Analyse
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 17,639
- 47,716
Kuna vitu nilikuwa sivielewi, ila kupitia huu Uzi wenu ndio napata picha.
Kuna siku nimembananisha manzi mazingira Fulani ya njiani, tukawa tunapiga Story. Kuna jamaa alikuwa anapita, alivyofika usawa wetu, akasimama, akajamba kwa nguvu tu, then akaondoka bila hata kutusemesha.
Tukabaki tunajiuliza, au kadata? Ukute ili ndio fantasy yake. Si uboya huu?