MJADALA: Kwanini wanaume hufa mapema kuliko wanawake?

MJADALA: Kwanini wanaume hufa mapema kuliko wanawake?

Majibu ya mtaani ni mengi mara life style, mara kazi ngumu, mara stress n.k, n.k, lakini jibu sahihi ni kwamba wanaume wengi hufa kwa kuuawa na wake zao direct and indirect.

Katika nyumba 4 nilizowahi kupanga Dar es salaam ni nyumba moja tu nilibahatika kumkuta baba na mama mwenye nyumba. Tatu zingine wanaume waliwahi kuzikwa kabla ya wake zao.

Hivi unadhani ukiwekewa tone moja la sumu kila wiki moja au mara moja kwa mwezi hautakata moto mapema?

Uchawi, Maneno, Kelele toka kwa mwanamke huleta kifo cha haraka kwa mume wake.

Kuna jamaa zangu wapo Dar karibu na kanisa la Mwingira wanakufa sana kwa vifo vya utata, wanawake wakiwa washukiwa wakubwa lakini hakuna namna unaweza kuwashitaki.

Jamaa mmoja kakopa pesa ndefu kidogo, siku pesa imeingia tu kafa. Wengine wakistaafu tu pesa inaingia na wao wanaingizwa kwenye jeneza.

Kuweni makini na wanawake.
 
Mbona huko Japan na wanaume wanaishi mda mrefu sawia na wanawake?

Ulaya pia wanaume wanakula chumvi nyingi tu sawa na wanawake?

Tatizo la wanaume kufa mapema liko zaidi barani Africa
 
Majibu ya mtaani ni mengi mara life style, mara kazi ngumu, mara stress n.k, n.k
Lakini jibu sahihi ni kwamba wanaume wengi hufa kwa kuuwawa na wake zao direct and indirect.
Katika nyumba 4 nilizowahi kupanga Dar es salaam ni nyumba moja tu nilibahatika kumkuta baba na mama mwenye nyumba. Tatu zingine wanaume waliwahi kuzikwa kabla ya wake zao.
Hivi unadhani ukiwekewa tone moja la sumu kila wiki moja au mara moja kwa mwezi hautakata moto mapema?
Uchawi
Maneno
Kelele
Toka kwa mwanamke huleta kifo cha haraka kwa mume wake.
Kuna jamaa zangu wapo Dar karibu na kanisa la Mwingira wanakufa sana kwa vifo vya utata, wanawake wakiwa washukiwa wakubwa lakini hakuna namna unaweza kuwashitaki.
Jamaa mmoja kukopa pesa ndefu kidogo, siku pesa imeingia tu kafa.
Wengine wakistaafu tu pesa inaingia na wao wanaingizwa kwenye jeneza.
Kuweni makini na wanawake.
Hakuna mwanaume anapenda kelele lakini ukikutana na kirumbembe lililojawa tamaa ya Mali , utajuta kuzaliwa ndio maana tunasema ficha michongo yako , au ukutane na single mother mjuaji na mwenye shobo kwa waliotoboa utajuta hakuna rangi utaacha kuona , kikubwa ficha michongo yako akishindwa asonge mbele na uchi wake wewe Baki na pesa zako kwa amani
 
Mbona huko Japan na wanaume wanaishi mda mrefu sawia na wanawake?

Ulaya pia wanaume wanakula chumvi nyingi tu sawa na wanawake?

Tatizo la wanaume kufa mapema liko zaidi barani Africa
Kwa sababu wao wameamka wakagundua kuna maisha baada ya kupenda kalio la binti.

African Men wamekaza shingo.
 
Mbona huko Japan na wanaume wanaishi mda mrefu sawia na wanawake?

Ulaya pia wanaume wanakula chumvi nyingi tu sawa na wanawake?

Tatizo la wanaume kufa mapema liko zaidi barani Africa
Hii sio kweli. Wanawake wanaishi maisha marefu kuliko wanaume dunia nzima:

1736124033718.png
 
Tupunguze na ma konyagi na haya masigara sa nyingne tunawasingzia wanawake wakat ss tunajiua wenyew kwa mitindo yetu ya hovyo ya maisha
 
Babu yangu upande wa mama alifariki 1997 bibi akafariki 2013, upande wa baba,babu alifariki 2007, huku bibi bado yupo. Kuna wanawake wengi ni wajane kuliko wanaume wagane, hili limekawaaje wakuu?
 
Kuna sababu kadhaa zinazofanya wanaume wengi kufa mapema kuliko wanawake katika jamii nyingi duniani.

Tafiti zinaonyesha wanawake wana umri wa kuishi mrefu zaidi kuliko wanaume na hili ni sahihi kabisa

1. Mtindo wa maisha

Wanaume wengi:
Hutumia pombe kupita kiasi
Huvuta sigara
Hufanya kazi hatari zaidi
Hii huongeza hatari ya magonjwa na vifo.

2. Kutopenda kwenda hospitali mapema.

Wanaume wengi huchelewa kwenda hospitali wakiumwa, hivyo magonjwa hugunduliwa yakiwa tayari makubwa.

3. Magonjwa ya moyo.

Wanaume wanaathirika zaidi na magonjwa kama:
Heart Disease
Stroke

4. Ajali na hatari

Wanaume huwa kwenye hatari kubwa zaidi mfano
Ajali za barabarani
Kazi ngumu au hatari

5. Sababu za kibaolojia

Mwanamke kuwa na XX na Mwanaum XY hii ni genetic and healthy stability mwanamke ni stable na persestiv sana linapokuja swala la kinga ya mwili
Na ile homoni yao ya estrogen usaidia sana kulinda na magonjwa hatarishi yanayo husiana na moyo
 
Mbona huko Japan na wanaume wanaishi mda mrefu sawia na wanawake?

Ulaya pia wanaume wanakula chumvi nyingi tu sawa na wanawake?

Tatizo la wanaume kufa mapema liko zaidi barani Africa
Life expectancy kubwa
 
Back
Top Bottom