MJADALA: Kwanini Padri Luther aliondoa baadhi ya vitabu kwenye Biblia, na kwanini alijiondoa kanisa Katoliki?

Wewe funga,kamwe huwezi kuzuia ukweli wa Neno la Mungu.
Niliandika hivi unaweza ukawa unazani una right point then ikawa wrong point kwa kutumia biblia hiyo hiyo ndio maana nikaandika hivi biblia mda mwingine iko wazi lakini mda mwingine haiko wazi na ichanganya mambo nikakuuliza swali je yesu alikuja kuitimiliza torati ama hakuja kuitimiliza torati ? ukanijibu jibu ninalo ukaonesha pia na kifungu cha biblia bila shaka ni jibu sahihi,lakini je hujui Bible hiyo hiyo inatengua kifungu ulichokiandika hapo juu ama hujui ,bila shaka nataka kukuambia unaposoma neno la mungu jaribu kusoma ili kupata uwelewa sio kutafuta maandishi ama mistari na vifungu vya kuja kuikosoa dini ya Roman Catholic
NOTE:Nilikuambia je unahitaji mifano ya biblia hukutoa jibu la ndio au hapana, hivyo basi kwakua mada imeshafungwa hatuna haja ya kuendelea na mabishano bali roho mtakatifu na awe juu yako wakati utumiao kusoma biblia.
TOPIC CLOSED.
 
Hawa jamaa watakuja tuu....!ila wanatakiwa kutambua in vgumu kulisambaratisha Kanisa Katoliki...,babu zao walishindwa....!
Kanisa katoliki litasambaratishwa na Yesu mwenyewe, atakapokuja.Tubuni msije mkaangamia pamoja na kanisa hili lililoasi. "Hapo ndipo atakapofunuliwa yule asi,ambaye Bwana Yesu atamwua kwa pumzi ya kinywa chake, na kumwangamiza kwa ufunuo wa kuwapo kwake." (2Wathesalonike 2:8)
 
Petero=mwamba
kefa=mwamba

hayo majina mawili ni nickname za simione,

neno kanisa ama church kipindi kile halikuwepo,sasa sijui yesu alitumia neno lipi wakati akimweleza petro kuwa yeye ndio mwamba na kanisa litajengwa juu yake,

what is kanisa in kiebrania?
 


Si ndio kama hivi mkuu. Waonee huruma....
 
Yani mnabishana kwa vitu kwa kusikia, kusoma na kusimuliwa tu.
Mna uhakika gani huyo Martin alikuepo kweli na sio story tu?
Hata dini zenyewe mmesimuliwa tu.
Amini ulichoamua kuamini sio mnakashifiana hapa kama wapagani na wapinga kristu.
Yani hadi nimegundua leo kua fulani ni Padre na Fulani ni Mchungaji.
Biblia hata mngeikuta na vitabu 300 na vikabaki bado mngepingana tu ndio maana hata kina Kakobe, Lwakatare, Gwajima, Lusekelo, Mwingira... ni wachungaji walokole wanatumia bible moja ila kila mmoja na kanisa tofauti. Wote kina Luther tu.
 
View attachment 464715

Si ndio kama hivi mkuu. Waonee huruma....
Nmesoma kitabu kimoja kinaitwa Mnyama, Joka na Mwanamke au The Beast, the Dragon and the Woman kwa kiingerenza unaweza ukagoogle majina hayo na link ya kwanza kabisa kitakuja kitabu hicho. Ni kitabu kizuri na kitu ambacho nikikipenda zaidi reference ya kitabu hiki ni biblia takatifu. Nilichojifunza kutoka katika kitabu hiki ni kwamba kuna uhusiano wa baadhi ya vitabu vya biblia(Danieli na Ufunuo) na uhalisia wa maisha halisi ya mwanadamu katika mambo ambayo yakitokea miaka ya nyuma na yalikuwa revealed katika bible...... wameielezea hii system ya Upapa vizuri sana na kama mtu akiweka mapenzi yake kwa kanisa katoliki pembeni basi ni lazima ataelewa vizuri kabisa ni nn kimezungumziwa katika kitabu hiki. Nilichokiona katika picha hiyo ya donald trump kimezungumzwa dhahiri kabisa katika kitabu hicho. Sijajua kwamba kitabu hiki ni lini kilitolewa lkn mm tangu nmekisoma ni miaka mitano imepita na leo ndio nakuja kuliona hili la bwana Trump.Kitu kikubwa ambacho naamini kwamba watu wengi tunakikosea ni kuamnini kwamba tupo upande sahihi sana na kukataa kuangalia upande wa pili kuona pia kwa wenzetu kuna nn. Binafsi huwa nashindwa kujua ni kwann waroma waliamua kuiondoa amri ya sabato tena ni amri ambayo imetolewa ufafanuzi kwa maelezo mazito ukilinganisha na amri zingine na pia Mungu akaja akakazia kwamba Sabato ni agano la milele, lkn ndio hiyo imeondolewa na ukiwasikiliza sababu zao za kwamba ni kwann wamefanga hivo.... majibu yao yote yanakuja ku lie kwenye mapokeo hakuna jibu watakalokupa kutoka kwenye maandiko matakatifu... Na ni dhahiri Mungu alikataza mapokeo( Marko 7:1-16).... Mtu akiwa na masikio ya kusikia na asikie.
 

Attachments

  • Mnyama_Joka_Na_Mwanake.pdf
    90.7 KB · Views: 67
wameielezea hii system ya Upapa vizuri sana na kama mtu akiweka mapenzi y
Huu mjadala tulishaufunga tayari...inaelekea unakichwa kigumu sana wewe.....

Manuscript za Bibi Ellena Mke wa James White tumewaachia platform ya kujadili kwenye makambi ya ngono na lessoni zenu....
 
Mkuu, sio kweli Petro ni jiwe na sio mwamba.
Pitia Injili ya Yohana nadhani sura 4 utaona, jina/neon Petro ni kwa lugha ya Kigiriki na Kefa ni Kiaram/Kiebrania but yana maana moja is like Masihi na Kristo yote yana maana moja, yaani mpakwa mafuta wa Bwana. Masihi ni kwa lugha za mashariki ya kati pale kama Kiebrania, Kiarabu na Kristo ni kwa lugha ya Kigiriki
 
Na hata angekuwa hai bado haiwapi sababu ya kuomba kupitia yeye since Yesu alisema Imempasa yeyote aombaye kuomba kwa kupitia jina lake yesu tu...yeye ni njia na ukweli
 
Rejea Kitabu cha Mhubiri 7:12

Nayo mwili hurudi mavumbini ulikotoka nayo Roho kumrudia Mungu aliyeitoa .....

Roho haifi kamwe...

Soma ufunuo 5:8 uone Watakatifu wanafanya kazi gani mbinguni..
Mkuu kumbe roho humrudia muumba...tuanzie hapo..Roho ni nini?
 
Mkuu kumbe roho humrudia muumba...tuanzie hapo..Roho ni nini?
Nilishafunga mjadala......

Maswali ya kambi za lessoni na hoja zingine, kaanzishe mada tutakuja huko huko....

Kwakuwa hakuna aliyetupa jibu, kilichompelekea Martin Luther kupunguza vitabu, tulishafunga mjadala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…