Mjadala Mzito kuhusu neno Benki ama Baki.

Neno Kenya hapo limekuzwa kwa mtindo wa graphic design ili isomeke
Banki kuu ya Kenya
Central bank of Kenya
Jifunze mambo ya kisasa ya graphics acha kuwa kama bibi kijijini
Mlishaenda kufundisha Kiswahili Afrika kusini..?
 
Kati yako na mimi nani kakurupuka
Makosa makubwa sana ya kiuandishi. Yaani ni ujinga wa hali yaju. Sentensi mbili mistari miwili ichangiwe na neno moja!!? Hilo siyo gazeti kijana. Pesa ni moja ya National Identities.

Umekurupuka ukitaka kutuaminisha neno banki sio la Kiswahili, ukaleta link elimu.co.tz na kupachika humu kurasa inayotafsiri neno benki, nikakuelekeza humo humo kwenye huo ukurasa utafute pia neno 'banki' limo, kwa kifupi hapo ulikurupuka bila kuangalia maneno yote mawili.
Pia nimepiga picha kwenye kamusi iliyoidhinshwa na BAKITA na kupachika humu ambayo ina tafsiri ya hilo neno, tatizo lenu japo Kiswahili ndio lugha pekee ambayo mnaweza kuongea, lakini hamkijui kwa ufasaha.
 
Mlishaenda kufundisha Kiswahili Afrika kusini..?

Hiyo isikupe wasiwasi maana tulishaingia mkataba, hiyo ni kazi ambayo Watanzania hawaiwezi maana wengi wenu hamuna uwezo wa kuongea zaidi ya Kiswahili, sasa tunapokwenda kwenye ushindani wa kimataifa dhidi ya Watanzania, huwa tuna wapiga chini maana mnaishia kwenye Kingereza cha ze ze ze na catarist.
Mufahamu kwamba, ili umfunze Msouth Kiswahili, lazima mpatane kwanza kwa Kingereza au labda utumie lugha ya ishara za mikono hehehehe
Hili suala la nyie kutokujua Kingereza huwa mtaji kwetu, maana hata huko kwenu makampuni huona bora kuajiri Wakenya na Waganda kwenye baadhi ya kazi maana nyie mumeganda kwenye lugha moja ambayo ina mapungufu makubwa sana kwenye nyanja za kimataifa.
 
Ahaaa haaa haaa
Punguza povu kijana WANGU.
Mfano Kenya kuna chama cha mpira wa kikapu. Lkn huwezi kukilinganisha na NBA.
Ndivyo ilivyo kwenye hicho chama unachokisema.
Naaam, ndio maana NBA ina umaarufu zaidi ya hizo ligi zenu kiduchu. Wasomi na wakenya wa kawaida wamechangia pakubwa kwenye kukikuza na kukieneza kiswahili kimataifa. Kutoka kwa watu mashuhuri kama mwendazake Prof. Al Amin Mazrui hadi kwenye walimu wanaofunza kiswahili kwenye vyuo vikuu ughaibuni na kwa wanaofanya tafsiri mitandaoni na kwenye vitabu. Maneno kama safari(ambalo sasa lipo kwenye kamusi ya kiingereza), hakuna matata, simba, pumba, jambo bwana yote yamepata umaarufu kimataifa kwasababu ya wakenya. Hao wasomi wenu wapo busy wakimsifia Jiwe na chama chake cha mafisi.
 
Alafu sio kwenye hizi noti mpya pekee yake. Neno Banki limekuwa kwenye noti zote za Kenya tangu tuanze kutumia sarafu yetu sisi wenyewe.
KES0050v.jpg
Wabongo kuleni kwa macho, najua kwenu waliotumia noti kama hizi za shilingi hamsini ni mababu zenu.

Naona Sura ya Mkora iko kwa Noti
 
Naona Sura ya Mkora iko kwa Noti
Noti ya zamani hiyo. Ila huyo mkora sio zaidi ya yule mchawi aliyewalemaza na sera zake za kipumba kwa jina ujamaa. Yule mwalimu aliwa'sex' kupindukia, ndio maana mpo mpo tu mmechanganyikiwa kweli kweli hadi sasa hivi. Popote alipo ajue kwamba mungu anamuona.
 
