Mjadala: Muziki sio Haramu. Inategemea na uimbaji wake

Mkuu mambo haya yanahitaji uelewa mdogo tuu.

Sio kila kitu kilichotumika zamani kwenye dini kitumike sasa hivi.

Muhimu ni zile amri za MUNGU ambazo ndio amri za Asili za ulimwengu.
Haya amekwambia nani na unatumia mizani gani kuyapima ?

Shida yako hujibu maswali yangu.
 
Sirejei kwenye kitu

Sijaelewa ulicho kiandika
Kama hujaelewa nilichoandika maana yake hukijui unachokijadili. Hili tatizo kubwa sana sasa sijui ujasiri wa kukadili mambo usiyo yajua unaupata wapi aisee.
 
Naomba ututhibitishie ya kuwa kitabu hicho kimeandikwa na hao wawili.


Wewe ulivyofundishwa Zaburi imeshushwa Kwa Nabii yupi? Maana isijekuwa najadiliana na mtu asiye na ilimu.

Kama huna elimu pia nijuze ili nijue nakujibuje nisije kukukwaza
 
Muzik haram kwa nan? Ujio wa yesu?Muhamad afrika umeharibu akil za wapuuz weng sana. Na weng wenu mnaoamin hizo sheria za din ngen hata maisha yenu n hovyo..
Amken wakat wa kushkwa akili umepita
 
Kama hujaelewa nilichoandika maana yake hukijui unachokijadili. Hili tatizo kubwa sana sasa sijui ujasiri wa kukadili mambo usiyo yajua unaupata wapi aisee.
Unachamba kuliko hata left hand
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom