Sanlg....unaweza beba ata gunia la mkaaTwende pamoja kwa waliotumia na wanaotumia pikipiki tuu.
Kati ya hizi pikipiki unaipenda sana ipi na kwanini(based katika matumizi binafsi)?
1. Boxer
2. SANLG
3. Feckon
4. TVS King
5. Hero
6. King Lion
7.houjo
Boxer Bm 150 5 gia new model
Tvs zilipendwa
hivi zinapatikana hizi? maana naona za gia 4 tu
Pikipiki milioni 10 si bora achukue hata ka starlet.Ungekuwa na bajet ya mil 10 mpak 7.. Ningekupa mashine yangu 2017 Kx250..ingekufaa
skia achana na fekon,sanlg,boxer na takataka zngne kama hzo Utakuja kufa! Hazichelewi kupata miss.. Au kuchomoka front shock's
Jichange chukua hzi mashne
Crf 250/450
Rmz 250
KTM 450
kx 450 ikiwa 2stroke au 4stroke itakufaa sana..
Au ukikosa sana basi yzf.. 250!