Miyeyusho ya mademu wa mjini

Miyeyusho ya mademu wa mjini

mwanamke pesa, mi mwenyewe nimeshazoea kuhonga yaani bila mkumuhonga mwanamke sijisikii raha kabisa.
 
Two lakis afadhal nijiite honey mwenyewe huku nakula kitumoto

Hahah, raha jipe mwenyewe sio? Na id yako inatokea ni mchangiaji pato la nchi mkubwa kwa bidhaa zetu zile za TBL
 
Formula yao ni FF " If u cant feed them, u cant f**k them "
 
Wakati mwingine naamini kuhonga kipaji
Sisi wengine kipaji hiko hatujapewa
Kibofu kikijaa twajua tuendako...
Bujibuji wewe endelea kuhonga laki mbili bro..
 
Last edited by a moderator:
Anafurahi kwa vitu vya kawaida sana.
Chocolate
Movie.

Huyo demu wako bado ni mtoto kwa sababu ukimnunulia nguo/simu ataulizwa ametoa wapi, ngoja akue awe haulizwi na awaone marafiki zake wanatembelea ndinga, wanavaa kutoka Woolworth, Shear Illusion, wana simu kalikali (htc one, iPhone 5s, Samsung S4 au note 3) kila akiwauliza wanawezaje wanamjibu mwanaume ndo katoa.

Mara kwenye maongezi unachomekewa, flani kanunuliwa gari/galaxy na bwana ake, anampenda! Hapa ujue majaribu ndo haya kijana.
 
poleni sana kaka zetu...ndio maisha lkn msijali...lol.......
 
Huyo demu wako bado ni mtoto kwa sababu ukimnunulia nguo/simu ataulizwa ametoa wapi, ngoja akue awe haulizwi na awaone marafiki zake wanatembelea ndinga, wanavaa kutoka Woolworth, Shear Illusion, wana simu kalikali (htc one, iPhone 5s, Samsung S4 au note 3) kila akiwauliza wanawezaje wanamjibu mwanaume ndo katoa.

Mara kwenye maongezi unachomekewa, flani kanunuliwa gari/galaxy na bwana ake, anampenda! Hapa ujue majaribu ndo haya kijana.

Ninachowashangaa watu wa humu ni kuwa huwa mnaongea as if mna ushahidi/uhakika. Ni mtu mzima na anafanya kazi.
Halafu,sio DEMU.

Sent from my iPad using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom