Mjadala: Je, ni jinsi gani mtu anaweza kuacha punyeto?

Kichwa cha habari chahusika. Kutokana na uhaba wa pesa nimegundua mbinu rahisi ya kujiridhisha kimapenzi (pasipo gharama wala hofu ya magonjwa nyemelezi). Ila nimekuwa addicted kiasi haipiti siku bila kujichua. Nifanyeje ili niache?
Fanya mazoezi ya viungo Mara 2 kwa siku, jogging au ruka kamba, acha kuangalia video chafu za ngono au vishawishi. Hope utafanikiwa. Hiyo kitu ina madhara makubwa sana
 
Kichwa cha habari chahusika. Kutokana na uhaba wa pesa nimegundua mbinu rahisi ya kujiridhisha kimapenzi (pasipo gharama wala hofu ya magonjwa nyemelezi). Ila nimekuwa addicted kiasi haipiti siku bila kujichua. Nifanyeje ili niache?
Suluisho tafuta demu tuuuu, waweza pata asie chuna sana, tongoza ovyo ovyo bila kujal kukataliwa, ukipata demu huto piga nyeto,
kwan utahofia kuaibika kula mzigo vibaya kisa mabao yameishia kwenye nyeto
 
Mkuu nimegundua sababu inayo kufanya ww uwe mwanachama wa CHAPUTA ni ugumu wa maisha lkn ukipata pesa autalud tena CHAPUTA
Nakutakia utafutaji mwema wa Gris maana vyuma vime ,,,,,,za kinoma
 
Wakuu mi nlianza Nyeto 2005 hadi Leo napiga ila nataka kuacha ,hapa nna kama siku 3 sijapiga nafikiri huu ni mwanzo nzuri wa kuacha

siku tatu tuu unajisifia? Kuna wenzio wanamaliza mwaka na wanarudi sembuse three days?
 
siku tatu tuu unajisifia? Kuna wenzio wanamaliza mwaka na wanarudi sembuse three days?
Aha ha haaaa! Mi nilikaa Miaka 6 ila leo napiga cha wizi japo nipo kwenye ndoa,

Ila ukweli bao la mkono ni safi na linaburudisha,

Ila hasara yake sasa ukiwa na mkeo unapiga bao haraka maana unatumia hisia nyingi hili nimeliona juzi baada ya kujilipua usiku nikawa natimiza majukumu yangu ya ndoa nikachukua dakika 7 tu kupiga bao wakati siku zote huwa natumia kuanzia dakika 45
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom