Ilkuwa hivyo, lakini kwa sasa hata ndugu zake wamekubaliana na mimi kuwa hafai, na amewatia aibu.
Karibu, ila kwa kituko hiki kila nikiona unyasi bado nashtuka.
hivi huyo alikuwa umemweka kama future girl wako.?? aisee hny wako ni mjinga sana aiseee ....
You're welcome..
Sio mbaya sana kama ameuwa ndugu ambao walishakufa zamani...
senk youu wait for me kwenye kile kichaka
Nilionana naye chuoni. Ukimtazama, huwezi kumdhania.