Kuna shule pia zina mfumo madhubuti wa kusolve mitihani ya NECTA siku kadhaa kabla ya mitihani. Mitihani inabadilishwa kidogo lakini ikija yenyewe ndio ileile. Sijui wanaipata wapi lakini ndio hivyo. Chanzo cha hii habari ni binti ya rafiki yangu alipata one kwenye shule moja
Kwa sababu ni chache. Hata zile nyingine za private Ni za waislam ila zimeandikwa majina ya private. Lakini pia udini unaingia, wana-base zaidi kwenye mafumdisho ya dini Na wanapendelea wanatumia zaidi walimu Wa waislam
🤣🤣🤣Elimu Dunia 20%
Elimu Akhera 80%
Ila kwa hili si kweli mkuu. Waislamu wa Tanzania ni wakawaida sana si wa ile misimamo mikali kiviile. Ukifanya utafiti utagundua wengi ni waislam majina tu. Ukienda misikitini ukiondoa siku za ijumaa utakuta msikiti una watu watatu tu. Hata hiyo Ijumaa yenyewe watu hawaendi. Kuna sababu nyingine tu ambazo huwa hazitajwiElimu Dunia 20%
Elimu Akhera 80%
Ila kwa hili si kweli mkuu. Waislamu wa Tanzania ni wakawaida sana si wa ile misimamo mikali kiviile. Ukifanya utafiti utagundua wengi ni waislam majina tu. Ukienda misikitini ukiondoa siku za ijumaa utakuta msikiti una watu watatu tu. Hata hiyo Ijumaa yenyewe watu hawaendi. Kuna sababu nyingine tu ambazo huwa hazitajwi
Kuna tafiti za kisayansi zinaonesha mtoto alisoma quran ni rahisi zaidi ku master stadi za KKK kwenye hii elimu ya kawaida. Hii nakuachia ukipata muda waweza hata ku gugo tuPitia kwenye academy zao utaelewa. Mambo ya dini ni mengi sana.
Nina jirani yangu mwanae alikua hwezi kusoma yupo miaka 6 anataka kuanza standard one hajui kusoma wakamkataa shuleni. nikamwambia Mwanao mfute huko madrassa asome kwanza shule za kawaida. Maana haiwezekani mtoto mdogo afundishwe Arif, Be .... alaf afundishwe ABC aelewe. Mwaka huu mtoto ameweza kusoma na kuandika ameanza Darasa la kwanza
Mambo ya dini yana nafasi kubwa kwenye maisha, lakini kwa upande wa kiislam inahitaji nguvu ya ziada mtoto ku master.
Inafika kipindi Dini inanoga hadi watoto wanaambiwa Hiyo elimu ya Makafiri haifai na propaganda nyingine
Mkuu jamaa anachosema kiko sahihi kabisa, kwa mtaani ulichosema wewe uko sahihi, kwa mtaani waislam hawafati sana misingi ya imani yao ila wanachokosea ni kwenye hizo shule za kiislamu kuweka mkazo kwenye mashart ya imaniIla kwa hili si kweli mkuu. Waislamu wa Tanzania ni wakawaida sana si wa ile misimamo mikali kiviile. Ukifanya utafiti utagundua wengi ni waislam majina tu. Ukienda misikitini ukiondoa siku za ijumaa utakuta msikiti una watu watatu tu. Hata hiyo Ijumaa yenyewe watu hawaendi. Kuna sababu nyingine tu ambazo huwa hazitajwi
Unachosema ni kweli wala sio uongo, maana kiarabu ni kigumu sana kukalili hivo ukikuta mtoto anaweza kucrame quran hawezi shindwa kukalili biology ila tatizo linakuja pale ambapo umuhimu unahamia kwenye quran tu na sio masomo mengine na kuyapuuza, unakuta walimu, mzazi na ata mtoto anafurahi zaidi kwa mtoto wake kujua quran na sio kilichompelekaKuna tafiti za kisayansi zinaonesha mtoto alisoma quran ni rahisi zaidi ku master stadi za KKK kwenye hii elimu ya kawaida. Hii nakuachia ukipata muda waweza hata ku gugo tu
Jibu lako halina uhusiano na mada husika. Binafsi nimesoma madrasa na shuleni nilikua nafanya vizuri kawaida. Hivyo huyo aliyetoa mawazo hayo sio kwamba hilo ndio tatizo la mtoto. Issue ni mtoto hakua sharp katika kuelewa masomo on his early days. I had a friend ambae alikua ni Christian utotoni mwake alikua na kichwa kigumu kweli mpaka darasa la nne ndio akaanza kujua kusoma vizuri hii nayo utaihusisha na madrasa.Pitia kwenye academy zao utaelewa. Mambo ya dini ni mengi sana.
Nina jirani yangu mwanae alikua hwezi kusoma yupo miaka 6 anataka kuanza standard one hajui kusoma wakamkataa shuleni. nikamwambia Mwanao mfute huko madrassa asome kwanza shule za kawaida. Maana haiwezekani mtoto mdogo afundishwe Arif, Be .... alaf afundishwe ABC aelewe. Mwaka huu mtoto ameweza kusoma na kuandika ameanza Darasa la kwanza
Mambo ya dini yana nafasi kubwa kwenye maisha, lakini kwa upande wa kiislam inahitaji nguvu ya ziada mtoto ku master.
Inafika kipindi Dini inanoga hadi watoto wanaambiwa Hiyo elimu ya Makafiri haifai na propaganda nyingine
Wamebase sana kwenye kuiona pepo..elim yao ni kuiona pepo tuu..24\7
Na hili ndio moja kati ya majibu sahihi ya hizi shule kufanya vibaya. Wanaosema eti msisitizo uko kwenye elimu akhera wamekariri tu kwa sababu ingekua hivyo effect yake tungeiona vijana wanapokuja mtaani. Labda nachoweza kukubali ni zile Inshallah Inshallah nyingi, anakuja mzazi hana ada anakubaliwa kirahisi Inshallah ishallahJibu lako halina uhusiano na mada husika. Binafsi nimesoma madrasa na shuleni nilikua nafanya vizuri kawaida. Hivyo huyo aliyetoa mawazo hayo sio kwamba hilo ndio tatizo la mtoto. Issue ni mtoto hakua sharp katika kuelewa masomo on his early days. I had a friend ambae alikua ni Christian utotoni mwake alikua na kichwa kigumu kweli mpaka darasa la nne ndio akaanza kujua kusoma vizuri hii nayo utaihusisha na madrasa.
Changamoto ya shule za kiislam ni kutotafuta walimu wazuri wa kufundisha wanafunzi wao. Pia budget zao sio kubwa kiasi hicho kuna haja ya kuboresha mazingira ya shule zao. Na kuanza kuchaji ada itakayoweza kupata walimu wazuri wa kufundisha ila kwa hizi peanuts fees hawawezi pata walimu wazuri na vifaa bora kwa ajili ya wanafunzi wao. Kwa maana hata kama ni suala la dini sio kigezo cha wao kufeli issue ni kutokua mazingira mazuri ya kusoma.
Budget Budget Budget