Mixed reaction to CCM resignations

Mixed reaction to CCM resignations

wadau mwenye update anipe tambwe hizza yule kaimu wa kitengo cha uropokaji naye ni gamba lilovuliwa na ccm?
 
wadau mwenye update anipe tambwe hizza yule kaimu wa kitengo cha uropokaji naye ni gamba lilovuliwa na ccm?

Ahahahaaaaah!!! Kumbe wale wote waliotemwa ni magamba yaliyovuliwa!!!
 
amuulize richard Kyabo CCj/CCK/tadea/chadema/ccm...ametumiwa kipindi cha uchaguzi...na kwa sasa ametupwa km bua...inasikitisha kwa wanasiasa njaa
 
Weee ishia hapohapo....redio gani hiyo,ya dar au moro?
Ni kweli Jamaa ni opportunist sana, ila yuko smart hawezi kwenda CCK nafikiri anajaribu kujisogeza CHADEMA, leo nimemsikia kwenye radio moja anaisifia CDM nafikiri ndio anako-target kwa sasa, seems keshasoma alama za nyakati...akili kumkichwa inabidi kufanya vetting ya watu wanaotaka kuja CDM
 
Tambwe Hizza ni kishoka wa nguvu pale Tanesco, ataendeleza fani yake ya wizi wa kuaminiwa.
 
na Bakari Kimwanga, Dodoma



MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freemani Mbowe, amesema hatua ya wajumbe wa Kamati Kuu na Sekretarieti ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kujiuzulu hakuwezi kukinusu chama hicho.
Mbowe alitoa kauli hiyo jana alipozungumza na waandishi wa habari mjini hapa alipokuwa akitoa maoni yake juu ya viongozi wa CCM kujiuzulu.
Alisema hatua hiyo ambayo inadaiwa kuwa ni ya kujivua gamba, haiwezi kukinusuru chama hicho, kwani saratani yake imo kwenye damu.
“Saratani inayoitafuna CCM ipo ndani ya damu, hivyo kujivua gamba hakutaweza kukinusuru chama hicho kwani rais ni yule yule, watu ni wale wale," alisema Mbowe.
Mbowe ambaye alikuwa akizungumza baada ya kufungua kongamano la vijana wa vyuo vikuu vya mkoa wa Dodoma, alisema hatua ya kujiuzuru kwa viongozi hao CCM, ni mafanikio kwa CHADEMA, wanaharakati na wananchi ambao wameibana CCM katika hoja za msingi za mustakabali wa taifa.
"Siku zote huwa nasema CCM ni wepesi. Kujiuzuru kwa wajumbe hao wa chama tawala ni tukio la kihistori, halijawahi kutokea. Hii yote imetokana na kazi za wanaharakati, wananchi na vyombo vya habari ambayo imefanyika ndani ya miezi minne tangu kumalizika kwa uchaguzi mkuu. Sasa tuendeleze mapambano ya kupigania haki za wanyonge kwa hoja,” alisema.
Hata hivyo Mbowe aliwataka viongozi wa CCM kuendeleza utamaduni wa kujiuzurua hata Serikalini hasa kwa Mawaziri wabovu katika utendaji wa shughuli za serikali.
“Kujivua gamba kwa CCM ni mafanikio makubwa kwa CHADEMA, napongeza wananchi na vyombo vya habari kwa kutuunga mkono katika harakati zetu kwani bado mapambano ya kupinga utawala mbovu yanaendelea tunawamba waendelee kutuunga mkono,” alisema Mbowe.
Akizungumzia kitendo cha serikali kung’ang’ania kupitisha muswada wa uundwaji wa tume ya kuratibu upatikanaji wa Katiba mpya, Mbowe alirejea wito wake kutaka mswada huo usitishwe ili kupata maoni ya wananchi wote kuliko kikundi fulani cha watu.
“Muswada wa katiba kupingwa na hata kuchanwa na Wazanzibar ni ishara tosha ya muswada huo huu kukataliwa na watu, katiba ni mali ya wananchi kitendo cha wabunge wa CCM na Serikali kuendelea kutaka kupitisha muswada huu ni kuwasaliti watanzania. “Wabunge wa CHADEMA watazunguka nchi nzima kwenda kupata maoni ya wananchi na kuyawasilisha bungeni," alisema. Aidha, alisema kutokana na hali hiyo CHADEMA inaungana na maoni ya watanzania ya kupinga muswada huo na kumuomba Spika wa Bunge, Anna Makinda aieleze isipeleke muswada huo kwa haraka bungeni.
 
