Hongera Pinda. Watanzania tupo nyuma yako
mkuu yaani nimependenzw sana tu na ulivyomalizia katika "paragraph" mbili za mwisho. Serikali iwe moja tu kama kweli tunamapenzi ya kweli na dhati na TANZANIA. si hawataki tuitambue Tanganyika, yanini leo ndio wadamke na kuona Zanzibar ilikua imemezwa.????Wataalamu wa sheria na mambo ya katiba serikalini walipotoa Hadidu za Rejea na kuikabidhi Tume ya Jaji Warioba kwa kupitia mkono wa Rais Kikwete, kuna wengine walidhani safari ya kisiasa kupata Katiba Bora waliyokuwa wanasafiri bila kufahamu walipo na wanakoenda, basi watakuwa wamefika.
Mwingereza anayejulikana kwa jina la kalamu kama Lewis Carroll alishawahi kusema, If you dont know where youre going, any road will get you there.
Well, kuna wanasiasa hawakufahamu kwa nini Hadidu za Rejea zilikuja na misingi kumi ambayo iliambatana na sheria ya mabadiliko ya Katiba 2013 iliyoacha milango ya kisheria wazi ambayo kwa sasa inatafsiliwa kwa namna yoyote bila hata kuvunja sheria. Wengine wanasema kazi ya Bunge la Katiba ni koboresha, huku wengine wakisema, kazi yake haina mipaka kisheria.
Majibu yake kwa sasa ndiyo haya yameanza kujitokeza kutoka kwa viongozi wakuu wandamizi wa serikali. Kama kuna viongozi wa siasa au vyama hawakufahamu kusuka au kunyoa lakini kwa sasa wako kwenye Bunge la Katiba, basi acha wanyolewe au wasukwe na serikali ya CCM ili wajitambue katika nafasi zao za kisiasa.
Waziri Mkuu ni mjumbe tu kwenye Bunge la Katiba pamoja na kwamba ni Mwenyekiti wa wabunge wa CCM lakini huwezi kuondoa msingi wa athari za matamko yake katika jamii. Kwa sasa yuko pale kutetea hoja na sera ya chama chake ambacho kina wanachama 'milioni tano'.
Hii ndiyo habari ya Mjini. Mnaotaka Serikali ya Tanganyika, mnakusudia Tanganyika ipi?. Tanganyika ya mkoloni au ya baada ya uhuru ya miaka mitatu!,
Mimi ninachotaka ni kuvunja Muungano au kama haiwezekani, basi serikali moja itanitosha kwa miaka 50 ijayo. Siitaki Tanganyika kwa sababu zijawahi kuiona. Sihitaji serikali mbili kwa sababu hazijajenga mazingira halisi ya serikali mbili. Serikali tatu ni kupoteza muda tu kwa sababu haziwezi kudumu. Serikali nne ni kuongeza gharama wakati shule hazina hata ubao wa kufundishia achilia mbali chaki na madawati.
Unapoona wingu linatanda, huna budi kutarajia mvua kunyesha lakini vile vile disappointment is all part and parcel of Homo sapiens.
Ninakubaliana na msingi wa hoja yako lakini ninatofautiana na wewe kidogo kwenye neno "Kujiboresha". Muungano hauwezi kujiboresha bali lazima uboreshwe na walioungana kwa pamoja kulingana na mazingira yaliyopo au yanayokuja.Nyerere aliasisi Muungano akitarajia Kuwa Muungano huu Analojia utakuwa ukijiboresha kulingana na wakati yaani Muungano Digtal
Ni kweli dhana nzima ya kuungana ni kutengeneza mazingira ya utulivu na amani katika mataifa yaliyoungana.Sidhani Kama Nyerere alitaka Muungano ubaki Kama ulivyo pasipo Kuwa Muungano tulivu Kama muungano wa kule U.S.A au kule UK kwa Malikia
Yes, njia pekee ni kuwa na serikali moja na taifa moja. Haya mengine ya serikali mbili, tatu, nne ni "madudu" ambayo athari zake ni kubwa sana Kisiasa, Kiuchumi na Kijamii.Tiba Pekee na nzuri ni Kuwa na Serikari Moja tu Yaana ZNZ atawale Gavana kisha Bara atawale Gavana na Rais awe Mmoja tu na makamu wake wahamie Dodoma hakika huu Mvutano Kati ya Visiwa vyenye watu 1.5 million tu na Nchi kubwa ya watu million 43 utakwisha na Nchi kubwa itaepuka kupelekeshwa na watu wachache wajanja kuliko wengi wapole.
Swali lake ameuliza kwa wananchi wote na kulitolea majibu!. Inawezekana wewe ndiyo hujamuelewa!.Ningemsifu ka ma angeuliza swali hilohilo kwa Zanzibar. Unafiki ni mbaya sana. Anawaogopa?
Tanganyika yenu ipi?.Apeleke uccm huko
mtt wako hata km aliishi kwa siku moja akafariki hauwez kumsahau
tunataka Tanganyika yetu
Wanaotaka serikali Tatu ,Nne ,Tano ,Shirikisho n.k wanalao jambo yawezekana ni wahaini hawaNinakubaliana na msingi wa hoja yako lakini ninatofautiana na wewe kidogo kwenye neno "Kujiboresha". Muungano hauwezi kujiboresha bali lazima uboreshwe na walioungana kwa pamoja kulingana na mazingira yaliyopo au yanayokuja.
