Mizinga ya demu imeua ndugu wawili

Mizinga ya demu imeua ndugu wawili

Aisee hii ya kuua ndugu mbona inatumiwa sana. Kijana wangu wa shamba alidanganya mwanaye alifariki kumbe uongo. Ndugu mwingine kanidanganya mkewe kafiwa anaomba msaada. Wako Arusha. Sasa ikabidi nimwambie anipe simu niongee na shemeji. Hapo ikawa rumba, mara analia sana hawezi kuongea. Nukalazimisha. Basi zee zima likawa lina imitate sauti ya mkewe. Eti shemeji shikamoo , nilimuuliza mbona unaniletea usanii? mara simu ikakata. Nikamtwangia sms moja hadi leo mwaka wa 3 hajathubutu hata kutuma sms.
 
Inaonyesha pesa yako ngumu mpaka atumie nguvu kubwa kukudanganyaa
 
labda ulizidi ubahili akatumia mbinu hiyo mpya ikajibu vyema, basi akaamua kurudia tena
 
hapo hakuna shida kwani majani ya chai na koka bei gani?

Mkuu nijuze juu ya mchanganyiko huu hivi sasa nimetoka kusoma ujumbe kutoka kwa gf wangu akidai anamimba na hana mpango wa kuzaana ninajua kabisaaaa!!!!! Kuwa ni mzinga kwani nilimtembelea march kabla sijasafiri kwenda Iringa nikamkuta kunako MP na kwa sababu hiyo tulilala bilabila kwakuwa kuna ishu nilimshitukia nikakasirika na kuondoka kimya ameona atumie njia hiyo kunikamua nijushe matumizi ya hiyo koka na majani ya chai ili nimwendee na kumwambia tutoe dawa hii hapa kwani mpaka sasa sijamjibu kitu.
 
labda ulizidi ubahili akatumia mbinu hiyo mpya ikajibu vyema, basi akaamua kurudia tena
Nimejifunza kwamba ni wachache sana miongoni mwenu mnaojua kuridhika. Ama kweli Kunguru hafugiki..
 
Back
Top Bottom