kwa ninavyomwona pinda, nashawishika kumwamini
nakubaliana na wewe
kwa ninavyomwona pinda, nashawishika kumwamini
Kwa sifa za reais 2015 ni Dr Magufuli pekee....anae fit
May be but I would like to give PM Pinda some benefit of doubt given the following reasons.He probably means "under his name".. it doesn't include his wife, children or other close family members.. thats why I would like to see his declarations forms.
That should be most important step towards proving of the already mentioneed. Let's wait and see when the form is filled.He probably means "under his name".. it doesn't include his wife, children or other close family members.. thats why I would like to see his declarations forms.
Ni kweli! Hata hivyo kuwa maskini leo na baadaye mwishoni akawa tajiri hakutamaanisha amefuja mali za umma. Hii ni kwa jinsi maisha yake sasa hivi yalivyo, kwamba kila kitu kuhusu matumizi kodi zetu ndizo zinaendesha. Yawezekana mali zake (ikiwemo fedha kwenye akaunti yake benki) zikaongezeka. Ila kubwa ni pale ambapo ongezeko la mali hizo litaendana na kipato halali kwa mjibu wa ajira yake.Baada ya vipindi viwili vya Uwaziri mkuu napo tutaomba atangaze ana ng'atuka akiwa amevuna nn? mwanzoni iwa wanakuwa maskini kama hivi mwishoni mmh
That is just a clear message to his sub-ordinates. Very likely majority of them thought the forms are for the juniors. Ni kamtego hako, you wait and see the outcome. Utawasikia na wengine.
Habari wadau wenzangu nimekua nikitafakari kwa makini sana mustakabali wa nchi hii, ilipotoka, ilipo na inapoelekea mchanganyiko na mvurugiko wa mambo ulivyo sasa, bado hatujielewi kabisa..CCM kama chama kimetuangusha kwa kiasi kikubwa sana, however kuna watu ndani ya CCM ambao wanaweza .namuona Prime Minister Pinda kama mtu wa namna hiyo, ingawa kwa kiasi kikubwa anakosa support toka ndani, whether from His Excellency or the Cabinet ..kwa maoni yangu therefore, a man is the right Candidate for CCM in 2015 elections .he is mean, open, simple, humble .and most important..Nyerererised much enough, both historically and intelligenti-cally-Tanzania anaijua in and out he is the right person to save this country NAWAKILISHA!!
Na mwenye kujiheshimu kama........najaribu kumtafuta mfano wake..
1. Sina mashaka na ujamaa na kujivunia umaskini kwa PM wetu, surely kama hivyo ndivyo alivyo navyo tu hastahili kuwa PM wa Tanzania... Tunataka mtu anayechukia umaskini kwa vitendo, na mtu wa namna hiyo lazima angekuwa better than utajiri huo mdogo saana aliosema... kwangu ni maskitiko... yale yale kuona umaskini ni jambo la kujivunia.
2. Tanzania kweli tunamatatizo, account balance sio kigezo cha kumpima mtu ana kiasi gani, kwa kuwa ni record ambayo ni valid au invalid wakati wowote. Kwa taarifa kwa wadau hata fisadai mkubwa kabisa anaweza ku-withdraw hela zote na accounts ikabakiwa na TZS 10. au even overdraft, hivyo aidha kigezo ingekuwa kuona bank statement ya miaka mitano ya nyuma au kuangalia kiasi kikubwa kabisa kilichoingizwa kwenye account au kutolewa na sio balance.
Haka kaugonjwa ni ka Cabinet nzima ya Tanzania tangu utawala wa Mzee Ruksa isipokuwa kwa mawaziri wachache sana kama Jackson Makweta. Wengine wote kuzitafuna taasisi zilizo chini ya wizara zao ni kama kawa!
How does he manage to pay tution fees for his two children who are studying at a foreign college which costs him more than U.S.$ 40,000 per annum? najua atasema allowances. Uzuri wa mkakasi......
kwakeli, maana kama nakumbuka vizuri zile form mpya lazima hao wote utaje mali zao pia...na pia mmezipata lini, na hata ukiuza kitu unatakiwa ukitaje, form ni nzuri, tatizo ni wanoko kwenye kuzionyesha! wakati ni haki yetu!