Ziroseventytwo
JF-Expert Member
- Mar 27, 2011
- 7,984
- 13,637
Serious kwa mtu anayetaka kupata mtaji na kujiinua kiuchumi hasa kwa kujiajiri mwenyewe aje Morogoro. Wilaya za kilombero na Ulanga. Shughuli kubwa ni kilimo.
Gharama za uendeshaji za maisha kwa kila siku ni ndogo kila mtu anazimudu. Nyumba za kupangisha ni bei rahisi. Huduma za kijamii shule, hospitali na maji vinapatikana.
Kwa mtaji mdogo wa hata Tsh 200000 unaweza kuendesha shughuli ya biashara na ukapata kipato kizuri tu.
Karibuni Kilombero/Ulanga kwa wale wanaotafuta mitaji na nafuu ya gharama za maisha.
Watu qa daslam poleni sana.