MJADALA NA Mwigulu Nchemba Pamoja Na Kingwangala

Status
Not open for further replies.
You advise using that languange you don want!

English is for colinialist and its is not recomended for senior govnt official to address problems using it...i hate seeing you guys writing english too much for local dwellers....
 
And you say all this in.... English!
yes sir sometimes people in here think that i dont know english.....majority here regarding you as a very intellectual with alot of degrees...because you are writing in english....

now iam coming people must know even me iam educated......

iam agree debate to be in english...we dont give a damn about folks in nzega,kilwa or wherever...we are debating here educated folks for there destiny.....
 
Hahahahahahahahaha
Yo Yo, we have seen now!

yes sir sometimes people in here think that i dont know english.....majority here regarding you as a very intellectual with alot of degrees...because you are writing in english....

now iam coming people must know even me iam educated......

iam agree debate to be in english...we dont give a damn about folks in nzega,kilwa or wherever...we are debating here educated folks for there destiny.....
 
Last edited by a moderator:

Arifu umedata:becky:
 
Mashaka anadai eti overwhelming majority wamependekeza mdahalo uwe kwa Kiingereza.

Hao overwhelming majority wamependekeza hivyo wapi?

Kwenye PM inbox yake?

Sidhani hata kama anajua kweli mdahalo walengwa ni kina nani. Naona midahalo na Wakenya kwenye skyscraper city imemchosha, ameamua kuhamia sasa kwa Watanzania.
 
Kakose bwana alivyo ona tunafanya reply kwenye mada yake kwa kutumia kingereza naona akajua tumekubali kutumia hiyo lugha!

Me naona tutumie lugha ya kiswahili kwa manufaa ya wengi na taifa pia alaf ground hiwe jf!

John Mashaka , @hkigwangala and Mwigulu Nchemba lets do in swahili our local language

Mashaka anadai eti overwhelming majority wamependekeza mdahalo uwe kwa Kiingereza.

Hao overwhelming majority wamependekeza hivyo wapi?

Kwenye PM inbox yake?
 
Last edited by a moderator:
yes sir sometimes people in here think that i dont know english.....majority here regarding you as a very intellectual with alot of degrees...because you are writing in english....

now iam coming people must know even me iam educated......

iam agree debate to be in english...we dont give a damn about folks in nzega,kilwa or wherever...we are debating here educated folks for there destiny.....

I sincerely hope this was for dramatic effect.
 
Halafu kama Tanzania maendeleo yangekuwa yanapatikana kwa kupitia makongamano, vikao na mikutano basi nchi ingekuwa iko kwenye kundi la nchi za dunia ya kwanza. Kinachopigwa ni porojo tupu halafu kwa lugha ya kiingereza.

Nimelisema hili kitambo hapa.

Watu washafanya vikao mpaka Ngurdoto.

Hamna lolote lililobadilika.

Plutarchian pageantry!
 
Yaani wanataka kuongelea matatizo yetu halafu tusubiri wakalimani wasimame katikati...........Kwani hawa wasomi wanatoka nchi gani.............wewe ndiyo utakuwa mkalimani au?.

Inawezekana wakawa wanahofia tafsiri ya maneno ya kiuchumi huenda yakawapa shida kwa kiswahili!

Au hujawahi kumskia mswahili akiongea halafu anauliza; 'hivi kwa kiswahili ni vipi vile'?.

Yaani tunajua zaidi kizungu kuliko kiswahili katika kujadili mambo yetu.
 
Hujawahi kukutana na wabongo wenye mashauzi kama hawajui Kiswahili?
 
Nimelisema hili kitambo hapa.

Watu washafanya vikao mpaka Ngurdoto.

Hamna lolote lililobadilika.

Plutarchian pageantry!

Aliyeitisha mdahalo kama umesoma post yake ya kwanza inaonekana kama vile anataka kupimana ubavu na hao aliowaalika i.e HKigwangala na Mwigulu.

Wakati huo huo HKigwangala alopokubali mwaliko na yeye akaonesha yuko tayari kwa mashindano.

Mwisho wa siku lengo si kunufaisha umma bali ni kujigamba kuwa ni nani mpembuzi wa mambo. Hii haitatusaidia kutupeleka mbele kimaendeleo.

Kama John Mashaka na HKigwangalla wanasuluhu ya matatizo yetu watanzania swala sio mdahalo. Shirikianeni andaeni mpango mkakati na muupeleke kwa wahusika kwa ajili ya utekelezaji.

