Mjadala Mzito kuhusu neno Benki ama Baki.

Venus Star

JF-Expert Member
Dec 6, 2018
2,402
2,000
Wakenya hebu njooni hapa. Ni kamusi ipi iliwapelekea mkaandika neno Baki kwenye noti zenu!?

Halafu kuna ukifuatilia kuna makosa mengine makubwa sana.
Baki kuu ya Cetral bank of Kenya. Kitu gani hiki!?

Huu ujanja ujanja utaisha lini!?
 
PANTHERA LEO

JF-Expert Member
Jan 25, 2019
2,260

Ukiwa m-mbea uwe na kumbukumbu... Vivyo hivyo ukiwa m-bishi uwe na maarifa ya kutosha...

Kwenye noti ya kenya imeandikwa "BANKI" Na sio "BAKI"....

Nirudi kwenye mada.. Neno BENKI/BANKI ni neno lilo kopwa kwenye lugha ya kiingereza, kiswahili cha kenya na Tanzania kina utofauti na vivyo hivyo kwenye kingereza... Wakenya wanatamka "BANK" kama "banki" sisi watanzania tunatamka "BANK" kama "benki"...

Kutokana na upungufu wa misamiati katika lugha ya kiswahili, neno hilo halina kiswahili chake sanifu.. Kwahiyo sio mkenya wala mtanzania aliyepo sahihi
..

Hayo mapungufu mengine ni ushamba wako..

Hapo imeindikwa "banki kuu ya KENYA"
Alafu kwa chini imendikwa kwa lugha ya kingereza.. Mfano wa noti hiyo angalia post inayofuata
 
PANTHERA LEO

JF-Expert Member
Jan 25, 2019
2,260
2,000
A%2B%20Gallery.jpeg
 
MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
19,961

Umemuweka sawa, kama ni mtu mwenye kutumia ubongo vizuri atakuelewa, hii hapa tafsiri ya neno banki

1132156
 
Venus Star

JF-Expert Member
Dec 6, 2018
2,402
2,000
Umemuweka sawa, kama ni mtu mwenye kutumia ubongo vizuri atakuelewa, hii hapa tafsiri ya neno banki

View attachment 1132156
Kamusi gani hiyo!?
Usituchose. Hiyo ni kosa kubwa sana.
Hakuna kamusi yoyote ya kiswahili inasema Banki.
Maneno yanatoholewa na yanasanifishwa.

Mnatakiwa mkubali makosa.
Tukianza kuchambua kuna makosa mengi mno kwenye noti ya kenya.
1. Banki ni kosa la kitaaluma
2. Banki kuu ya Central bank of Kenya - Hili ni kosa la kiuandishi.
Nadhani hii ni noti mpya ya 2019.
Hii hapa Kamusi ya TUKI
IMG_20190620_060047_165.jpg

View attachment 1132165

Wacha kuwa mkurupukaji na mwenye kiburi cha kijinga, jifunze kutulia na kukubali kuelimishwa, hiyo hiyo link uliyoweka humu, ifuate hadi pale utaona tafsiri ya neno Banki, lipo na limeelezwa vizuri. Inafaa ufahamu Kiswahili huwa kimetohoa maneno mengi kutoka kwa lugha za watu, hakijajitosheleza
 
eliakeem

JF-Expert Member
May 29, 2009
10,052
2,000
Wakenya hebu njooni hapa. Ni kamusi ipi iliwapelekea mkaandika neno Baki kwenye noti zenu!?

Halafu kuna ukifuatilia kuna makosa mengine makubwa sana.
Baki kuu ya Cetral bank of Kenya. Kitu gani hiki!?

Huu ujanja ujanja utaisha lini!?

Mimi sishangai kupata makosa kama hayo kutoka Kenya. Kenya wamejulia wapi Kiswahili?
 
eliakeem

JF-Expert Member
May 29, 2009
10,052
2,000
Kamusi gani hiyo!?
Usituchose. Hiyo ni kosa kubwa sana.
Hakuna kamusi yoyote ya kiswahili inasema Banki.
Maneno yanatoholewa na yanasanifishwa.

Mnatakiwa mkubali makosa.
Tukianza kuchambua kuna makosa mengi mno kwenye noti ya kenya.
1. Banki ni kosa la kitaaluma
2. Banki kuu ya Central bank of Kenya - Hili ni kosa la kiuandishi.
Nadhani hii ni noti mpya ya 2019.
Hii hapa Kamusi ya TUKI
View attachment 1132165

Saaafi kabisa.
TUKI NI KISWAHILI NA KISWAHILI TUKI

Neno BANKI si neno la KISWAHILI.
 
pingli-nywee

JF-Expert Member
Sep 16, 2015
10,974
2,000
Ahaaa haaa haaa
Siyo kila KAMUSI ya kiswahili ni sahihi. Kimataifa, taasisi peke ambayo imechapa KAMUSI KUU YA KISWAHILI ni Taasisi ya Ukuzaji wa Kiswahili ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Nje ya hii taasisi hakuna kiswahili.
Unaumwa wewe. Kenya kuna taasisi rasmi, tena ambayo ilibuniwa kupitia sheria bungeni. Chama cha Kiswahili cha Taifa(CHAKITA), ndio taasisi ambayo imepewa jukumu la kufanya utafiti, kukuza na kukieneza kiswahili. Au wewe ulijua kwamba wanafunzi Kenya wanatumia syllabus na vitabu ambavyo vimetoka kwa wasomi wenu ambao huwa hawajielewi? Tukitumia mtazamo wako finyu ina maana kwamba sote tunaotumia kiswahili tunakitumia kimakosa. Yaani bila muelekezo wa wenyeji, wakazi na wasomi kutoka Lamu na visiwa vya Kiwayuu, Kenya maeneo ambayo ndio chimbuko la lugha ya kiswahili kama tunavoijua. >>>https://en.m.wikipedia.org/wiki/Chama_cha_Kiswahili_cha
 
Naomba nikuelimishe, tafuta hiki kitabu kwenye hii picha hapa chini, ambacho kimeidhinishwa na BAKITA, na mashirika mengine yanayoratibu elimu ya Kiswahili, fungua ukurasa nambari 29 humo utajifunza kitu. Ni muhimu sana muwe na desturi ya kusoma nyie Watanzania, mnaishi maisha ya ovyoo sana, kumkuta Mtanzania na vitabu kwa nyumba huwa nadra sana.

Pia unaweza ukapakua app yake

pingli-nywee

JF-Expert Member
Sep 16, 2015
10,974
2,000
Alafu sio kwenye hizi noti mpya pekee yake. Neno Banki limekuwa kwenye noti zote za Kenya tangu tuanze kutumia sarafu yetu sisi wenyewe.
Wabongo kuleni kwa macho, najua kwenu waliotumia noti kama hizi za shilingi hamsini ni mababu zenu.
 
Drone Camera

JF-Expert Member
Jul 25, 2017
13,824
2,000
Ukiwa m-mbea uwe na kumbukumbu... Vivyo hivyo ukiwa m-bishi uwe na maarifa ya kutosha...

Kwenye noti ya kenya imeandikwa "BANKI" Na sio "BAKI"....

Nirudi kwenye mada.. Neno BENKI/BANKI ni neno lilo kopwa kwenye lugha ya kiingereza, kiswahili cha kenya na Tanzania kina utofauti na vivyo hivyo kwenye kingereza... Wakenya wanatamka "BANK" kama "banki" sisi watanzania tunatamka "BANK" kama "benki"...

Kutokana na upungufu wa misamiati katika lugha ya kiswahili, neno hilo halina kiswahili chake sanifu.. Kwahiyo sio mkenya wala mtanzania aliyepo sahihi
..

Hayo mapungufu mengine ni ushamba wako..

Hapo imeindikwa "banki kuu ya KENYA"
Alafu kwa chini imendikwa kwa lugha ya kingereza.. Mfano wa noti hiyo angalia post inayofuata
Umemuweka sawa, kama ni mtu mwenye kutumia ubongo vizuri atakuelewa, hii hapa tafsiri ya neno banki

View attachment 1132156
BANKI Kuu ya...... Central of Kenya...Duh
FB_IMG_15610117782389439.jpeg
FB_IMG_15610118069766783.jpeg
 
eliakeem

JF-Expert Member
May 29, 2009
10,052
2,000
Unaumwa wewe. Kenya kuna taasisi rasmi, tena ambayo ilibuniwa kupitia sheria bungeni. Chama cha Kiswahili cha Taifa(CHAKITA), ndio taasisi ambayo imepewa jukumu la kufanya utafiti, kukuza na kukieneza kiswahili. Au wewe ulijua kwamba wanafunzi Kenya wanatumia syllabus na vitabu ambavyo vimetoka kwa wasomi wenu ambao huwa hawajielewi? Tukitumia mtazamo wako finyu ina maana kwamba sote tunaotumia kiswahili tunakitumia kimakosa. Yaani bila muelekezo wa wenyeji, wakazi na wasomi kutoka Lamu na visiwa vya Kiwayuu, Kenya maeneo ambayo ndio chimbuko la lugha ya kiswahili kama tunavoijua. >>>https://en.m.wikipedia.org/wiki/Chama_cha_Kiswahili_cha

Ahaaa haaa haaa
Punguza povu kijana WANGU.
Mfano Kenya kuna chama cha mpira wa kikapu. Lkn huwezi kukilinganisha na NBA.
Ndivyo ilivyo kwenye hicho chama unachokisema.
 
Venus Star

JF-Expert Member
Dec 6, 2018
2,402
2,000
Wacha kuwa mkurupukaji na mwenye kiburi cha kijinga, jifunze kutulia na kukubali kuelimishwa, hiyo hiyo link uliyoweka humu, ifuate hadi pale utaona tafsiri ya neno Banki, lipo na limeelezwa vizuri. Inafaa ufahamu Kiswahili huwa kimetohoa maneno mengi kutoka kwa lugha za watu, hakijajitosheleza
Kati yako na mimi nani kakurupuka
Neno Kenya hapo limekuzwa kwa mtindo wa graphic design ili isomeke
Banki kuu ya Kenya
Central bank of Kenya

Jifunze mambo ya kisasa ya graphics acha kuwa kama bibi kijijini
Makosa makubwa sana ya kiuandishi. Yaani ni ujinga wa hali yaju. Sentensi mbili mistari miwili ichangiwe na neno moja!!? Hilo siyo gazeti kijana. Pesa ni moja ya National Identities.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom