Miyeyusho ya mademu wa mjini

Miyeyusho ya mademu wa mjini

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,579
Reaction score
161,431
mapenzi kujiongeza, mkono mtupu haulambwi...

Mademu wa Mjini wanaishi kwa Mbinu sana.Wanaishi kwa ile Methali ya Wahenga wa Zamani,Mkono mtupu Haulambwi..
We ukikazana na I love You I love You Nyingiiiii mwenzio walaaa hazimshtui..
Wiki ya 1: Baby Goodmorning..Anajibu MRNG.TC...Hataki longolongo...
Babe umekula..anajibu Yah,why not...
Baby Goodnite anajibu Nyts...au K

Wiki ya 2 we mtumie MPESA Laki 2 ya ghafla tu kumsapraiz..
Halafu Mtext...Baby umekula..Utasikia,yes Hubby wangu,nimekula nimeshiba,nakuwaza tu hapa cant wait to see you baadae,kisses hubby akee
Ukimtumia Goodnite...Baby why unalala mapema hivi,subiri tulale wote jamaniii,au hunimiss
Ukimchunia bila kumtext lazima aanze...Hunnie Boo,mbona kimya jamani,I miss you,ukiwa kimya sana unanipa mawazo..I love you,ur the best thing ever to happen in my life...Hiyo inaitwa Miujiza ya Laki 2
Mademu wa Mjini Mshenga wao Hela...Laki 2 ina uwezo wa kubadili Nyts kuwa Goodnite my Hubby,Kisses xoxoxoxoxo hata sijuagi manake nini.
Sasa wewe endelea na I love you zako kama unaekti muvi ya Marichui HUTAPENDWA NG'OO!
Kwa Hisani ya Wanaume wote tulio Dimbwini na wanawake wasio wa Mjini
 
Bujibuji unamtumia laki mbili ya nini? Huko siyo kujitafutia matatizo wewe mwenyewe?
 
Last edited by a moderator:
Nilishajiwekea msimamo kuwa kamwe sintotafuta pesa kwa lengo la kuhonga na kumfurahisha mwanamke.
 
Laki mbili maisha haya mi huwa natuma vocha ya buku tano then unagonga mzigo
 
mapenzi kujiongeza, mkono mtupu haulambwi...

Mademu wa Mjini wanaishi kwa Mbinu sana.Wanaishi kwa ile Methali ya Wahenga wa Zamani,Mkono mtupu Haulambwi..
We ukikazana na I love You I love You Nyingiiiii mwenzio walaaa hazimshtui..
Wiki ya 1: Baby Goodmorning..Anajibu MRNG.TC...Hataki longolongo...
Babe umekula..anajibu Yah,why not...
Baby Goodnite anajibu Nyts...au K

Wiki ya 2 we mtumie MPESA Laki 2 ya ghafla tu kumsapraiz..
Halafu Mtext...Baby umekula..Utasikia,yes Hubby wangu,nimekula nimeshiba,nakuwaza tu hapa cant wait to see you baadae,kisses hubby akee
Ukimtumia Goodnite...Baby why unalala mapema hivi,subiri tulale wote jamaniii,au hunimiss
Ukimchunia bila kumtext lazima aanze...Hunnie Boo,mbona kimya jamani,I miss you,ukiwa kimya sana unanipa mawazo..I love you,ur the best thing ever to happen in my life...Hiyo inaitwa Miujiza ya Laki 2
Mademu wa Mjini Mshenga wao Hela...Laki 2 ina uwezo wa kubadili Nyts kuwa Goodnite my Hubby,Kisses xoxoxoxoxo hata sijuagi manake nini.
Sasa wewe endelea na I love you zako kama unaekti muvi ya Marichui HUTAPENDWA NG'OO!
Kwa Hisani ya Wanaume wote tulio Dimbwini na wanawake wasio wa Mjini

Aiii wewe miss uu sana Bujibuji, love you hadi basi my mupenzi, nipe M pesa yako basi nikutumie laki 2. Maana toka zilivyokutoka laki mbili roho inakuuma!!! ha ha ha ndio mpango wa mujini...
 
mapenzi kujiongeza, mkono mtupu haulambwi...