Hiyo isikupe wasiwasi maana tulishaingia mkataba, hiyo ni kazi ambayo Watanzania hawaiwezi maana wengi wenu hamuna uwezo wa kuongea zaidi ya Kiswahili, sasa tunapokwenda kwenye ushindani wa kimataifa dhidi ya Watanzania, huwa tuna wapiga chini maana mnaishia kwenye Kingereza cha ze ze ze na catarist.
Mufahamu kwamba, ili umfunze Msouth Kiswahili, lazima mpatane kwanza kwa Kingereza au labda utumie lugha ya ishara za mikono hehehehe
Hili suala la nyie kutokujua Kingereza huwa mtaji kwetu, maana hata huko kwenu makampuni huona bora kuajiri Wakenya na Waganda kwenye baadhi ya kazi maana nyie mumeganda kwenye lugha moja ambayo ina mapungufu makubwa sana kwenye nyanja za kimataifa.

Teh teh teh tihiii
Wewe mwenyewe umejifunzia kiswahili hapa JF. Ona hata maneno mengine unavyoyaandika.
 
Noti ya zamani hiyo. Ila huyo mkora sio zaidi ya yule mchawi aliyewalemaza na sera yake ya kipumba kwa jina ujamaa. Yule mwalimu aliwa'sex' kupindukia, ndio maana mmechanganyikiwa kweli kweli hadi sasa hivi. Popote alipo ajue kwamba mungu anamuona.

Hahahaha, I expected such povu,
But at least Mwalimu is gone, we can fix what was not right,
Unlike you guys, Mkora aliwatomba sideways., And he knew that wasn’t enough, so he made sure his ascendants (his Famiy) continues fu.cking the whole of Kenya forever, a reason mtoto wa mkora is stealing at State house as we speak. U know it nah??
 
Wakenya hebu njooni hapa. Ni kamusi ipi iliwapelekea mkaandika neno Baki kwenye noti zenu!?

Halafu kuna ukifuatilia kuna makosa mengine makubwa sana.
Baki kuu ya Cetral bank of Kenya. Kitu gani hiki!?

Huu ujanja ujanja utaisha lini!?

wanasema kiswahili kimetoka kwao na watafundisha dunia nzima
 
Kamusi gani hiyo!?
Usituchose. Hiyo ni kosa kubwa sana.
Hakuna kamusi yoyote ya kiswahili inasema Banki.
Maneno yanatoholewa na yanasanifishwa.

Mnatakiwa mkubali makosa.
Tukianza kuchambua kuna makosa mengi mno kwenye noti ya kenya.
1. Banki ni kosa la kitaaluma
2. Banki kuu ya Central bank of Kenya - Hili ni kosa la kiuandishi.
Nadhani hii ni noti mpya ya 2019.
Hii hapa Kamusi ya TUKI
View attachment 1132165

Hapo #2 hapahitaji uchambuzi bhana.

Wameondoa tu takriri ya jina 'Kenya' kisanaa ya uandishi. Maana la sivyo wangeandika 'Kenya' ktk phrase ya kiswahili halaf wangeirudia tena kwa kizungu. Ndo maana hyo 'Kenya' haijachukua font ya phrase yoyote pale
 
Hahahaha, I expected such povu,
But at least Mwalimu is gone, we can fix what was not right,
Unlike you guys, Mkora aliwatomba sideways., And he knew that wasn’t enough, so he made sure his ascendants (his Famiy) continues fu.cking the whole of Kenya forever, a reason mtoto wa mkora is stealing at State house as we speak. U know it nah??
Mwalimu bado yupo boss, kupitia chama chake cha mafisi na washirikina ambacho kimewakaba kwenye m@p#mb# kwa miaka zaidi ya hamsini! Ndio maana pale kwenye ikulu yenu mmefuga mshamba, mzee 'semi-illiterate'. Shauri yenu jombaa, mtakimbiza mwenge kama vichaa hadi siku ya kiama.
 
