Mizengo Pinda ni mtoto wa mkulima kweli

Mizengo Pinda ni mtoto wa mkulima kweli

Baada ya Lowassa kufukuzwa kwa Wizi.

alifukuzwa?? serikali ya CCM ina uwezo wa kumfukuza mwanasiasa kwa wizi? levo zake ni wakurugenz wa mataasis ambao sio wanasiasa.
 
Vp mkwere yeye mbona Hayupo ktk thekta ya kilimo namuona tuuu Anga za kimataifa
 
Waziri mkuu mstaafu wa Tanzania, lakini baada ya kustaafu hakukaa idle kula pesa wanazodai ni za ufisadi na kupiga propaganda za kisiasa, ameenda kwao Katavi akaanzisha kiwanda cha asali ambacho kinawapa ajira vijana na kununua mazao ya asali na nta kutoka kwa wakulima wa maeneo hao na kukuza uchumi wa nchi, na pia kama unavyoona pichani ni mkulima ambaye anafanya ukulima kwa vitendo, huyu ni kiongozi anayeishi falsafa ya Nyerere kwa vitendo, kwenda vijijini na kuwekeza na kuwa insipire vijana kufanya kilimo na shughuli nyingine huko badala ya kujazana mjini hadi daladala na barabara zinaelemewa kupita uwezo,
Tunaweza kuibadilisha Tanzania maeneo ya vijijini kama hawa viongozi wetu baada ya kumaliza uongozi wao kwenda kujichanganya na wananchi wa huko na kuwafundisha kwa vitendo namna ya kulijenga taifa
huyu ni inspiration kwa vijana na hata kwa viongozi wengine kuwa mikoani pia kuna maisha, mdiss utakavyo lakini mimi niemkubali kwa hili

View attachment 336030
190d149a2aaf9cd702c582b2b809bfd1.jpg
nafasi yake ilikua nafasi ya juu ya tatu katika ardhi ya Tanzania,,alikua kiongozi wa mawaziri wote na msaidizi wa raisi na msimamizi wa serikali...angeweza kuwa mao wa Tanzania,,,hafanani na mkulima mlalahoi anaetegema mazao anayolima bila pembejeo wala ruzuku,,,yeye anatoa hala bank anafanya kazi,,,,sijaona yote maigizo tu
 
kwani akitoa hela benk akiwekeza kwenye kilimo kuna tatizo gani? as long as anawekeza?
 
Tanzanians mostly take things on the face value, understand my point by reading between line,,,no offensive
 
wewe point yako ni kuwa yeye ni tajiri, anatoa hela bank kuna kingine zaidi ya hapo?
naona wewe ndio una matatizo ya ki attitude ya watanzania wengi, unamchukia mtu na unamuombea kufeli kisa ana kipato kikubwa kukuzidi
 
Mtuwekee na za Lowasa akiwa anachunga ng'ombe wake.
 
Waziri mkuu mstaafu wa Tanzania, lakini baada ya kustaafu hakukaa idle kula pesa wanazodai ni za ufisadi na kupiga propaganda za kisiasa, ameenda kwao Katavi akaanzisha kiwanda cha asali ambacho kinawapa ajira vijana na kununua mazao ya asali na nta kutoka kwa wakulima wa maeneo hao na kukuza uchumi wa nchi, na pia kama unavyoona pichani ni mkulima ambaye anafanya ukulima kwa vitendo, huyu ni kiongozi anayeishi falsafa ya Nyerere kwa vitendo, kwenda vijijini na kuwekeza na kuwa insipire vijana kufanya kilimo na shughuli nyingine huko badala ya kujazana mjini hadi daladala na barabara zinaelemewa kupita uwezo,
Tunaweza kuibadilisha Tanzania maeneo ya vijijini kama hawa viongozi wetu baada ya kumaliza uongozi wao kwenda kujichanganya na wananchi wa huko na kuwafundisha kwa vitendo namna ya kulijenga taifa
huyu ni inspiration kwa vijana na hata kwa viongozi wengine kuwa mikoani pia kuna maisha, mdiss utakavyo lakini mimi niemkubali kwa hili

View attachment 336030
190d149a2aaf9cd702c582b2b809bfd1.jpg

Lengo lako kuu siyo kutaka kumfagilia Mzee Pinda bali umeanzisha uzi makusidically ili upate upande wake wa pili wa shilingi roho yako iridhike.
 
How do you figure that?
 
How do you figure that?

Nadhani ulitakiwa uandike " how do you figure out that one " au kama hutaki mbwembwe nyingi ungesema tu " justify " ningekuona wewe kweli ni wordsmith uliyetukuka. Halafu kila siku huwa nawaasa kuwa jamani kama wewe hujui Kiingereza vizuri kazana tu huku huku katika kiswahili chetu utaeleweka tu. Sasa hiki " how do you figure that? " ni Kiingereza gani? Umeniuliza kwa Kiingereza hivyo nakuomba unipe muda na mimi nikitafute Kiingereza changu cha Ras Simba na nitakujibu mida mida!
 
Back
Top Bottom