Ni kweli dhana nzima ya kuungana ni kutengeneza mazingira ya utulivu na amani katika mataifa yaliyoungana.
Sikubaliani na wewe unaposema Muungano wa nchi zinazotengeneza UK ni tulivu. Muungano wa UK una matatizo sana pamoja na kwamba hayaonekani kwenye Television.
Siwezi nikagusia kuhusu U. S.A. kwa sababu sifahamu sana siasa zao.
Yes, njia pekee ni kuwa na serikali moja na taifa moja. Haya mengine ya serikali mbili, tatu, nne ni "madudu" ambayo athari zake ni kubwa sana Kisiasa, Kiuchumi na Kijamii.
Kwani nani aliileta Tanganyika?.Jamani Tanganyika yetu mkoloni kaikuta mmetusomesha wenyewe tumeelewa tulipotoka na tunapoenda. Sasa napatata picha behind the scene ya katiba mpya
Kwa maoni yako, hutaki Tanganyika kwa sababu hujawi kuiona, lakini wakati huo huo unapendekeza kuvunja muungano kitendo ambacho kitarejesha Serikali ya Tanganyika moja kwa moja ambayo huitaki! Je si vyema ukawa na Serikali hiyo ndani ya muungano?Wataalamu wa sheria na mambo ya katiba serikalini walipotoa Hadidu za Rejea na kuikabidhi Tume ya Jaji Warioba kwa kupitia mkono wa Rais Kikwete, kuna wengine walidhani safari ya kisiasa kupata Katiba Bora waliyokuwa wanasafiri bila kufahamu walipo na wanakoenda, basi watakuwa wamefika.
Mwingereza anayejulikana kwa jina la kalamu kama Lewis Carroll alishawahi kusema, If you dont know where youre going, any road will get you there.
Well, kuna wanasiasa hawakufahamu kwa nini Hadidu za Rejea zilikuja na misingi kumi ambayo iliambatana na sheria ya mabadiliko ya Katiba 2013 iliyoacha milango ya kisheria wazi ambayo kwa sasa inatafsiliwa kwa namna yoyote bila hata kuvunja sheria. Wengine wanasema kazi ya Bunge la Katiba ni koboresha, huku wengine wakisema, kazi yake haina mipaka kisheria.
Majibu yake kwa sasa ndiyo haya yameanza kujitokeza kutoka kwa viongozi wakuu wandamizi wa serikali. Kama kuna viongozi wa siasa au vyama hawakufahamu kusuka au kunyoa lakini kwa sasa wako kwenye Bunge la Katiba, basi acha wanyolewe au wasukwe na serikali ya CCM ili wajitambue katika nafasi zao za kisiasa.
Waziri Mkuu ni mjumbe tu kwenye Bunge la Katiba pamoja na kwamba ni Mwenyekiti wa wabunge wa CCM lakini huwezi kuondoa msingi wa athari za matamko yake katika jamii. Kwa sasa yuko pale kutetea hoja na sera ya chama chake ambacho kina wanachama 'milioni tano'.
Hii ndiyo habari ya Mjini. Mnaotaka Serikali ya Tanganyika, mnakusudia Tanganyika ipi?. Tanganyika ya mkoloni au ya baada ya uhuru ya miaka mitatu!,
Mimi ninachotaka ni kuvunja Muungano au kama haiwezekani, basi serikali moja itanitosha kwa miaka 50 ijayo. Siitaki Tanganyika kwa sababu zijawahi kuiona. Sihitaji serikali mbili kwa sababu hazijajenga mazingira halisi ya serikali mbili. Serikali tatu ni kupoteza muda tu kwa sababu haziwezi kudumu. Serikali nne ni kuongeza gharama wakati shule hazina hata ubao wa kufundishia achilia mbali chaki na madawati.
Unapoona wingu linatanda, huna budi kutarajia mvua kunyesha lakini vile vile disappointment is all part and parcel of Homo sapiens.
waliokuwepo wamefanya nini toka walipokabidhiwa nchi??? mpaka imefikia hatua ya kutaka katiba mpya, wakati miongoni mwenu kunaealioenda mbali mpaka walifikia hatua ya kupinga hata hoja ya kuwa na katiba mpya??? muombe Mungu akupe "macho" uone.Namuunga mkono moja kwa moja eti mtu ana miaka 25 eti kwa sababu kapata tiketi ya kuingia bungeni kama mjumbe unasikia anasema serikali Tatu wakati hata wakati Tanganyika inapata uhuru hakuwepo,Pinda nakupongeza kwa msimamo wako thabiti
Mkuu. Hoja yako ni ipi hapa?.Huyu mzee anawaza kwa kutumia sura yake
Mkuu, simama kwenye hoja kwa nafsi yako. Hatuja piga kura ya maoni kufikia kwenye angalizo lako.Hongera Pinda. Watanzania tupo nyuma yako