Hiyo isikupe wasiwasi maana tulishaingia mkataba, hiyo ni kazi ambayo Watanzania hawaiwezi maana wengi wenu hamuna uwezo wa kuongea zaidi ya Kiswahili, sasa tunapokwenda kwenye ushindani wa kimataifa dhidi ya Watanzania, huwa tuna wapiga chini maana mnaishia kwenye Kingereza cha ze ze ze na catarist.
Mufahamu kwamba, ili umfunze Msouth Kiswahili, lazima mpatane kwanza kwa Kingereza au labda utumie lugha ya ishara za mikono hehehehe
Hili suala la nyie kutokujua Kingereza huwa mtaji kwetu, maana hata huko kwenu makampuni huona bora kuajiri Wakenya na Waganda kwenye baadhi ya kazi maana nyie mumeganda kwenye lugha moja ambayo ina mapungufu makubwa sana kwenye nyanja za kimataifa.
Kuna ndugu zangu wanafundisha Kiswahili Kenya halafu na nyie mnaenda kufundisha huko Sauzi si kichekesho hicho with ur poor grammar... Anyway hata mkifundisha huko ss tunafundisha China na nchi zingine huko...kuhusu kujua English si kweli kwamba eti ss ni dark kiasi hicho katika lugha hiyo...kumbuka English as our second language inafundishwa toka primary na kuendelea huko...kwa hiyo hata ss ung'eng'e tunatema vzr tu....huo mkataba mlioingia na wasauz ni kwa sababu zao binafsi tu.
 
Kama kuna ndugu zenu wanafunza Kiswahili huku hiyo sio tabu maana tayari tunaelewana kwa Kiswahili chenyewe, lakini la kwenda kwenye nchi ambazo lazima muelewane kwa Kingereza kwanza ndio wamusklize, hapo ndio mtihani ulipo. Kingereza kwenu ni janga la taifa, kuanzia mtaani hadi ikulu, kinawatesa sana..hehehehe.

Kuna wachache baadhi yenu huzungumza ipasavyo, hasa waliosomea Kenya na Ulaya, hao wachache kwa kweli hufaidi sana maana ni vigumu kumkuta Mtanzania anayeongea Kingereza kwa ufasaha na hana ajira, na wa hivyo wanadeka sana maana ni wachache sana na wanahitajika kote, hivyo inabidi Wakenya na Waganda watafutwe kuja kujaza pengo.

Labda kizazi chenu cha kesho kitakua bora maana kwa sasa mna shule za English medium ambazo kidogo zinaondoa hiyo aibu, ila lazima mfahamu lugha hadi uitumie ndio uwe bora, kuisomea shuleni haitoshi, mtoto atasoma ufasaha wa kingereza lakini akija nyumbani inamtoka maana wazazi weupe hawana uwezo wa kutiririka nao ung'eng'e.

Ndio maana wengi wenu wanawatuma watoto waje kusomea huku Kenya ili siku wakikua na kurudi Bongo, hawatapata tabu kwenye kusaka ajira, naomba utazame hii picha hapa chini utaelewa kitu.

1132362
 
Wacha kuwa mkurupukaji na mwenye kiburi cha kijinga, jifunze kutulia na kukubali kuelimishwa, hiyo hiyo link uliyoweka humu, ifuate hadi pale utaona tafsiri ya neno Banki, lipo na limeelezwa vizuri. Inafaa ufahamu Kiswahili huwa kimetohoa maneno mengi kutoka kwa lugha za watu, hakijajitosheleza
😁 😁 😁 Hahaa! MK254 itabidi ufungue darasa kabisa, maana jamaa ana kichwa kigumu...
 
Ahaaa haaa haaa
Siyo kila KAMUSI ya kiswahili ni sahihi. Kimataifa, taasisi peke ambayo imechapa KAMUSI KUU YA KISWAHILI ni Taasisi ya Ukuzaji wa Kiswahili ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Nje ya hii taasisi hakuna kiswahili.
Wuhuhuuuu..mnipe historia ya kiswahili...ikiwa km hyo taasisi ya chuo kikuu cha dar inahusika katika chimbuko la kiswahili na log off account yangu jf..
 
Ahaaa haaa haaa
Punguza povu kijana WANGU.
Mfano Kenya kuna chama cha mpira wa kikapu. Lkn huwezi kukilinganisha na NBA.
Ndivyo ilivyo kwenye hicho chama unachokisema.
Kwhyo unataka kusema watu wa lamu hawajui chochote kuhusu kiswahili kuliko hyo taasisi ya chuo kikuu cha dar...Mungu wangu...hao jamaa level zao ni wanzanzibar pekeeake....tanzania bara hamna kitu bana
 
Back
Top Bottom