Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,263
- 17,140
tupia akiwa shamba huyu hagusi udongo sharo mzee hahahahaha
Anaona kinyaa kwenye mahindi. Mtu wa pizza huyu
tupia akiwa shamba huyu hagusi udongo sharo mzee hahahahaha
kwani msoga falsafa yake ya kuongeza kipato ipo kwenye kilimo. yeye majuu tu na alivyo hakikisha anajibebea upro wa kichina kujazia CV sasa ndio mwake inalipa mana anaonekana km rais msomii ukiringanisha na wastaafu wenzake.msoga naona ka ma yupo busy na ishu za kimataifa,
pinda ndio yupo 100% kwenye kilimo
ANAONA KINYAA HADI KUSHIKA HINDIAnaona kinyaa kwenye mahindi. Mtu wa pizza huyu
![]()
Acha Mawazo mfu,kwa hiyo ukiona picha maana yake kiwanda kipo Katavi na ametoa ajira??Haya basi twambie kiwanda kiko wapi na ametoa ajira ngapi?na vipi kuhusu ufisadi nilousema?hilo hujaliona?![]()
Mapovu yote ya nini wakati picha zinaeleza kila kitu bro,
hiyo asali anazalisha mizengo, naona una chuki binafsi nae ndio maana unakuwa unapost kwa hisia kali za hasira hivi, hizo chuki zinatokana na nini?Acha Mawazo mfu,kwa hiyo ukiona picha maana yake kiwanda kipo Katavi na ametoa ajira??Haya basi twambie kiwanda kiko wapi na ametoa ajira ngapi?na vipi kuhusu ufisadi nilousema?hilo hujaliona?
Jibu maswali yangu na sio kuchongoa mdomo tu.kwanini niwe na chuki nae!!Nakushangaa wewe anayepost sifa za uongo ha JF.Naomba ujue watu wengi wanaiamni sana JF kama chanzo cha taarifa sahihi.Hivyo,unapopotosha Siwezi kukaa kimya ,ukitaka nikae kimya jibu maswali yangu nilokuuliza kwenye bandiko langu lililotangulia.hiyo asali anazalisha mizengo, naona una chuki binafsi nae ndio maana unakuwa unapost kwa hisia kali za hasira hivi, hizo chuki zinatokana na nini?
jamaa ana kiwanda cha asali nimekuwekea hapo na asali yenye chapa ya jina lake,wewe unasema hajaajiri hata watu 10Jibu maswali yangu na sio kuchongoa mdomo tu.kwanini niwe na chuki nae!!Nakushangaa wewe anayepost sifa za uongo ha JF.Naomba ujue watu wengi wanaiamni sana JF kama chanzo cha taarifa sahihi.Hivyo,unapopotosha Siwezi kukaa kimya ,ukitaka nikae kimya jibu maswali yangu nilokuuliza kwenye bandiko langu lililotangulia.
Kiko wapi?sio utoe povu tujamaa ana kiwanda cha asali nimekuwekea hapo na asali yenye chapa ya jina lake,wewe unasema hajaajiri hata watu 10
Tatizo lako nini sasa ulitaka akae kitakoMaigizo...mbona bado analamba stahiki kibao za uwaziri mkuu mstaafu?
Hasili, heheheeeHasili ya mtu haipotei,
Haimzuii kufanya anachopenda,kweni kua mkulima na mfugaji ndo kumfanye akatae na hzo stahiki?haiwezekaniMaigizo...mbona bado analamba stahiki kibao za uwaziri mkuu mstaafu?
Ndiyo kitu kinacho niumiza kichwa kila sikuHivi huyu alipataje uwaziri mkuu?
Mwenzake alipelekwa na chopa akarudi nayo jioni mjini!Waziri mkuu mstaafu wa Tanzania, lakini baada ya kustaafu hakukaa idle kula pesa wanazodai ni za ufisadi na kupiga propaganda za kisiasa, ameenda kwao Katavi akaanzisha kiwanda cha asali ambacho kinawapa ajira vijana na kununua mazao ya asali na nta kutoka kwa wakulima wa maeneo hao na kukuza uchumi wa nchi, na pia kama unavyoona pichani ni mkulima ambaye anafanya ukulima kwa vitendo, huyu ni kiongozi anayeishi falsafa ya Nyerere kwa vitendo, kwenda vijijini na kuwekeza na kuwa insipire vijana kufanya kilimo na shughuli nyingine huko badala ya kujazana mjini hadi daladala na barabara zinaelemewa kupita uwezo.
Tunaweza kuibadilisha Tanzania maeneo ya vijijini kama hawa viongozi wetu baada ya kumaliza uongozi wao kwenda kujichanganya na wananchi wa huko na kuwafundisha kwa vitendo namna ya kulijenga taifa.
Huyu ni inspiration kwa vijana na hata kwa viongozi wengine kuwa mikoani pia kuna maisha, mdiss utakavyo lakini mimi niemkubali kwa hili
View attachment 336030
![]()