MJADALA NA Mwigulu Nchemba Pamoja Na Kingwangala

MJADALA NA Mwigulu Nchemba Pamoja Na Kingwangala

Status
Not open for further replies.
Hili ndilo Tatizo la wasomi wetu.............. Huku ni kujikweza tu................Mbona Mjapani au Mchina huwezi kumsikia anauliza vitu kama hivyo.................Au anataka kufanya mdahalo wa kiingereza huku walengwa ni wajapani au wachina wa mashambani.................ndiyo maana hata hii midahalo, makongamano na mikutano wala haileti manufaa yoyote mchini.

Tuwape ujumbe mmoja ti hawa waheshimiwa; John Mashaka na HKigwangalla chagueni kijiji kimoja kati ya vijiji vilivyoko Tanzania ambacho nyie wote hamna maslahi ya kisiasa. Fungeni safari mpaka huko mkajifunze shida za watanzania kwa siku tatu. Mkirudi mje mtusimulie mliyoyakuta halafu muoanishe na theory zenu za kiuchumi.
 
Me naona tusiwavunje moyo, ila tuwaache wafanye debate tena kama ikiwezekana kwa kiswahili tena kwa faida ya wengi najua tunaweza kujua na kujifunza mengi kupitia kwao si mpaka tukutane nao physically hata tukisoma wanavyo andika na kushauri!

Tuwaache wafanye debate tena kupitia jf bila shaka tutajua mengi kupitia mawazo yao na mipango yao!

Nia ya mdahalo wao sio nzuri kwa sababu ya tambo ambazo walishaziweka tangu mwanzo. Huo muda wanaweza kushirikiana kuuwekeza kuzungumza na vijana wasio kuwa na ajira na kuangalia namna ya kuwasaidia.
 
hivi kigwangala watu wako wa nzega wnakuelewa kweli kwa lugha hii??

ukifikiria kidogo nje ya boksi utagundua kuwa uamuzi wa kutumia 'kidhungu' umetoka kwa 'wataalamu' ambao wana goal wanataka kuachivu na HK kaamua kuwakubalia ili kupambana nao huko huko walipo.let them be.....
 
Watanzania, kwa nini tunakatishana tamaa hivi? Kwanini tusiwaache hawa wanaotaka kufanya debate wakaifanya halafu tuone hakuna lolote la maana tutakalo pata toka kwenye hiyo debate? Na nani anaweza kusema categorically, kuwa hakuna la maana litakalopatikana kwenye hiyo debate?

Hapa JF watu wanalumbana sana, lakini pia kuna ideas nyingi zinachukuliwa na watu walio kwenye ngazi za maamuzi au hata kutolea ufafanuzi. Tuacheni kila mtu ajifanasi kwenye himaya yake!
 
Mtasababisha Waheshimiwa kuingia mitini!!!! Kama Nchemba atachangia hii thread basi nitajipiga ban la week hoja!!!!
 
Hahahahahahahaha
hamna SHEMEJI me ninachotaka ni wana mdaharo wawe free kwani wanajua umuhimu wa kiswahili lakini wameamua kuchagua kingereza tuwaache wawe huru japo wanaweza kushauriwa kutumia lugha ya kiwahili!

Haaaah, haaaa Ruttashobolwa, naona hutaki kabisa kurudi nyuma, hasa ukizingatia we ni Nsomile
 
Last edited by a moderator:
Mbunge wangu Mh. Kingwangala sijui unataka midahalo mingapi na kwa manufaa gani huku ukitumia lugha ya waingereza. Maliza kwanza hiyo ya bungeni halafu nenda jimboni kuwapasha wananchi wako yaliyojiri bungeni, na siyo kubakia Dar es salaam kusubiri mdahalo na John Mashaka. Tunakuhitaji kwenye huduma za kijamii jimboni.
 
Do you think English has any 'meaning' for me...or to any other nationalist? To people like us it is nothing but just another language imposed by the imperialists to further their legacy in Africa...and is a bad sign of the presence of rotten smelly sleep-overs of colonialism...

andika kiswahili .... unajidhalilisha?
 
Mtasababisha Waheshimiwa kuingia mitini!!!! Kama Nchemba atachangia hii thread basi nitajipiga ban la week hoja!!!!

Mida ya saa 10 jioni alikuwa humu akijibu shutuma za kula hela za CDCF....nikamuita aje ktk huu uzi aseme chochote, thubutuuuuu mpaka mda huu
 
Mkuu SHEMEJI naomba tuwape uhuru wa kuchagua lugha gani ya kutumia japo mi ninge washauri watumie kiswahili!

Me nafikiri mh HKigwangalla yeye ana msikiliza John Mashaka! Me nafikiri watasikiliza ushauri wa audience!

