Mjadala: Gharama na njia nafuu za kujenga nyumba ya kuishi Tanzania

naweza nikajua bei yake faza...

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi sio fundi isipokuwa nimetoa maelezo kulingana na ninavyofahamu...

Huwa ni fremu ya kawaida tu isipokuwa namna ya upachikaji wake ndio hutofautiana na mtindo ule wa kuchimbiwa ukutani na chini...

Upachikaji huu nimeutaja uhusisha fremu na bolts za chuma ambapo fremu hufungwa kama fremu zile za aluminium namna zinafungwa...
 
Kwanini
Kwa haraka haraka nitakupa makadirio maana ndizo kazi zangu hizo chukua square meter za ramani yako times 500,000 utapata garama ya morden house with everything you need.

Kama hujaelewa nina maana Urefu X Upana X 500,000=Construction cost

Hapo nina maana unatumia mkandarasi.
Kwann umepiga mahesabu hayo, kwann si 300,000 mara urefu mara upana?
 
You will most likely only undertake one major building project in your lifetime - and this will be your dream home. Statistically speaking this is true for most people. This is why you need to ensure you are well prepared before you get started. Make sure you ask the right questions before you start building.

1. Can I afford it?
The most important question of all is “Can I afford it?, How much does it cost to build a house?”. Start by calculating the construction costs of the building, the fence or wall surrounding the property, connecting water and electricity, building permits and make sure to include some extra money (about 10%) for unforeseen costs. Maramani.com has a very good article on calculating your construction costs and how to save money during construction which you can see here. If your budget is on the limit make sure you have extra time to complete construction in which you can get the funds needed before you get kicked out of your rented apartment.

2. Do I have the time?
Construction requires a lot of your time. You must select a plan, select materials, colours, doors, sinks, tiles, fixtures etc. You must oversee payments to the contractors or labourers, get building permits, deal with your water department and electric company for them to make connections - and so much more. It sounds very intimidating but this is something that you will learn very naturally as long as you are involved in the process. Just make sure you have the time to deal with it all. Expect a realist timeline of 8 months to 2 years of construction. And even longer if you are on a small budget or building using your monthly income.

3. Is the location the right one?
So you have bought a plot and now you are ready to start building. But is the plot in the right place? Once you get started with construction there is usually no stopping and you can no longer change your mind on the location. Ask yourself the following: Do I like the neighbours? Is it a noisy location? Is there access to water and power? Are the roads passable during the rainy season?

4. Who will supply the building materials?
In most cases it is worth employing a contractor to undertake all work. You go into an agreement with the contractor who then ensures all materials are purchased as per drawings and agreements. The contractor will also ensure safety of construction materials on site. It is cheaper to purchase materials yourself but if you do not have very good security you will find materials disappearing from the building site without your knowledge which ends up costing much more in the end. Unless you are experienced or have done enough research it is better to have a number of contractors make bids on the project and you can select the cheapest option.

5. How many bricks do I need?
This is a very common but not very relevant question. If you are using bricks (or concrete blocks), like 92% of buildings constructed in an urban area, then the cost of bricks will only amount to about 10% of the total construction cost. You can find a cost estimate calculator for each house plan from Maramani.com which will give you a good indication of the total costs involved for each plan. Alternatively, you can get Bill of Quantities prepared for your project which will give you an even more accurate cost estimate including a detailed list of all materials required.

6. How do I select a home builder/ contractor?
The first thing the contractor must have is experience. The more experience the better and faster he’ll be. The contractor will also know how to minimise costs and therefore will charge you less. Secondly, ask the contractor to show you work that he has undertaken previously. Talk to people the contractor has worked with and get feedback. This is your biggest investment so make sure you have the right person for it. Don’t select a contractor on face value but rather make thorough research and base your selection on facts, references and positive feedback. A contractor should also know your local building regulations so you don’t get troubles from the local government. Prepare a list of questions and meet with several contractors before making your final decision.

