secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 21,617
- 44,472
Mkuu Mimi sijaingia kichwa kichwa, nimefanya upembuzo yakinifu.Mzee mmoja alikuwa Jirani Yangu Mkoa wa Pwani.
Alikuwa diwani miaka ya 90 hadi 2000. Kutokana na status yake alikuwa anaoa na kuacha. Alitembeza Rungu kwa wanawake wengi sana. Akizaa na kutelekeza kila kona.
Kutokana na muda udiwani ukaisha, uzee ukaingia, Mke wake akafariki akabaki na watoto wake wa kike.
Hivi tunavyoongea sasa hivi mambo yake yako hivi.
1. Watoto wote wa kiume ni wavuta bangi na wengine ni mashoga.
2. Watoto wake wa kike ambao wananishi na mzee wao ni watatu wote wamezalia nyumbani kila mmoja ana mtoto zaidi ya wawili.
3. Hao watoto wa kike kwa sasa wanaishi kwa umalaya na wanafanyia nyumbani kwa baba yake. Kuna siku Baba yake alimkuta mtoto wake anaFirwa Live sebleni.
4. Baada ya hapo yule mzee ana Depression. Kufa hajafa lakini cha moto anakipata.
Nilimtembelea huyu mzee ili kumtia moyo mambo aliyonisimulia anakiri kuwa Mungu anamlipa matendo aloyofanya.
Kwa hiyo Mleta Mada wewe piga tu kwa sana. Tembeza rungu mpaka livunjike.