kwa kweli CCM inakufa hata kama wakijivua magamba bila kuwatoa mafisadi ni bure tuu tunawasubiri 2015 tuwazike kabisa
 
na Bakari Kimwanga, Dodoma



MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freemani Mbowe, amesema hatua ya wajumbe wa Kamati Kuu na Sekretarieti ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kujiuzulu hakuwezi kukinusu chama hicho.
Mbowe alitoa kauli hiyo jana alipozungumza na waandishi wa habari mjini hapa alipokuwa akitoa maoni yake juu ya viongozi wa CCM kujiuzulu.
Alisema hatua hiyo ambayo inadaiwa kuwa ni ya kujivua gamba, haiwezi kukinusuru chama hicho, kwani saratani yake imo kwenye damu.
"Saratani inayoitafuna CCM ipo ndani ya damu, hivyo kujivua gamba hakutaweza kukinusuru chama hicho kwani rais ni yule yule, watu ni wale wale," alisema Mbowe.
Mbowe ambaye alikuwa akizungumza baada ya kufungua kongamano la vijana wa vyuo vikuu vya mkoa wa Dodoma, alisema hatua ya kujiuzuru kwa viongozi hao CCM, ni mafanikio kwa CHADEMA, wanaharakati na wananchi ambao wameibana CCM katika hoja za msingi za mustakabali wa taifa.
"Siku zote huwa nasema CCM ni wepesi. Kujiuzuru kwa wajumbe hao wa chama tawala ni tukio la kihistori, halijawahi kutokea. Hii yote imetokana na kazi za wanaharakati, wananchi na vyombo vya habari ambayo imefanyika ndani ya miezi minne tangu kumalizika kwa uchaguzi mkuu. Sasa tuendeleze mapambano ya kupigania haki za wanyonge kwa hoja," alisema.
Hata hivyo Mbowe aliwataka viongozi wa CCM kuendeleza utamaduni wa kujiuzurua hata Serikalini hasa kwa Mawaziri wabovu katika utendaji wa shughuli za serikali.
"Kujivua gamba kwa CCM ni mafanikio makubwa kwa CHADEMA, napongeza wananchi na vyombo vya habari kwa kutuunga mkono katika harakati zetu kwani bado mapambano ya kupinga utawala mbovu yanaendelea tunawamba waendelee kutuunga mkono," alisema Mbowe.
Akizungumzia kitendo cha serikali kung'ang'ania kupitisha muswada wa uundwaji wa tume ya kuratibu upatikanaji wa Katiba mpya, Mbowe alirejea wito wake kutaka mswada huo usitishwe ili kupata maoni ya wananchi wote kuliko kikundi fulani cha watu.
"Muswada wa katiba kupingwa na hata kuchanwa na Wazanzibar ni ishara tosha ya muswada huo huu kukataliwa na watu, katiba ni mali ya wananchi kitendo cha wabunge wa CCM na Serikali kuendelea kutaka kupitisha muswada huu ni kuwasaliti watanzania. "Wabunge wa CHADEMA watazunguka nchi nzima kwenda kupata maoni ya wananchi na kuyawasilisha bungeni," alisema. Aidha, alisema kutokana na hali hiyo CHADEMA inaungana na maoni ya watanzania ya kupinga muswada huo na kumuomba Spika wa Bunge, Anna Makinda aieleze isipeleke muswada huo kwa haraka bungeni.

Nakubaliana na ujumbe wa Mhe. Mbowe. CDM songa mbele mafanikio ni hayooooooooooooooooooooo!!
 
Waha jamaa wanatuletea falisafa ya mazingaumbwe sisi! Woote wanaotaka kuchukua hizo nafasi za mafisadi waliojiuzulu nao ni mafisadi, bora wakafie mbali tuwazike kwenye kaburi la pamoja.
 


By Judica Tarimo

Mon Apr 11, 1:34 pm



The-Registrar-of-Political-Parties-John-Tendwa.jpg
The Registrar of Political Parties, John Tendwa


The resignation of CCM’s secretariat has drawn mixed reactions with some politicians, academicians and ordinary people commending the move while others said it was a mere “political gimmick”.

The Registrar of Political Parties John Tendwa said the decision would provide the opportunity for CCM to assess itself and change its perception.
“According to my opinion the decision is good and it will help to strengthen the party,” Tendwa said.

Dr Benson Bana, a University of Dar es Salaam senior lecturer said it was a good starting point for a party in power to assess itself.

“The current political situation in the country is different from that of 1977…there is strong opposition. But CCM has not marched with the time. It should use this opportunity to organise itself,” he said.

He added that the move by the party follows a research conducted within the party.
Bana said what was happening in the party was a reform process which will lead to changes.

He advised the party to form council of elders comprising people who are not committee members to provide advice in case of problems.

University of Dar es Salaam Senior Lecturer, Dr Azaveli Lwaitama said the resignation of the party’s secretariat was a result of the CCM’s poor leadership policies. He dismissed the move as unlikely to bring changes within the party.
Leader of opposition in the Parliament and Chairman of Chadema, Freeman Mbowe said the resignations were a mere “political gimmick” and has no tangible effect on the running of government.

“We want irresponsible government cabinet ministers to also resign…resignation of the party (CCM) secretariat team is not enough,” Mbowe said shortly after opening a well-attended dialogue on the destiny of the nation that attracted participants from Dodoma-based university students.