Nafikiri tutapiga hatua zaidi kuliko hivyo mnavyotaka kufanya kwa ajili ya kutafuta sifa za kisiasa.

Hizo pesa za kuandaa mdahalo zipelekeni kwenye madawati halafu nyie wawili mpiga picha mlete JF ili tuwapongeze.
 
Inawezekana wakawa wanahofia tafsiri ya maneno ya kiuchumi huenda yakawapa shida kwa kiswahili!

Au hujawahi kumskia mswahili akiongea halafu anauliza; 'hivi kwa kiswahili ni vipi vile'?.

Yaani tunajua zaidi kizungu kuliko kiswahili katika kujadili mambo yetu.

Hili ndilo Tatizo la wasomi wetu.............. Huku ni kujikweza tu................Mbona Mjapani au Mchina huwezi kumsikia anauliza vitu kama hivyo.................Au anataka kufanya mdahalo wa kiingereza huku walengwa ni wajapani au wachina wa mashambani.................ndiyo maana hata hii midahalo, makongamano na mikutano wala haileti manufaa yoyote mchini.
 
Aliyeitisha mdahalo kama umesoma post yake ya kwanza inaonekana kama vile anataka kupimana ubavu na hao aliowaalika i.e HKigwangala na Mwigulu.

Wakati huo huo HKigwangala alopokubali mwaliko na yeye akaonesha yuko tayari kwa mashindano.

Mwisho wa siku lengo si kunufaisha umma bali ni kujigamba kuwa ni nani mpembuzi wa mambo. Hii haitatusaidia kutupeleka mbele kimaendeleo.

Kama John Mashaka na HKigwangalla wanasuluhu ya matatizo yetu watanzania swala sio mdahalo. Shirikianeni andaeni mpango mkakati na muupeleke kwa wahusika kwa ajili ya utekelezaji.

Nafikiri tutapiga hatua zaidi kuliko hivyo mnavyotaka kufanya kwa ajili ya kutafuta sifa za kisiasa.

Hizo pesa za kuandaa mdahalo zipelekeni kwenye madawati halafu nyie wawili mpiga picha mlete JF ili tuwapongeze.

Wanaotaka "Gladiators Show" wakikusikia wanaweza kukurarua.
 
Tueomba mdaharo ufanyike hapa jf kwa hiyo cost itakuwa ni ya bandle tuu!
Ccc HKigwangalla
John Mashaka

Aliyeitisha mdahalo kama umesoma post yake ya kwanza inaonekana kama vile anataka kupimana ubavu na hao aliowaalika i.e HKigwangala na Mwigulu.

Wakati huo huo HKigwangala alopokubali mwaliko na yeye akaonesha yuko tayari kwa mashindano.

Mwisho wa siku lengo si kunufaisha umma bali ni kujigamba kuwa ni nani mpembuzi wa mambo. Hii haitatusaidia kutupeleka mbele kimaendeleo.

Kama John Mashaka na HKigwangalla wanasuluhu ya matatizo yetu watanzania swala sio mdahalo. Shirikianeni andaeni mpango mkakati na muupeleke kwa wahusika kwa ajili ya utekelezaji.

Nafikiri tutapiga hatua zaidi kuliko hivyo mnavyotaka kufanya kwa ajili ya kutafuta sifa za kisiasa.

Hizo pesa za kuandaa mdahalo zipelekeni kwenye madawati halafu nyie wawili mpiga picha mlete JF ili tuwapongeze.
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahahahaha
naona waweke tambo pembeni maana tumeshajua kizungu wana kifahamu na mdaharo ufanyike kwa kiswahili!

Nimependa huu ujumbe wako:

'Miafrika Ndivyo Tulivyo'

Jamaa amekaa Marekani miaka minne kurudi anajifanya amesahau hata kuita mama! Loh!
 
Nimelisema hili kitambo hapa.

Watu washafanya vikao mpaka Ngurdoto.

Hamna lolote lililobadilika.

Plutarchian pageantry!

Mkuu nisamehe kwa yote, pengine nisingebishana na wewe nisingeelewa......kabla sija-sign out nimegundua kuwa HII NI DEBATE UJIKO.....yaani ya ''KUTONGOZEA MASHABIKI''........
 
Lets give them chance to decide the languange of debate, although i prefer swahili language! I don think they want to show us how they master english language!

Hahaha,

Cha Queensbridge Projects, complete with double negatives.

Pamoja.

What do they say? "Don't hate the player, hate the game?"

Well I'm not even the player no more. I bought a team and do some coaching.

These cats can't be serious, they flow so delirious...
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom