Channel 19 News Bulletin today at 7.00. Mbowe 'awapongeza CCM kwa kujivua gamba ili kuondokana na uharamia.' Anasema hayo ni masuala yao ya ndani lakini "tutapambana nao iwapo uharamia wao wataupeleka serikalini. Kule ndiko tutapambana nao vikali sana"
Nadhani amesema kuwa tatizo la CCM ni kuwa Viongozi wake wanajiuzulu nyadhifa za chama na hawataki kujiuzulu nyadhifa za serikalini wanapofanya vibaya,kwani huku ndio wanatuumiza watanzania kwa utendaji wao mbaya.............................Kwa maneno mengine ni bora waendelee kukaa kwenye nyadhifa zao za chama kuliko kuendelea kukaa kwenye nyadhifa za serikalini wakati wanafanya vibaya...
Mweshimiwa Tundu Lissu aushanga muswada ambao haukupelekwa kwa kamati ya bunge ya sheria kabla ya kupelekwa kwa wananchi kujadiliwa wacha niendelee kumsikiliza
Pia amechambua kw kina hati za dharura toka uhuru na kuita miswada ya voda fasta.Sasa hivi anasema kimsingi muswada huu ungefuata utaratibu wa kawaida ili wananchi wengi washiriki.
CCM,IT'S TIME YOU FOOL SOME FEW REMAINING IN EXTREME DARKNESS,WITH A LITTLE SERIOUSNESS.........YOUR DAYS ARE NUMBERED!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!:rip::rip::rip::rip::rip:CCM
Siamini Mbowe anaweza kusifia chochote cha CCM kwakuwa yeye ni mpinzani na ataendelea kuipinga CCM kwa kila jambo kama atasifia hakuna haja ya kuwa mpinzani kusifia mambo ya uongozi wa chama pinzani at least ingekuwa ni kwenye serikali watu wamejiuzulu ingeleta sense akipongeza maana ingeeleweka kwa manu faa ya wannchi na si chama!!!!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.