7. Will the house be properly secured?
When you are still making a decision on what your dream will look like it is important to know that you will be able to live securely in it. If the neighbourhood is not safe make sure you have burglar bars and a secure perimeter wall or fence. Less doors and windows give you more security so select a plan which reflects this if you are concerned about your safety. Ask yourself whether you can add steel grills to the doors in your selected plan if they will be needed.

8. Do I have the right plans?
Make sure you have the right plans by talking to a professional. A plan should work with your plot and the surroundings, the local building codes, your taste and requirements, your budget, and much more. You can contact professionals at Maramani.com in case you need assistance with selecting the perfect plan for your dream home.

9. What design style should I go with?
This question is closely related to the issue of costs and security. The more “fancy” a design is, the more it will cost. Let’s say you want a design with large windows the price will be higher than installing small windows. Likewise, large windows are less secure. Keep in mind that all additional elements or decorations translate to additional costs. With most designs it is possible however to add decorations at a later stage once your budget allows you to.

CONCLUSION
Deciding to build a home means essentially devoting your life, free time, and patience toward the project for many months. I love my custom home – it’s practically a member of the family. But I definitely wouldn’t recommend the process to the faint of heart or to couples in an already-rocky of marriage. Take your time and check out your options before breaking ground on your own home.
 
hellow everybody, architects tupo jamani, hatujaikimbia mada, its just that mmeiweka kwenye jukwaa wmbalo silo, mayb better put it in th business and economic forum, but anyway, wen we get back to the topic, kwa hapa bongo, tha construction rates zipo almost sio tofauti sana na izo za kenya, for a good quality morden house, the rate of construction per square metre will range up to 750,000tshs. Normal quality inaweza kuja mpaka 450000 au 500000tshs.... Hata architects fee ya wakenya naona ipo sawa kbsa na huku tz, which is 6 percent,,,,
Soo kwa mdau hapo juu aliekua anaulizia about nyumba ya bedroom mbili, the area might range around 120 square meters, ukipiga mahesabu hapo, for a quality house, u need not less than around 80 milion,,, normal quality maybe, up to fifty million
Jamani. nyumba nyingi za kawaida mitaani zinajengwa na watu kuamia kwa gharama za kawida tu kuanzia million 20 hadi 30. hayo mahesabu ya million 80 ujue nyingine ni za kupiga tu. ukisimamia mwenyewe nyumba ya vyumba 3 kwa millioni 25-30 unaamia
 
Wakuu habari za majukumu,

Nina kiwanja cha 20*20 apa Dar na nina milioni 5 tu naomba wajuzi wanipe ramani simple ya bed room 2, sitting room, choo cha public na kitchen ya kizushi kama itawezekana. Sihitaji master bed room wala dining.
 
Aisee,,,naona unapoteza rasilimali,kwa kiwanja cha 20*20 ni bora uvumilie au ujenge taratibu nyumba kubwa zaidi atleast vyumba 3(master 1),kitchen,dining,sitting room n public toilets.
 
Hii estimate ni sahihi??!

Stucture yangu ni 10x11=110sqm. X500,000=55,000,000. This isn't realistic in a Tz context. Mimi nimejenga kwa 15mil tu. Kama hizo ndo estimate mnazofanya kwenye miradi ya serikali ndo maana hatuendelei.
Acha uongo wewe 15mil, umeezekea majani ya mgomba au? Hiyo 15mil ni hela ya kupandishia boma tu, tena itatosha kama eneo lako ni tambalale. Otherwise nyumba umeijenga haina ubora kabisa
 
Jamani. nyumba nyingi za kawaida mitaani zinajengwa na watu kuamia kwa gharama za kawida tu kuanzia million 20 hadi 30. hayo mahesabu ya million 80 ujue nyingine ni za kupiga tu. ukisimamia mwenyewe nyumba ya vyumba 3 kwa millioni 25-30 unaamia
Wewe unaongelea nyumba ambayo mtu hawezi kuangalia Mara mbili,,,na hiyo nyumba ya bei rahisi inakuwa na
1.design na muonekano usio wa kuvutia
2.finishing na decoration za hali ya chini
3.roof(poa) la kawaida na fupi
4.uzio usio wa kuvutia
Mwisho wa Sikh hats thamani inakua ndogo
Refer:mtoto aliyesoma form 1-4 elimu bure hafanani na aliyesoma IST kwa kimtazamo,kifikra na mbinu alizopata
So acha kudanganya umma
 
