MJADALA: Je, Pikipiki gani ni bora kwa matumizi ya nyumbani au biashara kwa Tanzania?

sawe4u

JF-Expert Member
Sep 11, 2016
973
571

BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU WA JF
Twende pamoja kwa waliotumia na wanaotumia pikipiki tuu.

Kati ya hizi pikipiki unaipenda sana ipi na kwanini(based katika matumizi binafsi)?
1. Boxer
2. SANLG
3. Feckon
4. TVS King
5. Hero
6. King Lion
7. Houjo
---

---
---



BAADHI YA MAONI YALIYOTOLEWA NA WADAU WA JF
---
---
---
---
---
---
 
Pikipiki, inategemea umeinunua kwa shughuli inayofavor mazingira gani? Kama wewe ni mtu wa shamba na kubeba mizigo, barabara zenye vigongo, urahisi katika bei ya vipuri. Kwa maoni yangu Sanlg, ni nzuri.
umeambiwa matumizi binafsi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…