Miujiza ambayo kamwe hutakaa uisikie katika dini.

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
65,057
Reaction score
111,489
Unaweza kuwa unadai umeona au umesikia miujiza mbalimbali kwa mitume na manabii wa kisasa pamoja na wale wa zamani katika vitabu ila kuna miujiza hutakaa kuisikia au kuiona ambayo ni pamoja na;

1. Mkono uliokatika kuota

2. Miguu uliokatika kuota

3. Mtu mwenye mapengo kurejeshewa meno

4. Albino kutendewa muujiza na kupata rangi (melanini), ualbino ukaondoka.

5. Mtu aliyezaliwa na mtindio wa ubongo(taahira) kupewa Hali ya ufahamu/akili.
 
Tulia wewe
FB_IMG_1794133247373.jpg
 
#1 & #2 nimeshasikia zaidi ya mara moja kwa nyakati tofauti, in fact mojawapo mpaka youtube video ipo muujiza ukitokea live, ulitokea USA

#5 Muujiza wa chizi kupata akili nimeshasikia mara nyingi, lakini mtindio wa ubongo sijawahi kusikia

#3, #4 sijawahi kusikia
 
📌DINI NI KWAAJILI YA WENDAWAZIMU!!!
 
#1 & #2 nimeshasikia zaidi ya mara moja kwa nyakati tofauti, in fact mojawapo mpaka youtube video ipo muujiza ukitokea live, ulitokea USA

#5 Muujiza wa chizi kupata akili nimeshasikia mara nyingi, lakini mtindio wa ubongo sijawahi kusikia

#3, #4 sijawahi kusikia
Acheni ujinga hizo ni SCRIPTED SCENES.

Hakuna muujiza wala ujinga unaofanana na hivyo vitu.Amkeni nyie mnakazi ya kuwanufaisha hao matapeli.

Ujinga mzigo!!!

#Kenge wahed,,,,Gaddemit!!
 
Ukisoma na kuyatafakari maandiko kutoka nyaraka ya Warumi 11:33-36 utauona Ukuu wa Mungu wetu ambaye ni Muumba wetu.

Yeye huwakirimia watumishi wake mambo yale tu ya kawaida yaliyopo ndani ya mazingira yanayo wazungukuka ili aliowachagua wapate kumtii.

Watu wote aliowachagua aliwafahamu toka kuwekwa kwa misingi ya dunia. Na hawa ndio pekee majina yao yameandikwa katika kitabu cha uzima.

Kwa upole, hekima na uvumilivu naomba turejee katika maandiko yafuatayo,

1 Wakorintho 1:18

"Kwa sababu neno la msalaba kwao wanaopotea ni upuzi mtupu, bali kwetu sisi tunaookolewa ni nguvu ya Mungu"
 
#1 & #2 nimeshasikia zaidi ya mara moja kwa nyakati tofauti, in fact mojawapo mpaka youtube video ipo muujiza ukitokea live, ulitokea USA

#5 Muujiza wa chizi kupata akili nimeshasikia mara nyingi, lakini mtindio wa ubongo sijawahi kusikia

#3, #4 sijawahi kusikia
Leta link ya hiyo YouTube video inayoonyesha mtu asiye na mkono au miguu ukiota kwa muujiza
 
Acheni ujinga hizo ni SCRIPTED SCENES.

Hakuna muujiza wala ujinga unaofanana na hivyo vitu.Amkeni nyie mnakazi ya kuwanufaisha hao matapeli.

Ujinga mzigo!!!

#Kenge wahed,,,,Gaddemit!!
Ningekuuliza una umri gani lakini kwa sababu ujinga hauna umri sitakuuliza.

Scripted scenes zipo na real miracles ipo, labda kwa kuwa umeishi na matapeli sana basi unahisi kila mtu ni tapeli.

Kasome historia ya watu kama A.A Allen, Smithwigglesworth, Kathryn Kulman, William Marion Branham, Benson Idahosa(huyu kafufua watu wengi sana)

Hapa Tanzania tulikuwa na Moses Kulola na wenzake. Gamanywa aliwahi kuponya wenye UKIMWI mpaka Rais Mkapa akampa cheo cha uenyekiti wa TACAIDS sijui alifikiri nini.

Ila kama umezaliwa kipindi hiki ambacho kanisa limepoa na wahuni wameingia wengi kanisani basi una haki ya kusema unachosema.
 
Leta link ya hiyo YouTube video inayoonyesha mtu asiye na mkono au miguu ukiota kwa muujiza
Sikuwa interested kusave link na video yenyewe ni ya kizamani black n white. Ila ukiitafuta unaweza kuipata
 
Ningekuuliza una umri gani lakini kwa sababu ujinga hauna umri sitakuuliza.

Scripted scenes zipo na real miracles ipo, labda kwa kuwa umeishi na matapeli sana basi unahisi kila mtu ni tapeli.

Kasome historia ya watu kama A.A Allen, Smithwigglesworth, Kathryn Kulman, William Marion Branham, Benson Idahosa(huyu kafufua watu wengi sana)

Hapa Tanzania tulikuwa na Moses Kulola na wenzake. Gamanywa aliwahi kuponya wenye UKIMWI mpaka Rais Mkapa akampa cheo cha uenyekiti wa TACAIDS sijui alifikiri nini.

Ila kama umezaliwa kipindi hiki ambacho kanisa limepoa na wahuni wameingia wengi kanisani basi una haki ya kusema unachosema.
Kawadanganye matahira huko, mimi siwezi kudanganyika na ulofa huo mnaita miujiza.

📌DINI NI KWAAJILI YA MAZOMBI AMBAYO NI MAVIVU KUFIKIRI NA RAHISI KUDANGANYIKA.YENYE TAMAA KUPITA KIASI!!!!

MATAPELI YAENDELEE KUENDESHA MAGARI MAZURI NA KUISHI MAISHA SWAFI KUPUTIA NYIE WAJINGA MLIOLAANIWA....AMEN!!!
 
Hilo povu lote la nini, mimi nimemjibu mleta mada na sihitaji uamini chochote. Unasema dini ni kwa ajili ya mazombi lakini dini ndo imekufundisha kujua kama kuna kulaaniwa na imekufundisha kusema AMEN. Kwa hiyo na wewe ni zombie?
 
📌HUNA AKILI!
 
Back
Top Bottom