Pia watu wanashindwa kutofautisha kati ya banda na nyumba. Wengi wanajenga mabanda wakidhani ni nyumba
 
Jamani. nyumba nyingi za kawaida mitaani zinajengwa na watu kuamia kwa gharama za kawida tu kuanzia million 20 hadi 30. hayo mahesabu ya million 80 ujue nyingine ni za kupiga tu. ukisimamia mwenyewe nyumba ya vyumba 3 kwa millioni 25-30 unaamia
Hilo ni banda sio nyumba mkuu. Au labda kama utahamia bila finishing yoyote hiyo 30mil inaweza tosheleza
 
Hilo ni banda sio nyumba mkuu. Au labda kama utahamia bila finishing yoyote hiyo 30mil inaweza tosheleza
Mabanda? Wewe unajiaminisha nyumba mpaka ujenge kwa gharama nyingi ndo itaitwa nyumba? Kwa mahesabu ya kawaida chumba kimoja chenye kuta 4 hutumia tofari wastani tofari 300. Nyumba ya vyumba vitatu, sebule, (Dining + jiko)+(stoo+publick toilet) hutumia jumla ya 6 x 300 = 2,500 ambazo ni millioni 2.5 (@1000 kila tofari), mchanga kutegemea sehemu max. @100,000 x 7 trips = 700,000. Kokoto @300,000 x 3= 900,000. Mbao za kuezeka unazifuata mwenyewe mikoani na kupakiza kwa malori yaliyomatupu kuja Dar ni chini ya 1,000,000. Mabati ya wastani ni 3,000,000. Fundi @30,000 kwa siku x 14 days ni 420,000 + @15,000 x vibarua(4) x 14 = 840,000. Cement mifuko 50 @13,000 ni 650,000. Hapo jumla ni Tsh. 10,010,000. Hivyo Million 10,000,000 tayari main structure imeisha simama. Sasa miliioni 15,000,000 iliyobaki ushindwe kufanya finishing? Milango na madilisha unachonge mikoani kwa bei rahisi. Ceiling Board ya gypsum unanunua kiwandani kwa bei reasonable? Wewe unayepinga ni mtoto wa mama ambaye hujawahi kujenga. Millioni 30 kwa wajasiria mali inatosha kabisa na kubaki.
 
Wewe unaongelea nyumba ambayo mtu hawezi kuangalia Mara mbili,,,na hiyo nyumba ya bei rahisi inakuwa na
1.design na muonekano usio wa kuvutia
2.finishing na decoration za hali ya chini
3.roof(poa) la kawaida na fupi
4.uzio usio wa kuvutia
Mwisho wa Sikh hats thamani inakua ndogo
Refer:mtoto aliyesoma form 1-4 elimu bure hafanani na aliyesoma IST kwa kimtazamo,kifikra na mbinu alizopata
So acha kudanganya umma
Mabanda? Wewe unajiaminisha nyumba mpaka ujenge kwa gharama nyingi ndo itaitwa nyumba? Kwa mahesabu ya kawaida chumba kimoja chenye kuta 4 hutumia tofari wastani tofari 300. Nyumba ya vyumba vitatu, sebule, (Dining + jiko)+(stoo+publick toilet) hutumia jumla ya 6 x 300 = 2,500 ambazo ni millioni 2.5 (@1000 kila tofari), mchanga kutegemea sehemu max. @100,000 x 7 trips = 700,000. Kokoto @300,000 x 3= 900,000. Mbao za kuezeka unazifuata mwenyewe mikoani na kupakiza kwa malori yaliyomatupu kuja Dar ni chini ya 1,000,000. Mabati ya wastani ni 3,000,000. Fundi @30,000 kwa siku x 14 days ni 420,000 + @15,000 x vibarua(4) x 14 = 840,000. Cement mifuko 50 @13,000 ni 650,000. Hapo jumla ni Tsh. 10,010,000. Hivyo Million 10,000,000 tayari main structure imeisha simama. Sasa miliioni 15,000,000 iliyobaki ushindwe kufanya finishing? Milango na madilisha unachonge mikoani kwa bei rahisi. Ceiling Board ya gypsum unanunua kiwandani kwa bei reasonable? Wewe unayepinga ni mtoto wa mama ambaye hujawahi kujenga. Millioni 30 kwa wajasiria mali inatosha kabisa na kubaki.
 
