Mizengo Pinda ni mtoto wa mkulima kweli

Mizengo Pinda ni mtoto wa mkulima kweli

real G

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2013
Posts
5,227
Reaction score
5,303
Waziri mkuu mstaafu wa Tanzania, lakini baada ya kustaafu hakukaa idle kula pesa wanazodai ni za ufisadi na kupiga propaganda za kisiasa, ameenda kwao Katavi akaanzisha kiwanda cha asali ambacho kinawapa ajira vijana na kununua mazao ya asali na nta kutoka kwa wakulima wa maeneo hao na kukuza uchumi wa nchi, na pia kama unavyoona pichani ni mkulima ambaye anafanya ukulima kwa vitendo, huyu ni kiongozi anayeishi falsafa ya Nyerere kwa vitendo, kwenda vijijini na kuwekeza na kuwa insipire vijana kufanya kilimo na shughuli nyingine huko badala ya kujazana mjini hadi daladala na barabara zinaelemewa kupita uwezo.

Tunaweza kuibadilisha Tanzania maeneo ya vijijini kama hawa viongozi wetu baada ya kumaliza uongozi wao kwenda kujichanganya na wananchi wa huko na kuwafundisha kwa vitendo namna ya kulijenga taifa.

Huyu ni inspiration kwa vijana na hata kwa viongozi wengine kuwa mikoani pia kuna maisha, mdiss utakavyo lakini mimi niemkubali kwa hili

12932569_1484418244905922_7957877215870101681_n.png

190d149a2aaf9cd702c582b2b809bfd1.jpg
 
Mfano wa kuigwa kwa Viongozi wetu wanapostaafu mkataa kwao Mtumwa Igene anachofanya Mtoto wa Mkulima
 
Mkuu tupia na Picha za mzee wa msoga akiwa kijijini msoga
 
Waziri mkuu mstaafu wa Tanzania, lakini baada ya kustaafu hakukaa idle kula pesa wanazodai ni za ufisadi na kupiga propaganda za kisiasa, ameenda kwao Katavi akaanzisha kiwanda cha asali ambacho kinawapa ajira vijana na kununua mazao ya asali na nta kutoka kwa wakulima wa maeneo hao na kukuza uchumi wa nchi, na pia kama unavyoona pichani ni mkulima ambaye anafanya ukulima kwa vitendo, huyu ni kiongozi anayeishi falsafa ya Nyerere kwa vitendo, kwenda vijijini na kuwekeza na kuwa insipire vijana kufanya kilimo na shughuli nyingine huko badala ya kujazana mjini hadi daladala na barabara zinaelemewa kupita uwezo,
Tunaweza kuibadilisha Tanzania maeneo ya vijijini kama hawa viongozi wetu baada ya kumaliza uongozi wao kwenda kujichanganya na wananchi wa huko na kuwafundisha kwa vitendo namna ya kulijenga taifa
huyu ni inspiration kwa vijana na hata kwa viongozi wengine kuwa mikoani pia kuna maisha, mdiss utakavyo lakini mimi niemkubali kwa hili

View attachment 336030
Mdogo wake anaenda shamba. na ranglover vogue kweli hawa wakulima.
 
Ila Pinda alikuwa na uchungu,, tatizo nyakati hazikumruhusu
Huwa nakumbuka alivopiga beat matumizi ya v8/vx alafu hakuna aliyempa suport.... Angefiti sana na magufuli
 
Hizi picha ni za kipindi baada ya kukatwa
mkuu leta ushahidi wa kuwa ni za baada ya kukatwa na mimi nikuletee screenshot nilizopiga wakati hizi picha zimewekwa mitandaoni ta tarehe husika
 
Back
Top Bottom