Mizani!!!!!! Mizani!!!! Mizani.......Mabuchani................Tahadhari!!! !!...... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mizani!!!!!! Mizani!!!! Mizani.......Mabuchani................Tahadhari!!! !!......

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Amavubi, Jan 24, 2012.

 1. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #1
  Jan 24, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 28,608
  Likes Received: 3,725
  Trophy Points: 280
  Jamani kama ilishatoka hapa mnisamehe lakini kwa kuwa ni ushuhuda ambao ni first hand information, wacha niwamegee!!!!

  Kutokana na changamoto ya kupanda kwa gharama za maisha au ni ujanja ujanja tu......watu wamebuni njia nyingi sana za kujiongezea kipato cha dhuluma....  .............kumbe ni wizi wa muda mrefu sasa unaendelea kushika kasi maeneo mengi hasa ya walalahoi........

  UkiendA BUCHANI KUWA MAKINI sana na wapimaji....kuna mbinu kuu tatu
  1. Wataweka sumaku chini ya mzani ambayo nasikia inapunguza kati ya 1/4-1/2 kilo (250-500gm)
  2. au kuna misumari mitatu nayo hivyo hivyo (ibid)
  3. hii aliyenisimula hajagundua inafanyikaje lakini angalia sana mikono yake ukiona anaipeleka spidi sana jua kuna kamchezo hapo....(mwenye kuujua aongeze au kutujuza mbinu nyingine............).............au chuma chochote kizito upande mmoja wa mizani...
  Mimi nmeipata majuzi tu, jamaa yangu alipoletewa nyama alimfuata jirani yake mwenye mzani na kugundua imefemea kilo 1 unusu!! alirudi na kijana buchani na kumwambia aipime tena....mbuchaman akataka kuikataa kwamba imeshafika nyumbani, kwa kuwa ana mtandao wa polisi aliung'ang'ania mzani hadi walipokuja na kugundua una sumaku kwa chini, moja kwa moja hadi kwa wakala wa vipimo........Hivi ninavyoandika hiyo bucha imefungwa na mwenye bucha ametozwa faini............

  nasikia ni wengi wanafanya hivi kwa hiyo kwa wale wasio na hii nyuzi jitahidini nanyi kufanya kauchunguzi au kuepuka bucha za kimagumashi............

  Hakuna penye usalama!!!! yamkini hata kwenye mchele, sukari, n.k yanafanyika haya jameni....................!!!!!Besides hawa mawakala wa vipimo inabidi waamke !!!! ...Rushwa????
   
 2. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #2
  Jan 24, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,007
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 160
  hatutakaa tuendelee kwa sababu ya wizi
  ngekuwa mm hapo nampa na kichapo cha mbwa mwizi
   
 3. Benzoic

  Benzoic JF-Expert Member

  #3
  Jan 24, 2012
  Joined: Jan 16, 2012
  Messages: 423
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  hata jamaa wa mizani ya magari nao wanaweka sumaku aisee!! Tanzania sio
   
 4. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #4
  Jan 24, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 29,282
  Likes Received: 4,253
  Trophy Points: 280
  sijui tuanze kwenda na mizani yetu buchani? Maana huu wizi umezidi
   
 5. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #5
  Jan 24, 2012
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 8,932
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  sasa wewe atakuaminije? km na ww unaiba balance?
   
 6. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #6
  Jan 24, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 28,608
  Likes Received: 3,725
  Trophy Points: 280
  tehe tehe.......au kila mtu aanze kufugA ng'ombe etc, tatizo mizani za tangu enzi za ukoloni.........
   
 7. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #7
  Jan 24, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 28,608
  Likes Received: 3,725
  Trophy Points: 280
  Ukifika buchani hakikisha umeridhika na mizani, mwambie aipindue kama unaitilia mashaka.............au kiungwana tu kwamba umesikia huu USANII
   
 8. MANI

  MANI Platinum Member

  #8
  Jan 24, 2012
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,114
  Likes Received: 1,360
  Trophy Points: 280
  Mkuu hapo sijui nani amwamini nani !
   
 9. Tony Almeda

  Tony Almeda JF-Expert Member

  #9
  Jan 24, 2012
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 397
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kuna wengine pale soko la magomeni, mzani fresh! sasa wakati anakufungia nyama kwenye mfuko anatupa pande la nyama chini kwa huku upande wake ndani, nilimgundua mmoja yuko kama shombeshombe kumbe mwizi wa nyama.
   
 10. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #10
  Jan 24, 2012
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 8,932
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  kama mchezo wa ukuti ukuti. teh teh!
  mkuu naweza nikaja tareh 27 kwa friend's of regia mtema., nasoma mazingira kwanza, ntakujulisha.
   
 11. M

  Mkwe21 JF-Expert Member

  #11
  Jan 24, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,517
  Likes Received: 226
  Trophy Points: 160
  Tatizo Kuna Agency (Tasisi ya Vipimo) Weighs and Measures!! Maskini Hata Hawajuai Kwa nini Hiyo Tasisisi ilianzishwa!! Ni Bora Ikafutwa Tukaanza Upya!!
   
 12. M

  Mrdash1 JF-Expert Member

  #12
  Jan 25, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,379
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Wizi na uswahili umeliangamiza taifa hili misemo kama mtoto wa mjini, mjini shule, tutabanana humu humu, tule wapi nk ndo matokeo yake haya, ni misemo inayohalalisha ujinga na ushetani
   
 13. a

  african2010 Member

  #13
  Jan 25, 2012
  Joined: Mar 31, 2010
  Messages: 95
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  Tupige Magoti Tusali.
   
 14. Mrembo

  Mrembo JF-Expert Member

  #14
  Jan 25, 2012
  Joined: Oct 9, 2008
  Messages: 391
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Yaani nchii hii watu hatuna maadili kabisa. Kwa hali hii hata tupate katiba kutoka mbinguni, mambo yatabaki vilevile. Yaani watu wanaiba bila aibu, ile guilty conscious hamna kabisa.
   
 15. s

  saved Member

  #15
  Jan 25, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 12
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  MUNGU ndiye awezaye kututoa kwenye uovu huu...
   
 16. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #16
  Jan 25, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 26,818
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  ulizia walioiba BOT wakarudisha alafu zile hela zimepotea bank ya TIB
  NANI WA KUMLAUMU ...UJE KWA HAO CHEZA NA MAPAPA KWANZA AMA SECURITY NDOGO
  WE UNAFIKIRI WAO WATAKULA WAPI KAMA SI KWENYE MIZANI..???
   
 17. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #17
  Jan 25, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 20,629
  Likes Received: 3,121
  Trophy Points: 280
  Kuna bucha moja la mgogo ukiingia tu anawasha feni full speed......lile bakuli la mzani lenyewe linashuka chini.....got it?
   
 18. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #18
  Jan 25, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 6,912
  Likes Received: 694
  Trophy Points: 280
  Ndio maana huwa nagombana na mama watoto kua habani matumizi ya mboga kumbe ninaibiwa!!!?? sasa weekend hii nakwenda kufunga bucha la huyu Mrombo anayeniuziaga nyama.
   
Loading...