Mademu wa Mjini wanaishi kwa Mbinu sana.Wanaishi kwa ile Methali ya Wahenga wa Zamani,Mkono mtupu Haulambwi..
We ukikazana na I love You I love You Nyingiiiii mwenzio walaaa hazimshtui..
Wiki ya 1: Baby Goodmorning..Anajibu MRNG.TC...Hataki longolongo...
Babe umekula..anajibu Yah,why not...
Baby Goodnite anajibu Nyts...au K

Wiki ya 2 we mtumie MPESA Laki 2 ya ghafla tu kumsapraiz..
Halafu Mtext...Baby umekula..Utasikia,yes Hubby wangu,nimekula nimeshiba,nakuwaza tu hapa cant wait to see you baadae,kisses hubby akee
Ukimtumia Goodnite...Baby why unalala mapema hivi,subiri tulale wote jamaniii,au hunimiss
Ukimchunia bila kumtext lazima aanze...Hunnie Boo,mbona kimya jamani,I miss you,ukiwa kimya sana unanipa mawazo..I love you,ur the best thing ever to happen in my life...Hiyo inaitwa Miujiza ya Laki 2
Mademu wa Mjini Mshenga wao Hela...Laki 2 ina uwezo wa kubadili Nyts kuwa Goodnite my Hubby,Kisses xoxoxoxoxo hata sijuagi manake nini.
Sasa wewe endelea na I love you zako kama unaekti muvi ya Marichui HUTAPENDWA NG'OO!
Kwa Hisani ya Wanaume wote tulio Dimbwini na wanawake wasio wa Mjini

Asante kwa kunipa msemo, filled for future use.
 
.....honey naomba niongezee laki moja kucha zimebanduka na nywele zimefumuka nataka niende saluni!! au utaki nipendeze honey wangu?
 
mapenzi kujiongeza, mkono mtupu haulambwi...

Mademu wa Mjini wanaishi kwa Mbinu sana.Wanaishi kwa ile Methali ya Wahenga wa Zamani,Mkono mtupu Haulambwi..
We ukikazana na I love You I love You Nyingiiiii mwenzio walaaa hazimshtui..
Wiki ya 1: Baby Goodmorning..Anajibu MRNG.TC...Hataki longolongo...
Babe umekula..anajibu Yah,why not...
Baby Goodnite anajibu Nyts...au K

Wiki ya 2 we mtumie MPESA Laki 2 ya ghafla tu kumsapraiz..
Halafu Mtext...Baby umekula..Utasikia,yes Hubby wangu,nimekula nimeshiba,nakuwaza tu hapa cant wait to see you baadae,kisses hubby akee
Ukimtumia Goodnite...Baby why unalala mapema hivi,subiri tulale wote jamaniii,au hunimiss
Ukimchunia bila kumtext lazima aanze...Hunnie Boo,mbona kimya jamani,I miss you,ukiwa kimya sana unanipa mawazo..I love you,ur the best thing ever to happen in my life...Hiyo inaitwa Miujiza ya Laki 2
Mademu wa Mjini Mshenga wao Hela...Laki 2 ina uwezo wa kubadili Nyts kuwa Goodnite my Hubby,Kisses xoxoxoxoxo hata sijuagi manake nini.
Sasa wewe endelea na I love you zako kama unaekti muvi ya Marichui HUTAPENDWA NG'OO!
Kwa Hisani ya Wanaume wote tulio Dimbwini na wanawake wasio wa Mjini

dah bujibuji bana,huko laki 2 zinakwenda kiulainiiii,mwanamme mwenzako nikikwambia uniazime laki mbili kwa dharura coz nimetembelewa na wakwe ghafla unakuwa na longo longo kibao...
 
Bado mnashangaa kwa nini Mentor bado nipo nipo...
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom