min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 58,066
- 166,595
Mkuu unaweza ukawa nayo na ukalala ma wengi tu mbonakinachofany ndoa tuione km utumwa ni vile inataka ulale na mke/mme mmoja tu maisha yako yote wakat kiuhalisia na ktk nature hakun mtu mwenye kulimdu hilo, otherwise awe mgonjwa