Acha uongo wewe 15mil, umeezekea majani ya mgomba au? Hiyo 15mil ni hela ya kupandishia boma tu, tena itatosha kama eneo lako ni tambalale. Otherwise nyumba umeijenga haina ubora kabisa
Usiwaogopeshe watu washindwe kujenga. wewe wakati unatafuta maisha hukuwahi kupanga? hizo nyumba ulizokuwa unapanga zilijengwa kwa kiasi gani? labda wewe kama mtoto wa geti kali hujawahi kuishi maisha ya kawaida. Millioni 80 ni rahisi kuisema kwa mdomo. wewe nadhani ni mtoto wa kiume!! unasema millioni 30 huwezi kujenga nyumba ya vyumba 3?
 
Wakuu habari za majukumu,

Nina kiwanja cha 20*20 apa Dar na nina milioni 5 tu naomba wajuzi wanipe ramani simple ya bed room 2, sitting room, choo cha public na kitchen ya kizushi kama itawezekana. Sihitaji master bed room wala dining.
Mkuu kama upo dar nenda ardhi chuo pale tafuta wanafunzi wa mwaka wa NNE wa architecture anaweza kukusaidia kwa bei nafuu na nzuri
 
Mabanda? Wewe unajiaminisha nyumba mpaka ujenge kwa gharama nyingi ndo itaitwa nyumba? Kwa mahesabu ya kawaida chumba kimoja chenye kuta 4 hutumia tofari wastani tofari 300. Nyumba ya vyumba vitatu, sebule, (Dining + jiko)+(stoo+publick toilet) hutumia jumla ya 6 x 300 = 2,500 ambazo ni millioni 2.5 (@1000 kila tofari), mchanga kutegemea sehemu max. @100,000 x 7 trips = 700,000. Kokoto @300,000 x 3= 900,000. Mbao za kuezeka unazifuata mwenyewe mikoani na kupakiza kwa malori yaliyomatupu kuja Dar ni chini ya 1,000,000. Mabati ya wastani ni 3,000,000. Fundi @30,000 kwa siku x 14 days ni 420,000 + @15,000 x vibarua(4) x 14 = 840,000. Cement mifuko 50 @13,000 ni 650,000. Hapo jumla ni Tsh. 10,010,000. Hivyo Million 10,000,000 tayari main structure imeisha simama. Sasa miliioni 15,000,000 iliyobaki ushindwe kufanya finishing? Milango na madilisha unachonge mikoani kwa bei rahisi. Ceiling Board ya gypsum unanunua kiwandani kwa bei reasonable? Wewe unayepinga ni mtoto wa mama ambaye hujawahi kujenga. Millioni 30 kwa wajasiria mali inatosha kabisa na kubaki.
Mkuu sitaki kubishana na wewe,kuhusu kama nilishawahi kujenga ama la?
Na mwisho nikujibu kirahisi ukipanda basi utafika arusha na ukipanda ndege utafika arusha ila kwa gharama tofauti
Niondolee ushamba wa kujisifia kujenga kibanda alafu unaita nyumba,,,,
Ukiendelea nitachambua hiyo nyumba yako na kukuchorea ramani na sections zake,,mshamba wewe
 
Kumbe una hasira? Kwa millioni 80 zako hakuna mtu angejenga! Kwaheri
 
Back
Top Bottom