“They (CCM) should go further to force corrupt leaders and government cabinet ministers, who have plunged and continue to plunge this country into numerous economic and social problems,” said Mbowe.

“Of course, that’s (resignation of secretariat) a big step in the political history of our nation, but cannot yield positive results, if corrupt cabinet ministers and government leaders will not be forced out of the government system,” he added.
 
hawa watakufa njaa, endapo MUKAMA atahamua kukomaa na mafisadi hatutoondolea dhuluma za mapato ya Vijana Kinondoni, maana kutwa utasikia wale wanaojifanya makatibu wanauliziana leo kuna mpya gani ya ulaji, nje wakiwa wamepaki vibenzi vyao ML350 ukiwaulidha vijana social hall inaoza nyie mnaendesha Mabenzi hamuni kuwa mnakuwa kama mchwa wanakula jani uku wakiwa wamepanda wao huko juu wakidondoka wanapasuka matumbo , Mliotemwa marufuku kuja CDM maana bado ka harufu ka Kifisadi Bado kapo
 


By Judica Tarimo
The Registrar of Political Parties John Tendwa said the decision would provide the opportunity for CCM to assess itself and change its perception.
"According to my opinion the decision is good and it will help to strengthen the party," Tendwa said.
Ni liniTendwa uliwahi kusema ccm ina matatizo? siku zote ulisema ccm ni safi n imara, leo ndio unasema mabadiriko yataiimarisha ccm?
Huo ndiyo unafiki wako ambao tuliusema siku zote.
Ili nchi itulie wewe ni miongoni mwa wanaotakiwa kufukuzwa kazi; utafukuzwa na wananchi
 
...really!!! sio habari nzuri kwetu wengine!!! hawa watu hasa Tambwe Hizza walikuwa nguzo muhimu sana kwa wapinzani wa CCM!! so assignment ya mwisho ya Tambwe ilikuwa juzi kubeba wale watoto na kuwapeleka Karimjee Hall saa 11 alfajili. Karibu tena CUF, Tambwe tena kule kuna wapenda mabwabwa wengi tu!!

Kaka una maanisha hayo kweli? hawa walikuwa na strategic plan zao ambazo ni very weak, zisizo na maisha, vision wala focus. Hawa ndio wameifikisha CCM hapa ilipo, ni hawa hawa waliotaka kumpokonya sitta kadi, ndiyo hawa hawa wamemuondoa sitta kwenye uspika. JK pia alitakiwa awemo sababu ndiyo alikuwa kiongozi wao.

Mfano wametunga dhana ya Udini, wakatunga kumchafua mgombea wa CHADEMA kwenye uchaguzi, wametunga vitu vingi tu ambavyo havina maisha, wakapandikiza UVCCM kuwachafua watu waliotumikia CCM kwa miaka nenda rudi - ni hawa hawa chini ya mwenyekiti wao JK.
 
Ametumikia umma kiasi cha kutosha mwacheni apumzike vijana nao washike hatamu.
 
SMS's are flushing, call all over the country etc. Je ni kweli the giants wanaanguka?

Au ni rumors tu kama tulivyo rumor mongers?
 
Please People give the old man a break. He has done what he could and we are the witness of his actions regardless of our general opinion on his performance. It is something to recognise that he has worked as Secretary General of the Ruling party for all that Period. He deserves retirement spot with respect. Stop this speculation on his next appointment.

Comrade respect is earned not given. Makamba angefanya kazi yake vizuri hapa watu wangekuwa wanasikitika au wanakumbuka utendaji wake. Comment za waungwana kwenye hii thread zikufundishe kwamba cheo ni dhamana. Ukipata opportunity ya kulitumikia taifa. FANYA KAZI KWA UADILIFU WATU WATAKUKUMBUKA. Kama huelewi nina maana gani hebu kamuulize babu Gbabo huko Abidjani. Kama ile siyo fedheha ni nini? Mzee angestaafu akapumzika salama salimini sasa ndo huyo anakwenda kupigwa winter la The Hague kwa Ocampo? We subiri ahata akina Kikwete wastaafu ndo utawasikia wanaimba utawala bora kwenye majukwaa..yet walipokuwa na nafasi ya kuleta huo utawala bora na maisha bora kwa wananchi wao...walikuwa wanahangaikia matumbo yao..(probably have heard of Mkapa and Sumaye???)....
 
Si mmesikia wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM wamejiuzulu ili kupisha safu mpya zitakazorudisha imani kwa wananchi,Kimsingi hilo halitoshi inatakiwa waendelee hadi Serikalini ambapo wale walioonekana kutomsaidia Rais waengeliwi.

Pia wajumbe wa NEC kuendelea kuwa viongozi serikalini kwa maana ya Executive si sahihi kwani watu hao wanaporudi kuja kutathimini utendaji wa Serikali kwenye Chama inakuta wajumbe NEC walewale tena ndio sehemu ya serikali hivyo watashindwa kusondo vidole waliokosea.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom