Mizinga aina ya HIMARS (High Mobility Artillery Rockets System)

Mwana we mjeda nn
 
Niambie silaha ya kimarekani ambayo Ni Siri Sana si Russia Wala China anaeijua.
Silaha zote si za Russia Wala Us zinajulikana kwa pande zote mbili.
Dah!... Kama ni Siri Sana hawezi kufahamu na wengine wasijue, ikishafahamika sio Siri Sana.
 
Niambie silaha ya kimarekani ambayo Ni Siri Sana si Russia Wala China anaeijua.
Silaha zote si za Russia Wala Us zinajulikana kwa pande zote mbili.
Iwe siri alafu niijue, hapo ni siri gani hiyo.
Nimesema hawana show off ya silaha, kutoonesha kitu haimaanishi ni kufanya siri. Na sio kila silaha inajulikana fika, nyingine wanajua zipo ila hawajui exactly zina uwezo gani. Mwaka fulani China walikamata underwater drone inayochunguza naval bases na haikuwa inajulikana kabla baadae ndio walijua ni ya Marekani
 
Kama ni ngumu kukimbia wapi umeona HIMARS hata moja imeharibiwa, au Warusi hawataki kuziharibu wanazipenda silaha za adui?

Kufanya attack sio kama kunywa maji. HIMARS ikifanya shambulizi haikai hata dakika mbili inatembea. Counter battery radar za Urusi zikisoma maroketi yanayokuja na kufanya pinpoit location, zinatoa feed kwa makamanda. Nao wanatoa command kuna shambulizi linatoka somewhere hivyo lijibiwe. Hakuna MLRS ya Urusi yenye range sawa na HIMARS hivyo wanalazimika kutoa taarifa mbele yao, kule mbele taarifa zinapokelewa wanachakata na kupata target. Huo muda HIMARS ishaondoka kitambo sana. Ili upige target ndogo kama ile na iliyo mobile inabidi uwe very accurate na timely, kitendo cha yenyewe kuhama mita 100 tu huipati.

Hiyo ya kusambaratisha eneo lote iko kwenye movie sio in real life. Huwezi fanya upuuzi wa kupiga eneo lote na mawe, mapori, misitu, udongo eti ndio unampiga adui. Kama ni hivyo vita ingeshaisha, na mamilioni ya tani za hayo mabomu sijui ungeyazalisha wapi.

HIMARS zimeongezwa nne jana na Biden, zilizopo Ukraine ni 8 tu.
 
Smerch ishatumika Sana na inaendelea kutumika dhidi ya Ukraine
Ni ajabu pia kusema Russia Hana hizo mashine za kurusha kombora Kama za Himmars.
Unaweza kunionyesha wapi nimeandika Russia hana MLRS?
Achana na Grad na Smerch, nimesema mpaka sasa sijaona wapi Tornado imetumika. Tornado ni mpya hata hazipo nyingi na ndio zinaenda kufanya replacement ya Smerch. Hata TOS Buratino nimeona zinatumika ila Tornado sijaona
 
Kwa nilichoona US alikuwa anaogopa mzigo wake kuchukuliwa au kuharibiwa ndo maana akapeleka chache.
Kwa sasa keshaona Ukraine sio waoga na wanafanya kweli ndo maana kaongeza

Nzuri zaidi kawapa ammunation 1000 ambazo ziko accurate kuliko zote duniani, nimesoma mahali kuwa thamani ya hizo 1000 ni zaidi ya 100mil usd
 
Smerch ishatumika Sana na inaendelea kutumika dhidi ya Ukraine
Ni ajabu pia kusema Russia Hana hizo mashine za kurusha kombora Kama za Himmars.
Siku Ukraine ikipewa Lile Kombora za ATAMACS Lenye Range ya 200Miles (320km),Hilo Daraja la Kerch linalounganisha Cremea na Mainland Russia litakuwa matatani. Sema hi Vita Marekani anaipeleka taratibu TU. Walianza kutuma Rifles za Snipers(Majenerali wa Urusi wakapukutishwa Kama kuku wa kisasa),Wakatuma Stingers(Helicopter za Urusi zikadakwa Kama kumbikumbi angani),Wakatuma Javerine(Vifaru vya Urusi viliteketezwa Kama Uyoga). Sasa Wametuma HIMARS(Sasa tunashuhudia Temporary Commanding Centers za Urusi,Maghala ya Silaha na Maghala ya Mafuta yakisambaratishwa).

Hii Vita tukae TU kwa kutulia tutaona mengi. Wasipofikia Makubaliano ya Amani,Pande zote zitapata Matatizo. Sema Jeshi la Ukraine Ni dogo Sana (225,000) ukilinganisha na ukubwa wa Jeshi la Urusi (1.1M). Kwahiyo hata Wakifa kwa uwiano Sawa kila Upande,Ukraine itashindwa mwisho was siku.

KIUCHUMI

Kiuchumi mpaka Sasa Urusi imepoteza mapato mengi Sana. Kwa mjibu wa Takwimu,Urusi imeingiza $ 24B za kuuza Mafuta nchini China na India na $ 12B kwa kuuza Gesi barani Ulaya Tangu Vita vianze ( Miezi 5) Sasa. Kabla ya Vita,Urusi ilikuwa inapata $ 38B kwa mwezi tu kwa kuuza Gesi na Mafuta barani Ulaya. Lakini kwa miezi 5 imeingiza $ 36B TU.
 
Hii vita ni ngumu sana wakuu maana Russia anamwaga mabomu mengi sana. Ila yasiyolenga shabaha ,Ukraine anapiga machache yenye shabaha ,kiufup anayeumia ni Ukraine kwenye miundombinu. Na RAIA wasio na hatia ,kiukwel hii. Vita haitakua na faida kwa pande zote mbili wakae chini wayamalize,hata Putin ameshaur wayamalize mapema kabla hayajawa makubwa
 
Wee jamaa nikikusomaga nabaki kukushangaa Tu ivi kuna silaha gani ambazoo Rusia Hana au Hana utaalamu nazoo mlianza kelel na Yale makopo yone ya kupiga vifaru kimetoa nini naona Leo unakuja kusifia izi mashine ambazoo uwezo wake ni wakawaida Tu ambazo kwenye vita kama hii ni mdogo snaa sababu Rusia anakila kitu cha kumsaidia kuona Aya madude kuanzia satelait, drones za kijasusi, radar na vingi ambavyoo Ukrein Hana na ata kama anapata msaada ni Jambo la mdaa atalegezwa mitambo minne itasaidia nini Kwa nchi ambayo inarusha makombora mengi na kuhit target kwenye ngome zenu kila wakati inateka maeneo yenu, inateka jeshi lenu, inaaribu silaha zenu, inasonga mbel kila uchwao embu chambua uhalisia Acha kusifia ujinga
 
Ni kweli,Gharama ya Kulinda Uhuru wako Ni kubwa Sana. Vitienam ilipovamiwa na Marekani wangelisema wakubali kushindwa ili Kulinda Miundombinu nadhani unajua Nini kingelitokea. Lakini walipambana kwa miaka 10 bila Kukata tamaa mpaka wakashinda. Nchi iliharibiwa 90% ya Miundombinu yote na ndege za Marekani.
 
Nasema ivi pro NATO endeleeni kujifariji Rusia ndyo anapeleka hii vita polepole wala siyoo US Russia anateka eneo mojamoja tena Kwa utulivu angekuwa anataka iishe haraka angepeleka jeshi kubwa zaidi na ata asingepumzisha wanajeshi wake Ila wanaenda wachache wanarudi baada ya mwezi wanaenda wengine hii yote ni kupeleka show iwe slow but sure unaliwa uku unapiga kelele ndogo wlaa mpigaji Hana haraka.
Kuusu mapato usiseme Tu Rusia Germany amepoteza zaidi ya Dola billion 8 na mategemeo Hadi mwisho wa mwkaa hi atapoteza zaidi ya bilion25 nchi nyingi za ulaya zinalia Hali ngumu ya uchumi gazet la wall Street linatabiri Hali ukienda ivi Hadi mwakani Hali ya mdororo WA kiuchumi kama ya mwkaa 2008 inaweza kutokea tena na makampuni mengi kufilisika
 
Wewe ni mwehu na huna akili alafu hujitambui kabisa kabisa trust me mzee huna akili wewe ni chizi anayevaa nguo na kulala pasafi tu pimbi wewe
 
Kuna mdau nilimwambia hii vita inapiganwa Pentagon, na hii ni marathon, kamwe usianze kwa speed.

Kwenye hii vita ndiyo tumejua kuna silaha Marekani kazificha ni za zamani ila zimemfukuza Urusi Kyiv, kituo kifuatacho ni Kherson
Wakifika Kherson maana yake Kerch Strait ndo mwisho wake na thamani yake ilikuwa 4bil usd
 
Ukraine itajengwa na Western countries na kujiongezea Usalama naona US akiweka Base kubwa pale
 
Hii vita sio sawa na Wazungu na Waasia au Wazungu na Waafrika, hii ni vita ya Wazungu na Wazungu, kingine kabisa Warasia na Waukraine na watu wa jamii moja, Genetically wana uhusiano, kuanzia miili, akili hata Kiojografia wameadapt hali moja...
Russia will never bi able to Subjugate Ukraine, sababu wanachotautiana tu ni Ukraine hakuwaga anaunda Silaha wala Jeshi kama Russia but Msaada anaopata kutoka Western allies ni very strategic.

Kuna taarifa kuwa U.K imaanza kuwapa mafunzo askari wa akiba wa Jeshi la Ukraine takribani 10, 000 hii inaonesha jinsi wanvojiandaa na Protracted Warfare.

Putin katufunza why we should not give a lot of power kwa mtu mmoja and our militaries need to have democratic control
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…