Red black JF-Expert Member Joined Nov 29, 2019 Posts 18,567 Reaction score 60,106 Sep 27, 2026 #6,381 Unaacha maini kama hizi unakula wazee 😁
Kingsmann JF-Expert Member Joined Oct 4, 2018 Posts 5,736 Reaction score 21,744 Sep 27, 2026 #6,382 Jf administrators hatimaye mnaenda kuiua Jf kifo cha kibudu kwa kuruhusu watoto wa Fb waanze threads za kijinga kama hizi. Inabidi mkae chini muweke exclusion & inclusion criterias za discussions za kuanzishwa humu ndani. La sivyo Jf itakuwa siyo "Home of Great Thinkers" tena!
Jf administrators hatimaye mnaenda kuiua Jf kifo cha kibudu kwa kuruhusu watoto wa Fb waanze threads za kijinga kama hizi. Inabidi mkae chini muweke exclusion & inclusion criterias za discussions za kuanzishwa humu ndani. La sivyo Jf itakuwa siyo "Home of Great Thinkers" tena!
M Mazishi yangu Member Joined Aug 23, 2026 Posts 24 Reaction score 67 Sep 27, 2026 #6,383 Mama amesema hataki watoto wala hana na pia amenieleza pia nam niwe mwanifu kama yy. Ila kweli penzi la mama ni soo sweet sana.
Mama amesema hataki watoto wala hana na pia amenieleza pia nam niwe mwanifu kama yy. Ila kweli penzi la mama ni soo sweet sana.
Jane Msowoya JF-Expert Member Joined Aug 20, 2017 Posts 5,297 Reaction score 10,129 Today at 1:12 PM #6,384 Nikitaka kujiona sina dhambi napita hapa kusalimia 🏃🏃🏃