi??? By the way, unajua watu wenye uwezekano wa kuleta mageuzi kwa kupata taarifa ni wale wa mitaa yetu ya USWAHILINI??? Sasa nini wasi wasi wanaweza kukata umeme kwenye maeneo hayo (yenye watanzania wa kawaida) ili wasiweze kujua hasa mjadala ulikuwaje. TUSUBIRI
 
Leo 22/02/2011 saa tatu usiku ITV/Radio one wangekuwa na mjadala kuhusu sakata la DOWANS lakini kutokana na sababu zisizofahamika wameibuka sekunde chache zilizopita na kutangaza hawataweza kurusha tena mjadala huo kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wao kulikoni ITV/Radio one nini kimewakumba au ..................... dogo kawapiga stop?
 
wenye mamlaka wamewazuia,utaskia kesho,hata mi nilikua nausubir,bora wangeuleta hapa
 
Leo 22/02/2011 saa tatu usiku ITV/Radio one wangekuwa na mjadala kuhusu sakata la DOWANS lakini kutokana na sababu zisizofahamika wameibuka sekunde chache zilizopita na kutangaza hawataweza kurusha tena mjadala huo kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wao kulikoni ITV/Radio one nini kimewakumba au ..................... dogo kawapiga stop?

ITV wako kibiashara zaidi

mafisadi wamenunua shoo.
 
yaani mengi ameingiza pesa kimtindo kweli kweli.... nimeamini mengi mjanja kuliko hata RA .... yaani tisha toto tu wameshampelekea pesa asirushe kipindi ...yawezekana hata hicho kipindi kilikua hakijaandaliwa
 
Wamesha chakachua ITV nini baada ya Al... Kujitokeza.. Hii nchi tumesha uzwa bado kutangaziwa..
 
ahhhhhhhhhh....jamaa wamechakachuliwa wala uhitaji kuwa profesa kugundua hili....ITV imepoteza mvuto na tunakosa imani na nyie.....
:spider:
 
ITV watupe hizo sababu zilozo nje ya uwezo wao, vinginevyo na wao ni mafisadi, na vita yao dhidi ya mafisadi wanayoifanya ni danganya toto. ni mafisadi katika rangi tofauti
 
jamani, Kesi ikiwa mahakamani haijadiliwi popote, Hata hakimu wa kesi ya chd arusha kasema hivyo.
 
Hii ni kali aisee kumbe kipindi hakuna, hata hivyo huku nisingeweza kukiona maana umeme nao tatizo!
 
Back
Top Bottom