Nachokiona hapa wanataka heshima mbili kwa mpigo, 1. Lugha 2. Awareness yao juu ya changamoto za Tz.......umeshauri vyema ukimaanisha, heshima ya 2 ndo mpango mzima kwa audience
 
Je unamjua huyu WEGESA SUGUTA[JOHN HECHE] na yeye aje huku na jina lake halisi

Mhh! wewe kweli chakula cha wanasiasa. je?? kwenye huu uzi ni aya ipi inayomtaja Wegesa (Heche) ???? otherwise your obssessed with name Wegesa.
 
Huu mdahalo ni bora uwe wa kiswahili...Nyani ngabu na kiranga watajaza page kwa masahihisho..

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Hon: Kingwangala,
I am cordially writing to thank you for your prompt and candid response in regards to my invite for a serious debate. First and foremost, allow me to set the record straight relative to your assertion that “one John Mashaka anatamani kuwa na mdahalo na mimi” This is not the case. I am not interested in debating you about anything, because that would be defeating the purpose. I want to debate you on matters of great importance to our nation. Our discussion MUST center on Education, Youth Unemployment and their impact on our economic progress!

You raised a serious and urgent issue that concerns all of us. As you may know, Youth Unemployment is a global social, political and economic nightmare governments are grappling to contain. Tanzania is particularly facing enormous challenges related to the point at issue. Youth unemployment is our ticking time bomb. As a new generation of problem solvers, we have both the civic and moral obligations to contribute in any capacities possible through our various expertise, and ingenuity in an effort to contain the problem

As we await Mr. Mwigulu Nchemba’s response, let’s hammer the way forward by expediting this historic debate. As you indicated in your response, the debate must be conducted in a “civil manner” and the sooner we coordinate the discussion the better. I am also suggesting that, the debate be moderated by a reputable and neutral entity in a town hall style of discussion which will give the public an opportunity to engage us as well. In the meantime, my lines of communications remain open for further discussion on the modalities mashaka.john@yahoo.com

UPDATE:
Hon. Kingwangala has confirmed his participation. We are waiting for Hon. Mwigulu’s response (He has 5 more days). Thereafter time and mode of the discussion will be set. Otherwise, overwhelming majority have suggested the discussion be conducted in English
Why do you keep on mis-spelling my name?
 
Aliyeitisha mdahalo kama umesoma post yake ya kwanza inaonekana kama vile anataka kupimana ubavu na hao aliowaalika i.e HKigwangala na Mwigulu.

Wakati huo huo HKigwangala alopokubali mwaliko na yeye akaonesha yuko tayari kwa mashindano.

Mwisho wa siku lengo si kunufaisha umma bali ni kujigamba kuwa ni nani mpembuzi wa mambo. Hii haitatusaidia kutupeleka mbele kimaendeleo.

Kama John Mashaka na HKigwangalla wanasuluhu ya matatizo yetu watanzania swala sio mdahalo. Shirikianeni andaeni mpango mkakati na muupeleke kwa wahusika kwa ajili ya utekelezaji.

Nafikiri tutapiga hatua zaidi kuliko hivyo mnavyotaka kufanya kwa ajili ya kutafuta sifa za kisiasa.

Hizo pesa za kuandaa mdahalo zipelekeni kwenye madawati halafu nyie wawili mpiga picha mlete JF ili tuwapongeze.
Huu mdahalo nitauchukulia kama mwendelezo wa mjadala niliouanzisha bungeni, na taarifa yako ni kwamba nilichokifanya kupeleka bungeni hoja binafsi ni namna bora niliyoona inafaa kutafuta suluhu ya tatizo la ajira nchini
 
Why do you keep on mis-spelling my name?

Said Bagaile...... naona unachachamaa mbunge wangu. Au hiyo ndiyo tactic ya kuchomoka? mimi kwa uhauri wangu, nakushauri uchomoke usikubali hii debate. hawa vijana watakuacha uchi. naona wanalazimisha mjadili kwa kiingereza. na zetu hizi za kuunga unga sijui itakuwaje. alafu watu wa nzega watakuona mpuuuzi. badala ya kwenda jimboni kusikiliza maoni yao, wewe unabaki kujadiliana kwenye mitandao. shauri yako. utakuwa kama Lawrence Masha. Endelea kumtishia mashaka alafu uchomoke kwa kisingizio cya hostility toka kwa membembers
 
Wengi tunausubiri huu mdahalo, acha uwe kwa kimombo ili watukanaji wapungue tuweze kufaidi madini toka kwa wahusika

Exactly! Debate in English will do much better. Let us hope that Mwigulu will also turn up. Since he is a member he should not make us wait all the five days. If he does not feel to participate let him put it clear immediately that he is not in for it. Why should we have to wait all that long for a non participant?
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom